Shija

2.4K posts

Shija banner
Shija

Shija

@Shija_SE

Artificial Intelligence|Cyber Security|Software Engineer|NM-AIST Alumnus| Now working at @mbeyauniversity

Mbeya Katılım Mart 2012
7.5K Takip Edilen2.8K Takipçiler
Shija
Shija@Shija_SE·
@maipambomteta Yaani acha tu, itabidi tuanze msako wa milleanials waliooa vitoto vya 2000, vita ihamie huko saivi
Indonesia
1
0
1
12
Shija retweetledi
MAIPAMBO JR
MAIPAMBO JR@maipambomteta·
Nimepita x humu kila maada ni sisi wahenga,ila kuna baadhi ya siri hawa genz wanazitoa wapi?au kuna mamluki wa millennials wameoa kizazi hiki?wakibanwa kidogo tu wanaanza kutoa siri.😀
Indonesia
29
21
110
2K
Shija retweetledi
Dr.Kamami (kibungo😌) 🇹🇷
Millenials Wageni wakija lazima usalimie kwa sauti na uondoke sebuleni 😭 Wazee hawakua na haki za binadamu 😁🙌
Indonesia
4
21
51
483
Veesmart2🌹
Veesmart2🌹@Veesmart2·
Millennials hadi leo wanatongoza kwa kuomba date ya kula ugali na kitimoto😂
Filipino
15
24
130
2K
Omambia 🥶
Omambia 🥶@chris29ke·
Kama haujaniguzia pinned post fanya hivo na ueke handle hapa nikupee shout out Sai...
Eesti
15
24
43
542
Shija
Shija@Shija_SE·
@Chopawang Hiyo namba nne sasa ni ishu, bora zingine lakini namba nne huyo atakuwa kaleft kundi
Filipino
0
0
0
33
Shija retweetledi
Çhøpër
Çhøpër@Chopawang·
Kuna mambo ambayo ukiona mwanaume anayafanya ujue huyo kuoa ni majaliwa yake Mungu. 1. Anapika Wali Nazi 2. Anapika Chapati Za Kusukuma 3. Akimenya Ndizi Mbichi Abaki Na Uchafu Mkononi 4. Ameweka Midoli Na Kadi Kitandani 5. Ananunua Mkaa Gunia 6 Anajiko La Gesi Plate Mbili
Indonesia
11
13
51
1.5K
MZUNGU PORI💪
MZUNGU PORI💪@Mzungu_pori1·
Kuna watu ni millenia ili kukwepa aibu anajifanya anahamia Gen Z💔💔😂😂
Indonesia
16
23
47
544
Shija retweetledi
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Lazima Ujifunze Kuamini Watu Bila Kuwategemea. Huwezi Kufanya Chochote Kama Humuamini Yeyote Na Hutofanikisha Chochote Ukimtegemea Yeyote. Good Morning My Beautiful Friends
Indonesia
12
25
63
914
Shija retweetledi
miss.nancy🇹🇿
miss.nancy🇹🇿@she_is_nancy255·
Nisimame kwenye daladala alafu nisisome meseji za walio kaa 😂 labda mimi sio mimi
Indonesia
15
13
127
3.5K
Shija retweetledi
Mbaade 🤠
Mbaade 🤠@Mbaade_·
Na Ukiwa Unafunzwa Na Ulimwengu Hubebi Kalamu Wala Daftari ila Utaelewa tu 😂😂😂
Indonesia
12
41
145
1.8K
Shija retweetledi
𝐌𝐣𝐢𝐦𝐛𝐮🍁
Kuna wakati unapitia maisha magumu adi unajiuliza au Wewe ndo Mfano kwa wengine🤣🤣🙌🏽
Indonesia
2
6
12
138
Shija
Shija@Shija_SE·
@Tweener003 Ndo ilikuwa hivo, kama huamini shauri yako 😂
Filipino
0
0
0
4
Shija retweetledi
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Millenials walituaminisha ukiamka asubuh sauti imekauka eti imeenda na wachawi usiku 😅😅😅
Indonesia
6
10
24
195
Malaika
Malaika@magdiemma·
Ulipokuwa hujajiingiza kwenye mapenzi ulikuwa huna hata stress maisha ni buradani muda wote,Ona sasa tangu ujiingize huko haipiti wiki stress kama zote, Naongea na wewe unayesoma hii post 😂😂
Indonesia
14
26
50
736
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Umefanikiwa Kuona jua la leo Mwambie Mungu Asante Kwa kila Gumu na zito Unalopitia Azidi Kukupa Ujasiri na Kukuonyesha Njia ya kutoka.
Indonesia
12
45
66
590
Shija
Shija@Shija_SE·
@kalage_jr Vingine uishie kuona tu halafu viache vipite 😂
Suomi
0
0
0
25
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Sifa ya macho kuona, kutazama kinacho onekana ila sio kila unacho kiona ukadhani kupata inawezekana.
Indonesia
2
12
80
980