
Nimefurahi kutembelewa na Mahujaji Vijana kutoka Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Mahujaji hao kutoka kituo cha Vijana cha Don Bosco Upanga walioambatana na baadhi ya wazazi, wapo nchini Uganda kwaajili ya kufanya Hija katika kituo cha Hija cha Namugongo, Jijini Kampala.



Kampala, Uganda 🇺🇬 Indonesia



































