Sindika Fanuel retweetledi

Ndugu Watanzania wenzangu,
Kama mnavyofahamu, mapambano ya kutafuta haki na kuleta mabadiliko ya kweli si rahisi,na yanakuwa magumu zaidi pale rasilimali zinapokuwa haba.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kusimama imara upande wa wananchi wakati wote.Aidha, kufuatia kutoshiriki katika uchaguzi haram, chama hakipokei ruzuku hata shilingi moja. Hali hii inaleta changamoto katika kuendesha shughuli za kila siku za chama na kuendeleza harakati za kidemokrasia.
Kwa msingi huo, tunawaomba Watanzania wote muendelee kuwa sehemu ya mapambano haya kwa kuchangia kwa hali na mali. Mchango wako, hata kama ni mdogo, una mchango mkubwa katika kusukuma mbele gurudumu la mabadiliko.
Changia sasa kupitia:
Namba: 0744 446 969
Jina: CHADEMA HQ
Tuchangie kwa pamoja ili kuimarisha harakati za kudai haki, uwajibikaji na mustakabali bora wa taifa letu.
Asanteni kwa uzalendo wenu.
#ToneToneImerudi
#FreeTunduLissu

Indonesia


























