Teacher 📖

44.2K posts

Teacher 📖 banner
Teacher 📖

Teacher 📖

@SirFerrary

i don’t judge, There’s always a two sides of a Coin.. i am addicted to everything you see on my Timeline, @SimbaSCTanzania #GEMINI ♊️

Tanzania Katılım Nisan 2012
917 Takip Edilen4.7K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Teacher 📖
Teacher 📖@SirFerrary·
Bado najitafuta, na kuna siku NITAJIPATA..! 🙏🏾😰💰
Teacher 📖 tweet media
Filipino
3
6
27
1.8K
Teacher 📖
Teacher 📖@SirFerrary·
Hivi nikiwa na unautajiri wa kiasi cha shilingi 20k, naweza kuanza uwekezaji??
Indonesia
5
2
15
978
Teacher 📖
Teacher 📖@SirFerrary·
@MGbpusd nishawahi kufanya hiyo kaka nilikula hasara hatari
हिन्दी
0
0
0
11
Spearman⛏
Spearman⛏@baraka_mhando01·
@SirFerrary Huo muda unasubiri ukiweka leo unaanza kutengeneza faida huwa inauma uliweza kununua bei ikiwa 2700 ukaja kununua bei iko 3000
Indonesia
1
0
1
16
Teacher 📖
Teacher 📖@SirFerrary·
Natamani sana kuingia kwenye hii biashara ya kununua Hisa, Nasubiri japo nimiliki 10M kwa Acc
Filipino
3
2
25
275
XLpips | Pancho
XLpips | Pancho@XLpips·
@SirFerrary Mimi nasubiri Nijenge Nyumba yangu, Niwe na Minimum Revenue ya 10M kwenye biashara yangu kwa mwaka, na akaunti iwe na 50M balance. Siwezi Wekeza kwenye Hisa Kama bado Sijatoboa Tobo la kueleweka kwenye Maisha. Na Lazima niwe na skills za Uwezekaji.
Indonesia
1
0
1
12
Teacher 📖 retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Ninawapenda watu wanaowafanya wengine wajisikie wamejumuishwa. Sifa hii haithaminiwi sana. Katika ulimwengu ambapo watu wengi huhisi hawaonekani, wema na ushirikishwaji ni muhimu sana 🤍
Indonesia
0
6
18
325
Rastafarian_culture
Rastafarian_culture@IgoraIrene32964·
Lakini hizi chale wazee waliniwekea mgongo mzima za nini sasa kama hazinisaidii kutoboa kwenye maisha hata kagauni ka mgongo wazi siwezi vaa 🤭😂😂
Rastafarian_culture tweet media
Indonesia
22
13
91
2.9K
Melanin🍫🤎
Melanin🍫🤎@Ms__wealthy·
Ghosting me because i have no ass is valid Don't settle for less young man Put some standards 😎
English
3
0
8
125
Dada Tuku🌹
Dada Tuku🌹@Mwanzalimaa·
Today is the last day of my 20s, 3rd floor here i came…..Ahsante ELOHIM🙏🏽
English
26
11
132
2.8K
Komu Printing
Komu Printing@Elparton112·
Jamaa yangu alikua ameajiriwa kwa muda sasa baada ya kuona yupo stable sasa akaamua kuomba ruhusa kazini akamvalishe pete mchumba wake waje waishi wote Dar Es Salaam ameenda amemaliza taratibu zote amerudi Dar kufika kazini anaambiwa nafasi yake ameshapewa mtu mwingine.
Indonesia
28
27
459
29.3K