Ludwing Krapf

3K posts

Ludwing Krapf banner
Ludwing Krapf

Ludwing Krapf

@krapfthe67

Chile Katılım Nisan 2023
187 Takip Edilen165 Takipçiler
Daktari wa kitaa
Daktari wa kitaa@dr_kitaa·
@kalegamyeh Ila gape la muhimbili,BMH na tamisenga ni kubwa sana. Muhimbili MD anakunja zaidi ya 3M pamoja na posho. Tamisenga hakuna posho kabisa
Filipino
8
0
2
1.1K
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Mara nyingi ukipata kazi kwenye taasisi ya serikali hua kuna mshahara mkubwa significantly kuliko kazi yeyote ya Tamisenga. Hua nikisema Tamisenga watu wahahisi ni afya tu lakini Tamisenga Ina kada zote. Mfano ukisoma uchumi ukapata kazi taasisi TRA, BOT, TANESCO etc unakua unalipwa probably mara 3 au nne kuliko mchumi wa pale halimashuri na baada ya miaka kadhaa gape linazidi kua kubwa zaidi. Lakini ukijichanganya na taasisi za afya, hapo ndio unakua umeingia mkenge. Tofauti ya mshahara wa Tamisenga na RRH haipo. Hata wanaofanya kazi MUHIMBILI, BENJAMIN MKAPA and etc hakuna significant difference. Na wanatumika kweli kweli kiasi kwamba hawana hata muda wa kufanya mambo yao wenyewe. Viongozi wa afya mna matatizo gani? Mnashindwaje kupush agenda basi hata taasisi za afya ziwe na mshahara mzuri? Hizo pesa ambazo zinakusanywa na hospital husika kwanini zisitumike kuboresha maslahi ya wafanyakazi badala ya kupelekwa kwenye makusanyo ya kodi ya kitaifa afu zinaishia kupigwa kwenye report ya CAG? Mwaka 2021 hospital ya taifa ya Muhimbili ilikua inakusanya zaidi ya bilion moja kwa mwezi. Kwanini zisitumike kuboresha maslahi?
Dr. Kala. MD tweet media
Filipino
22
14
114
5K
Ludwing Krapf
Ludwing Krapf@krapfthe67·
@Innocen89950594 Mgonjwa ana haki ya kimsingi ya kisheria na kimaadili kulinda usiri wa taarifa zake za matibabu ili kuhifadhi utu na faragha yake.. na atazuia unyanyapaa na madhara ya kisaikolojia mnajua wana X walivyo na nongwa. Mimi namuombea heri tu
Indonesia
0
0
0
14
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Maradhi Ni Siri Ya Mgonjwa Na Daktari
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
3
0
36
3.5K
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
KWA HIYO Unadhani vita ndio imeishia hapo.? Au ngoma ni HALF TIME.?
Engkabora tweet media
Filipino
26
13
92
14.8K
Ludwing Krapf
Ludwing Krapf@krapfthe67·
@bajabiri Masimango , ni muhimu kuwa na bima za afya nzito nzito
Slovenščina
0
0
0
83
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
😁😁😁 Humu leo mwendo wa reference tu
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya Mimi nitafukua Makaburi… na MSAADA NITATOA… Umekua miongoni mwa watu walionipiga Spana kwa kuwasaidia watu Mitandaoni ila leo mm nakutumia Hela mtandaoni na wewe unaomba Msaada mtandaoni kama walivyoomba wale uliokua unawaponda! Sina Beef na wewe… tunaweka kumbukumbu sawa! Kama jinsi nlivyowasaidia wale na Leo tunakusaidia wewe… ila ingekua bora kama ungeweka Bill nzima hapa- ili tujue tunachanga kiasi gani! Mtu anaweza toa laki 5 kumbe bill ni laki 2 au mtu akatoa elfu 50 akajua amemaliza kumbe bill ni milion 5. UGUA POLE Bro… MWENYEZI MUNGU AKUPONYE na Akujaalie uwe na AFYA NJEMA🙏🏽 Binafsi nipo tayari kwa mchango mwingine- ukiweka taarifa zako sawa!

Polski
7
4
34
2.7K
Ludwing Krapf
Ludwing Krapf@krapfthe67·
@Engkabora Yap maana wale wanamaisha sana, Imagine unaendesha V8 la watu halafu posho kibao
Filipino
2
0
0
8
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Mdogo wangu kanitumia hayo matokeo yake yupo chuo mwaka wa kwanza izo supp maana ake nini wakuu
Engkabora tweet media
Filipino
33
8
43
8.6K
Ludwing Krapf
Ludwing Krapf@krapfthe67·
@EsirEid Daima tunahitajiana ,tuombe Mungu daima atuchunge vinywa vyetu
0
0
1
20
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
M.D (🅨)@ReganTesla_

Skia Bwana Esir! Mimi sikufahamu sana ila najua tu wewe ni mtu mwema, That's good. Una moyo wa kutoa sana hilo nalo ni jambo la baraka. Ila sasa jambo kubwa unalotakiwa kuelewa ni kwamba hiyo haitoshi kujiona unasaidia sana watu. Naelewa kwako unaona kama umemaliza ila nakukumbusha haujamaliza! Hawa unaowasaidia wanahitaji zaidi ya hizo fedha unazowapa.. Kumpa mtu mwenye njaa milioni moja itamsaidia atapata chakula na atashiba kwa muda fulani haimaanishi umemsaidia kukabiliana na hali yake. Hyo pesa ikiisha then atarudi tena umpe nyingine? Jibu ni No! Ataendelea kuteswa na njaa akiendelea kumsubiri mwingine wa kumsaidia. That's not good. So think about that hata wewe hapo ulipo usidhani pesa ndio inakusaidia sana kuna misingi watu wengine walishaweka kwako ndo leo inakupa pesa na hayo maisha unayoishi. Jambo lingine ni suala la kusaidia! Elewa tu watu wanasaidiana sana humu ila ni wachache wamechagua kusaidia na kuonyesha wamesaidia. Hivyo elewa tu tunatofautiana. Usiwape hawa vijana ujeuri ili upate sifa kwenye mtandao. Sisi bado tunakua na tunahitaji kushauriana, Wakwangu ulikuwa ni ushauri tu kwa kijana na sio matusi. Sijajua wewe uliona ubaya gani kwenye hicho nilichoandika au labda nilimdhalilisha. All in all TUISHI! That's me kama hujanijua leo utakuwa umenizoea huwa nashauri hata pasiposhaurika then naachie hapo atakeona inamfaa abebe atakaeona haifai aache watakuja kusoma Wanangu siku nikiwa sina nguvu za kuandika. Assalam Aleykum!!

QME
82
43
300
28.2K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Wakuu ukiachana na 1. Teaching 2. Nursing 3. Medical Doctor Ni course gani nyingine ukisoma Ajira baada ya kumaliza ajira uhakika
Indonesia
33
22
155
7.2K
Ludwing Krapf
Ludwing Krapf@krapfthe67·
@LifeofSteph_1 Nachoweza kusema ni kwamba.... 1. Mrudie Mungu ,fanya ibada 2.Fanya mazoezi 3.kula mlo bora 4.Pata muda wa kupumzika 5.Epuka msongo wa mawazo 6.Zingatia maagizo na maelekezo ya wataalamu.. Buriani hahahaaa
Indonesia
1
0
1
282
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
Aisee hv vipimo vya UKIMWI vihakikiwe, leo kidogo nife na presha
Steph. tweet media
HT
30
35
145
5.3K
Pancras Flahisha
Pancras Flahisha@flahisha·
Kuna Watumishi wa gavoo ya Kibongo Ata wasevu vipi hawawezi fikia hii noti kwa mwaka yaani siku 366, Nchi yenu ipo nyuma saana , least developed country and Among poorest Country in the world, Alafu kwa uzembee huu kuna mtu anajisifia, Eti tumeongeza visima vya Maji, tumeongeza madarasa, mgao wa maji na umeme upo umepungua, wajameni HII NI MAAJABU.
Pancras Flahisha tweet media
Indonesia
5
1
23
8K
ManjestaX 🇪🇸 🇦🇷
ManjestaX 🇪🇸 🇦🇷@waziri3wa_wapwa·
Hivi ndani ya ATM machine kuna AC ama,maana pesa zinatoka za baridi sana🤔......
ManjestaX 🇪🇸 🇦🇷 tweet media
Indonesia
32
32
311
20.5K
Ludwing Krapf
Ludwing Krapf@krapfthe67·
@Adv_innocent Hapana hawezi , maana vyuo vyote vina dahili kwa vigezo vya Nacte, akiwa nje ya vigezo atawezaje kusoma Clinical medicine? , huyu mtu kafeli hatakiwi kwenye medicine hii kozi n uhai ,atakuja kutuua huyu oooh
0
0
0
38
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Mtu akipata four kidato cha nne anaweza soma medicine akiwa na dawa zake?
Indonesia
56
54
275
13.4K
Ludwing Krapf
Ludwing Krapf@krapfthe67·
@KarokolaPa17032 @kasesco_tz Nashauri sana watu wapende kutumia hosp za serikali ,kule hakuna mtu atakupea dawa pasipo ulazima , hana conflict of interest na mfuko wako , huo ndio ukweli licha ya mapungufu kadhaa, bado hospitali zao ni msingi na muhimu sana kwa wananchi wa kawaida
Filipino
0
0
1
20
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ni mara chache sana unaweza kwenda Private Hospital na wakasema hauna tatizo. Mara chache sana. Unadhani ni kwanini
हिन्दी
54
39
347
14.3K
Ludwing Krapf
Ludwing Krapf@krapfthe67·
@Danielgoi2 @prossoff Wanaishi chini ya kipato na huo ndio umasikini wenyewe ,maara mtu hapati milo mi3 kwa siku ,hana akiba,akiumwa haendi kupata matibabu kwa ukosefu wa pesa ,sasa huo si ndio umasikini
Filipino
0
0
0
70
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Tuseme ukweli. Wafanya kazi wa serikali HAWAFANYI KAZI. Ni moja ya kundi la watu linalokula good time katika haya maisha. Sio kweli kwamba madaktari hawapo. Wapo ila kila huyo ni mkubwa na wana siku zao za kazi. Mtumishi wa kata nae anabiashara zake( mara ana ki gari anaendesha siku nzima) Mwalimu anafundisha kidogo anachukua probox yake anaenda kupiga hela. Serikali ina usimamizi hafifu sana juu ya watumishi huko makazini. Huko halmashauri watu wanakula maisha tu.
Filipino
91
70
713
37.8K
Paschal Karokola
Paschal Karokola@KarokolaPa17032·
@krapfthe67 @kasesco_tz Tafiti zinaonesha kwa asilimia kubwa majibu ya culture positive ni false positive due to sample contamination.. je wewe unajua jinsi ya kucollect sample inavyotakiwa..kusafirisha kuhifadhi ..kuhandle sample bottles?
Filipino
1
0
0
2