10 beautiful National teams away KITS by ADIDAS, 2026. What's your favorite? 🤔
1. Greece 🇬🇷 - Simple but effective
2. Argentina 🇦🇷 - Mint/blue combo hits
3. German 🇩🇪 - Sick
4. South Africa 🇿🇦 - Beautiful concept
5. Spain 🇪🇦 - Beautiful color scheme
6. Saudia 🇸🇦 - That gold/green always hits
7. Japan 🇯🇵 - It's just nice, wearable.
8. Sweden 🇸🇪 - Beautiful color patterns
Ligi kuu ya soka ya Tanzania bara NBC Premier league, kuendelea tena hii leo kwa kupigwa michezo miwili.
Wanalunyasi Simba SC, watakuwa ugenini watakapo karabishwa na Pamba Jiji, katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, majira ya saa 10:00 jioni.
Simba anashuka katika mchezo huo, akiwa nafasi ya nne, huku Pamba Jiji wakiwa nafasi ya sita, wakiwa na Alama 24.
Mchezo Mwingine utakuwa katika dimba la Lake Tanganyika Kigoma, ambapo Mashujaa FC watawakaribisha matajiri wa Jiji la Dar es salaam, Azam FC, mchezo huo utachezwa majira ya saa 10:00 jioni.
‘
Azam anakwenda katika mchezo huo,akiwa na kumbukumbu ya kudondosha alama mbili katika mchezo wake uliopita, mara baada ya kutoa sare dhidi ya Timu ya Yanga,
Je, nani kufurahi leo?
'Mpira wetu wa Afrika hauko sehemu sahihi'
Kufuatia sakata linaloendelea la Timu ya Taifa ya Senegal kunyang’anywa ubingwa wa AFCON 2025
Mwandishi wa habari za Michezo @andrea_massawe14 ameweka wazi mtazamo wake kuhusu sakata hilo, huku akisema kuwa sakata hilo limetia doa umpira wetu wa Afrika
Hatua ya robo fainali ya klabu bingwa, barani Afrika inaendelea tena wikiendi hii,kwa michezo
ya mkondo wa pili kuchezwa.
Klabu ya Pyramids watawakaribisha Far Rabat, mchezo wa mkondo wa kwanza ulimalizika kwa wawili hawa kufungana goli 1-1.
Shabiki wa soka @mwansasusnr ameweka wazi mtazamo wake kuelekea katika mchezo huo.
Unadhani nani atakwenda hatua ya Nusu fainali?
Michezo mitano itakayokupa fedha wikiendi hii, kutoka kwenye meza ya Game time, weka fedha pale BETWINNER upate fedha nyingi zaidi.
Waandamizi wa Game time @MoruoKing pamoja na @MwansasuSnr wanaweka wazi mitazamo yao kuelekea kwenye michezo hiyo.
Ukitaka unyama wa jezi kali kama hizi walizovaa wakali wa Game Time wacheki @45minutesstore
Liverpool vs Galatasaray | UEFA Champions
Nani kwenda robo fainali?
Shabiki wa soka @IamMasoudJr anaweka mtizamo wake kuelekea mchezo huu utakaopigwa kuanzia saa tano usiku.
Barcelona vs New Castle | UEFA Champions
Katika mchezo muhimu utakaoenda kuamua nani kusomba mbele hatua ya robo fainali katika mashindano ya Kalbu Bingwa Ulaya kati ya Barca na New castle utakaochezw hapo saa 2 usiku, shabiki wa soka @SkillzSensei anaeleza mtizamo wake.
Tottenham vs Atletico Madrid | UEAF Champions
Spurs kupindua meza leo wakiwa nyumbani? Shabiki wa soka @SkillzSensei anaweka wazi mtizamo wake akiamini kuwa Spurs imeumaliza mwendo.
Manchester City vs Real Madrid | UEFA Champions
Vipi kipara leo atatoboa Etihad?
Mashabiki @SkillzSensei na @IamMasoudJr wanaeleza mtazamo wao katika mchezo wa City dhidi ya Madrid utakaopigwa kuanzia saa tano usiku.
Arsenal vs Leverkusen | UEFA Champions
Shabiki wa soka @SkillzSensei anasema tutegemee mchezo mzuri wa kiushandani, kwani licha ya hisia za watu wengi kuwa Arsenal ana nafasi kubwa ya kushinda, lolote linaweza kutokea.
Nini maoni yako?
Chelsea vs PSG | UEFA Champions
Chelsea watapindua meza?
Shabiki wa soka @SkillzSensei anaweka wazi mtazamo wake kuelekea mchezo huu utakaopigwa saa tano usiku.