Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿

25.9K posts

Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 banner
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿

Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿

@Stepchildjr

Don't let your struggle to become your identity ✨️.

Shinjuku-ku, Tokyo Katılım Nisan 2022
195 Takip Edilen265 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿@Stepchildjr·
Unapozaliwa, hakuna kinga dhidi ya haya👇🏾 1. 💔 Maumivu 2. 🔄 Mabadiliko 3. 🚫 Kukataliwa 4. 🕊️ Kupoteza wapendwa 5. 💸 Kulipa gharama ya maamuzi yako! Survive anyway. Head up. Chest out. 🧠🔥
Filipino
0
2
1
449
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨DESPERATION AND STUPIDITY ‼️🙄 The economic crime case of @mangekimambi states that she got money illegally by practicing journalism without a license from the Accreditation Board between 01 March 2022 to 31 March 2022 The Accreditation Board was formed and officially launched March 03,2025 This how desperate @SuluhuSamia and her murderous cabal are 🚮 Mungu akunyime yote ila siyo akili! Yaani ofisi ya DPP wamekosekana hata watu wawili wa kuona makosa kama haya? Bodi ya ithibati ya 2025 ilitoa leseni gani 2022? Mungu anaendelea kuwapa kichapo 💪🏽 Nawaambia hii vita tumeshashinda! Wanatapatapa tu 🚮🚮 #SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #D9Tunatoka
Maria Sarungi Tsehai tweet media
English
27
160
682
45.1K
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿@Stepchildjr·
Hii ng'ombe ya yeriko ina akili kuliko Yeriko mwenyewe
Jambo TV@Jambotv_

VIDEO: Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na mwandishi wa vitabu, Yericko Nyerere, ameituhumu Jumuiya ya Ulaya (EU) akiitaja kuwa sehemu ya wanaopaswa kuchunguzwa kuhusu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 nchini Tanzania, akidai kwamba EU “imehusika sana kuchochea yaliyotokea.” Akizungumza na Jambo TV, Yericko amesema kuwa endapo kutahitajika uchunguzi wa kimataifa, basi EU haitakiwi kuwa sehemu ya vyombo vitakavyoshiriki, kwa sababu kwa maoni yake “ni sehemu ya watuhumiwa,” akisisitiza kuwa yeye binafsi ni miongoni mwa wanaoamini kuwa hatua za jumuiya hiyo zimechangia kuzorota kwa hali ya kisiasa nchini. Amesema hayo akirejea mjadala unaoendelea baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhutubia wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, hotuba ambayo iligusa masuala ya majeraha ya kisiasa na misukosuko ya baada ya uchaguzi. Katika mahojiano hayo, Yericko amesema kuwa tayari serikali imeshakiri yaliyotokea akirejea hotuba ya Rais Samia wakati wa kufungua Bunge, pamoja na kuunda Tume ya kuchunguza yaliyotokea kipindi cha uchaguzi. Amefafanua kuwa kwa mujibu wa sheria za nchi, mamlaka ya kuunda tume za uchunguzi ni ya Rais pekee, na kwamba hakuna sehemu ya Katiba inayoeleza utaratibu wa namna tume hizo zinavyopaswa kuundwa, jambo analoliona kama “pengo la kisheria” linalopaswa kujadiliwa katika mchakato wa katiba mpya.

Filipino
0
1
0
31
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Baada ya tarehe 29 sasa hivi mtaani hakuna mwananchi anaetaka kunyanyashwa, #MsiogopeTushinda
Indonesia
11
191
893
25.8K
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mwanachama mwenzetu Lucy Shayo alimakatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Tanga, Novemba 30, 2025 baada ya hapo alisafirishwa kuletwa Dar kwa ajili ya Mahojiano. Tangu siku hiyo hadi leo bado anashikiliwa na Jeshi la Polisi na sasa yupo kituo cha Polisi Chang’ombe, nimejulishwa kwamba amepigwa sana hawezi hata kusimama. Pamoja na mateso yote hayo lakin bado Polisi hawataki kusema kosa lake ni nini? #FreeLucyShayo
Hilda Newton tweet media
Filipino
14
330
1.4K
44.6K
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
Leeds United
Leeds United@LUFC·
Us to all the Chelsea fans in the comments
Leeds United tweet media
English
9.1K
19K
157.4K
17.4M
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
Cornelius K. Ronoh
Cornelius K. Ronoh@itskipronoh·
Meta is the most useless app. The only real OG is Elon Musk! Hao wengine ni takataka!
Cornelius K. Ronoh tweet media
English
19
194
943
21.8K
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
WANANCHI wamesema mara nyingi wanataka HAKI. SERIKALI imesema kwa kurudia wao wanataka AMANI. MAASKOFU wamesema wanataka HAKI na AMANI. BAKWATA hawaelewi wanataka HAKI, AMANI au WALI.
Indonesia
117
336
2.5K
124.8K
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Mange kafunguliwa kesi ya Uhujumi uchumi, kwa mujibu wao wanasema amejipatia MILIONI 138. Hapo kuna ANGELA KIZIGA aliekuwa na kesi ya kula MABILIONI ya mapesa ya kununua sare za Jeshi zama za MAGUFULI. Baada ya Samia kuwa Raisi akawa mtu wa mkono wa kulia wa Samia na KESI haipo tena. Mtoto wake KIZIGA anatembelea magari ya MABILIONI. Kuna IGP WAMBURA ambae zilivuja Taarifa zake za bank ya CRDB akiwa na MABILIONI kwenye account zake, na hatuambiwi anafanya Biashara gani ya kujipatia UKWASI wote huo. Anajenga majumba ya MABILIONI huko masaki muda huu. Kuna ABDULI MTOTO WA SAMIA ambae ilivuja Risiti ya Vifaa vya hardware alivyonunua vyenye thamani ya MABILIONI. Huku magari yake ya MABILIONI zikivuja Picha Na hakuna kitu anafanywa. MOMBO mkuu wa usalama wa taifa (TISS) zilivuja VIDEO ZA WATOTO WAKE WAKIWA NYUMBANI KWAKE KUKIWA NA MIGARI YA MABILIONI IMEJAA YARD HUKU WAKIWA WAMESHIKA ZAIDI YA DOLA LAKI TATU CASH NA WAKATUPIGA DOLE LA KATI. Hawa wapumbavu wote hakuna hata mmoja mwenye kesi ya UHUJUMU UCHUMI na wamepiga matrilioni ya mapesa mpaka sasa nchi inadaiwa ZAIDI TRILIONI 107. Hawa hawasumbuliwi wanahainga na MANGE kwa MILIONI 138 huu ni UPUMBAVU. WATANZANIA SIO WAJINGA. KAMA MNAUCHUNGU NA PESA ANZENI NA HAWA VIBAKA. SATIVA "The walking Dead" TUTAKUWEPO🫵😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
29
158
1.1K
59.3K
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
😂😂😂😂 Bora tungeweka tu ndala au buti kwenye kitu tukajua tunadili na ndala au buti Hii si ni habari mbaya sana
Indonesia
10
55
318
18.4K
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hey @OversightBoard Check out @Meta @instagram and their role in enabling the cover up of #TanzaniaMassacre by restricting and deleting our Instagram and Whatsapp accounts with @mangekimambi without ANY NOTIFICATION and chance to review or appeal This is a direct attack on human rights defenders! We work to save lives by whistleblowing about abductions, corruption and killings incld the premeditated massacre in October Thank you @LarryMadowo 😓🙏🏽
English
45
791
2.2K
76.5K
Stepchild__ 🇰🇪🇹🇿 retweetledi
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Habari yako @YerickoNyerereT nipo kwenye kamati ya Maandalizi hapa Seashell Hotel unataka ukae siti gani wakati wa kupiga makofi mwenzio akibeba Tuzo ili nikuwekee kiti kipya.
Taivina James tweet media
Filipino
59
91
1K
47.3K