Strange Migrant

5.8K posts

Strange Migrant banner
Strange Migrant

Strange Migrant

@StrangeMigrant

JOBLESS||Here for fun||INTROVERT

Katılım Şubat 2022
994 Takip Edilen219 Takipçiler
M A C K 🤠 🇹🇿.
M A C K 🤠 🇹🇿.@Omarymsomal·
Hivi ili uwe super power unatakiwa uwe na uwezo wa kujilinda au kushambulia?
M A C K 🤠 🇹🇿. tweet media
Indonesia
11
7
42
1.2K
IMole
IMole@UTDIMole·
99% will get this wrong Name the missing player you can't.
IMole tweet media
English
1.7K
114
4.8K
1.7M
Strange Migrant
Strange Migrant@StrangeMigrant·
@Psiteshio1 Kumbe familia nzima ni vichwa? Ah tumebarikiwa viongoz smart sana na wenye maono
Indonesia
0
0
1
452
Zehrry🌚
Zehrry🌚@big_zehrry·
After achieving all these, what next in life ?
Zehrry🌚 tweet media
English
4K
899
13.5K
1.1M
Strange Migrant
Strange Migrant@StrangeMigrant·
Kwa kawaida ya magonjwa atahitaji kuonwa na Daktr wa moyo watoto (Cardiologist) yeye ndio akiona mtoto anafit kwa upasuaji atampeleka kwa Daktari wa Upasuaji wa moyo wa Watoto. Kwa Cardiologist The best By far in the Country Kuna Kubhoja, Naiz, Stella Surgeon Godwin na Shonyela
vwathu@2010@IbrahimuAdolfu

@shaks_prince nihatari kiasi gani huo upasuaji!? anyrecomendation ya dr pale jkci kumwona!?

Indonesia
0
0
0
5
Dr Mwakalebela
Dr Mwakalebela@Isayadicksonjr·
Is your salary reflective of the years of study and sacrifice ??
English
4
1
9
822
Doctor Strange
Doctor Strange@DrStrangejm·
A trip to Vietnam would heal my soul..
English
3
0
2
353
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
#UfafanuziMuhimu // Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni amezungumzia changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta Duniani. Kutokana na baadhi ya watu kuhitaji ufafanuzi wa kauli hiyo, Mheshimiwa Rais alimaanisha ifuatavyo; 1. Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026. 2. ⁠Bei za mafuta ya petroli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 434 kwa tani ambapo zimetoka dola 618 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,052 mwezi Machi 2026. 3. ⁠Bei za mafuta ya taa na mafuta ya ndege katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 821 kwa tani ambapo zimetoka dola 679 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,500 mwezi Machi 2026. Pamoja na kuwepo kwa athari za kupanda kwa bei za mafuta kwa watumiani Duniani kote, bado viwango vya bei za mafuta vya Tanzania ni vidogo ikilinganishwa na nchi zingine. Kupanda kwa bei za mafuta kumesababishwa na athari za vita inayoendelea kati ya Irani dhidi ya Israel na Marekani iliyosababisha kufungwa kwa lango la Hormus ambalo hupitisha mafuta mengi yanayotumiwa Duniani ikiwemo Tanzania na nchi zingine za Afrika.
Gerson Msigwa tweet media
Indonesia
434
31
140
85.3K
Strange Migrant
Strange Migrant@StrangeMigrant·
@amina_hafidh Binti inaonekana hata ww hujui unachokiongelea Hujui hata maana ya makosa ya kimatamshi LET ME EDUCATE YOU @ TULIA NIKUPASHE Mama ako hajakosea matamshi bali hajui
Strange Migrant tweet media
Indonesia
2
2
4
352
mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh·
Kwahio Raisi kukosea kuongea mmeifanya ni Agenda Ni kama hamna mambo ya msingi ya kujadili Nyie hamjawahi kukosea kwenye kuongea? Upuuzi!
Indonesia
116
14
84
11.9K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Hawa wataalamu kama wamebahatika kuona mzigo itakuwa kazi wakisikia mafuta ni dola 6000 kisha anarekebisha anasema dola 600 kesho wanajipigia
Think Different tweet media
Indonesia
37
73
613
28.1K
Strange Migrant
Strange Migrant@StrangeMigrant·
@therealsemsii Si Bora angeenda tu Iran angejifunza bei mbali mbali za Kupitisha mafuta kwenye mlango bahari wa hormuz
Indonesia
1
0
0
23
Kremlin
Kremlin@therealsemsii·
Elimu mbalimbali sawa...ila ndio ukasome pakistan?😂😂😂😂😂
Filipino
2
0
1
129
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Marekani amesema mzigo huu sio ambao walikubaliana mwanzo na Iran😀
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
17
5
128
5.8K