Sabitlenmiş Tweet

Mabalozi 53 wanafunzi, walimu 4 na shule 4.
Tunapenda kuujulisha Umma kuwa, leo tarehe 17/09/2022 kwa kushirikiana na Ubalozi @IrlEmbTanzania , tumeteua mabalozi jumla 61 ambao watatumia elimu ya usafi binafsi na mazingira kuwahamasisha vijana wenzao kwenye suala zima la usafi.




Indonesia















