sufferLewis

2.3K posts

sufferLewis banner
sufferLewis

sufferLewis

@Suffer_Lewis

The Main Focus is to stay focus ✌🏾

Dodoma, Tanzania Katılım Ekim 2021
506 Takip Edilen189 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
sufferLewis
sufferLewis@Suffer_Lewis·
Kwa mwaka 2024 tena bado @dizastavina anasalia kuwa bingwa namba moja na The Best mcee all over the world kwa upande wangu 👑
sufferLewis tweet media
Filipino
17
24
230
5.6K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Sitaki kuamini kwamba Steve Mweusi ana hela ya kumlipa Mr blue kuonekana kwenye movie yake
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
43
35
537
24.6K
sufferLewis
sufferLewis@Suffer_Lewis·
@gabyconscious 😂😂bi mkubwa ndo mboga zake hizi kuna hii na mboga ya maboga, nilikuwa sipendi, tangu nilianza kutafuta pesa zangu mwenyewe nilisema sili tena Sababu haiwezekani nitafute pesa kwa shida af tena na nile kwa shida 😂😂
Indonesia
0
0
0
72
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
Which Chirs Brown album have you listened to the most❔❓
Dullah_theKing🎧 tweet media
English
40
21
148
7.8K
Muzikknow
Muzikknow@Muzikknow·
Ni msanii gani umekuwa ukimsikiliza kwa muda mrefu zaidi❓
Tanzania 🇹🇿 Polski
11
4
22
603
SONGA
SONGA@NiiteSonga·
Usawa huu ukiwa huna kazi,kazi unayo.
Indonesia
13
27
214
5.2K
Mosam
Mosam@mosam_chande·
Mwenye "Tiffo" jipya la Arsenal atuwekee hapa, tumesemwa sana humu!⚪🔴
Filipino
7
2
68
1.7K
sufferLewis
sufferLewis@Suffer_Lewis·
@DullahTheking2 The Game ft Lil Wayne, na sio tu favorite kwenye hilo bali ni my favorite song ever
Filipino
0
0
1
11
sufferLewis
sufferLewis@Suffer_Lewis·
@HastaRuego Sometimes huwa kwenye ku scroll unakuta une bookmark bahati mbaya
Indonesia
0
0
1
35
CHAVO 🌟
CHAVO 🌟@HastaRuego·
Twitter ni Sehemu ambayo unaweza ukampost grandmother wako una muwish happy birthday na watu waka bookmark, Sijui huwa bookmark zingine huwa za kazi gani 😂
Indonesia
17
16
40
8.7K
Waziri Wa Mbeya
Waziri Wa Mbeya@waziri_mbeya98·
Pixel Watatoa Matoleo Mengi Lakin Kamwe Hawaji Toa Toleo Bora Kama Pixel 3a Ile Cm Ni Itengwe ..🔥🙌
Suomi
37
28
383
18K
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
BRAND NEW SAMSUNG A-SERIES FROM DUBAI A06 4/64 – 221,000 A06 4/128 – 259,000 A07 4/64 – 231,000 A07 4/128 – 274,000 A16 4/128 – 338,000 A17 4/128 – 399,000 A17 6/128 – 422,000 A17 8/256 – 474,000 A17 8/256 – 556,000 A26 6/128 – 538,000 A26 8/256 – 598,000 A36 8/128 – 673,000 A36 8/256 – 768,000 A56 8/128 – 850,000 A56 8/256 – 937,000 A56 12/256 – 1,034,000 Tucheck Whatsapp: shorturl.at/ItKZY ➠ 📍Dubai ➠ Express Delivery: 1–7 Days ➠ Shipping fee (SIMU MPYA) ✈️: 30,000 Utalipia kwa Cargo ukichukua MZIGO ➠ Pay-on-Delivery hatufanyi❌, kama hutuamini Bora BIASHARA ife.
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
8
32
55
5.6K
sufferLewis retweetledi
SONGA
SONGA@NiiteSonga·
Ifike mahali watu wachague kukupenda ama kukuchukia lakini wakitambua kuwa yote mawili hayakusumbui.
Indonesia
10
59
320
7.9K
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Imagine DODOMA hamna umeme jiji zima Sasa sijui ilikuaje? mpaka wakaiita jiji Qmmk🤷‍♂️
Indonesia
10
8
76
3.6K
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
Kuna mgonga ulimbo mwenzetu huko Nigeria alikua anaenda kula hela nyingi sana kwenye jamvi lake la stake ya buku ila account yake imekua suspended na kajikuta kalog out na account wameilock @sportybettz @SportyBet hii ikija kutokea kwangu basi nitawapaka mafuta mengi hadi mumeremete. Kumbe kuliwa inawaumiza sana 😂😂💔
MRENO⛑️ tweet mediaMRENO⛑️ tweet media
Filipino
18
20
108
14.6K
SportyBet
SportyBet@SportyBet·
@mreno255 @sportybettz Hi. SportyBet haifungi au kuondoa akaunti za wateja kwa sababu ya kushinda. Kwa sababu za faragha na usalama, hatuwezi kujadili akaunti ya mteja mwingine. Tafadhali mshauri mteja atuwasiliane moja kwa moja. Asante!
Indonesia
1
0
3
734
Billy
Billy@BillyTronix1·
Skyworth or TCL?
Billy tweet mediaBilly tweet media
English
21
28
145
8.8K
sufferLewis retweetledi
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Wakati tunakaa Simike na maza bana siku nyingi tulikua tunapiga Deshi(hatuli) afu maza anasema tupige goti tuombe na tukitoka tuSmile kama ndani tumekula. Niliapa siku nikipata chochote kitu Mimi nitakula NYAMA kila siku. Yaani imagine kula nyama tu kwangu ilikua inamaanisha KUTOBOA🤣🫵🏾
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Filipino
27
20
221
10.7K