tumepoa na wana mshkaji akafanya kuplay hii ngoma mpya ya alikiba polepole nikaskia bro anasema "hii sasa ndio ngoma sio zile kuskiza mpaka uwe umewaka". 😂
Binafsi nilitenga muda wangu mzuri ili kuipa sikio hii ngoma kisha ndo nitoe ukweli kutokana na nilichokisikiliza aise hii ngoma ni kali sana wanangu itoshe kusema hivo 🔥