Sitaki kuwa mnafiki uyu jamaa Mimi sijawahi kumkubali toka anaanza Muziki mpaka Leo sina nyimbo yake hata mmoja kwenye simu yangu sio kwamba ajuhi kuimba anajua sana sijuhi hatashida ni nini
Hivi nani aliyepiga Picha za Sayari zote 8
Ambazo zimechorwa kwenye Vitabu.
Na hizo picha zilipigwa na Camera Gani?
Kama Jibu lako ni "NASA" nakublock 😂
Usinitajie Taasisi ya Matapeli.
Samatta amefunga amefunga Ligi Kuu
Samatta amefunga Ligi ya Congo
Samatta amefunga Belgian Pro Lig
Samatta amefunga Turkish Pro League
Samatta amefunga France League 1
Samatta amefunga UEFA CL
Samatta amefunga CAFCL
Samatta amefunga EUROPA LEAGUE
Samatta amefunga AFCON
🐐