
Taidi tughimbe
4.9K posts

Taidi tughimbe
@TaidiMiah
Some 1 who never give up✊. book ❤️lover .. not shame to money💰..& always leaning.


The biggest lesson here is simple A country with LNG potential, EACOP leverage, strategic ports and regional logistics access should negotiate from confidence not desperation. That does not mean rejecting investors. It means understanding your geopolitical value before signing longterm agreements.






Sakata la mirathi ya aliyekuwa Kiongozi wa Klabu ya Simba SC na Mfanyabiashara maarufu marehemu Zakaria Hanspope limeendelea kuzua mjadala mkubwa, baada ya Benki moja kudai deni la zaidi ya shilingi bilioni 7 na kutaka kuuza magari zaidi ya 70 yaliyopo eneo la Mbezi Jogoo Jijini Dar es salaam ambapo zoezi hilo limesitishwa na Jeshi la Polisi huku sintofahamu ikiendelea kutawala kuhusu uhalali wa deni hilo. Familia ya marehemu Hanspope sasa imevunja ukimya na kueleza kuwa deni hilo linadaiwa kuchukuliwa mwaka 2024, ilhali marehemu alifariki dunia mwaka 2021 huku wasimamizi wa miradhi wakidai kuwa watu wanaotambulika kisheria katika mirathi hawakuhusika kwa namna yoyote na mkopo huo, jambo linalozua maswali kuhusu nani aliyekopa fedha hizo kwa jina la marehemu. Akizungumza katika mahojiano maalum, mmoja wa Watoto wa marehemu Hanspope, Abei Hanspope amesema familia imekuwa ikipitia kipindi kigumu kutokana na mgogoro huo, huku wakisisitiza kuwa wanahitaji ukweli na haki kupatikana. Aidha kwa upande wake Wakili wa familia hiyo amesema kuna masuala ya kisheria yanayohitaji uchunguzi wa kina, ikiwemo uhakiki wa nyaraka za mkopo huo pamoja na taratibu zilizotumika hadi benki kufikia hatua ya kutaka kuuza mali hizo. #MillardAyoUPDATES


Utofauti wetu sisi na ninyi! Millennials hamkua na machaguo, enzi zenu kusikiliza music mpaka “fundi mitambo” wa radio tanzania acheze hivyo vibao, unataka kusikiliza au hutaki lazima utasikiliza! Sasa hivi unasikiliza unachotaka mzee! zuchu yupo ila hatumsikilizi




Millennial wali download music kutumia "waptrick,wapdam,Tubidy"


Millenial ndio walikuwa wanaita touch screen badala ya Smartphone😂😂😂













