
Acha kuaminishwa kwamba coding ni kwa ajili ya watu wachache ‘ma-genius’ wa hesabu. Coding ni ubunifu. Coding ni kutafuta majibu ya changamoto.
Usiiruhusu hofu ya mambo ya shuleni ikuzuie kupata ujuzi wa karne ya 21. Kila mtaalamu unayemwona leo, kuna siku alikuwa hajui hata mstari mmoja wa kodi.
📌Badili mtazamo, fungua kompyuta yako, na uanze safari yako. Uwezo unao!
Tag rafiki yako ambaye anatamani kuingia kwenye Tech lakini anaogopa!
#CodingTanzania #TechWomenTZ #DigitalTransformation #StartToday #MitandaoNaSisi

Indonesia
























