Tegemea Patrick,PhD RN

99 posts

Tegemea Patrick,PhD RN

Tegemea Patrick,PhD RN

@TegemeaPatrick

I'm a nurse scientist,midwife and researcher exploring clinical & community strategies to improve neonatal and maternal health outcomes.

Massachusetts, USA Katılım Haziran 2019
400 Takip Edilen69 Takipçiler
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@fuad_fx_ @ummymwalimu Loh sio sweikali itagute sababu kwanini na kurekebisha changamoto. Yaani mtu avuje jasho asome na atumikishwe kwa lazima sehemu askhoitaka🤔🤔🤔
Indonesia
0
0
0
230
fuad_fx_
fuad_fx_@fuad_fx_·
Kama serikali ilitoa nafsi ya 35 wakaja 15 mm naona utumike utaratibu wa lazima mtu kufanya kazi sehemu nyingine awe amepitia serikali kwa kuomba kazi na kufanya au kuomba kazi ili kama kazi hakuna ndo aende huko kwingine pia Hospital za binafsi sio kila mtanzania anaweza kulipia gharama zake hivyo mh waziri angalia namna sahii ya kuweza kuwalazimisha watu hao kufanya kazi katika hosptal za mikoani maana nako huku kuna nguvu kazi ya taifa pia 🤝
Indonesia
6
0
2
2.5K
Ummy Mwalimu
Ummy Mwalimu@ummymwalimu·
1/2 Hili suala la Madaktari bingwa kufanya private Klinic katika Hospitali za umma (IPPM) baada ya saa za kazi sio jipya. Tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road nk. Lilianza kutekelezwa zaidi ya miaka 15 iliyopita. Lengo ni kutoa motisha wa kuongeza kipato cha Madaktari bingwa na bobezi walioajiriwa na Serikali. Kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali Mikoani, sasa tunataka kushusha utaratibu huu kwenye Hospitali za Rufaa za Mikoa ili kubakiza madakatari bingwa kuendelea kufanya kazi mikoani. Hili jambo lina tija ktk kuimarisha upatikanaji wa huduma za kibingwa mikoani. Daktari bingwa anapata na Hospitali inapata. Muhimu kuweka utaratibu mzuri na wa wazi. Nb. Tuna uhaba wa Madaktari bingwa katika Hospitali za Rufaa za Mikoa. Mwezi uliopita tulitangaza nafasi 35 walioomba ni 15 tu. Kama Wizara tutaendelea kuweka mikakati mbalimbali ili kuvutia Madaktari bingwa kufanya kazi ktk Hospitali za umma hasa za mikoani #MtuNiAfya #TunaboreshaAfya
Shinyanga, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
37
27
127
27.6K
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@OriginoZee17 Kwa experience yangu huu ni utapeli. Kuna stage mkifika atakuambia utume hela ya mzigo. Nina nfugu zangu wawili wamepitia same steps na waliombwa hela in the process ya kutumiwa laptop na simu.
Filipino
1
0
1
39
Anna Clemens, PhD
Anna Clemens, PhD@scientistswrite·
I'm looking to connect with researchers who want to change the way they write and publish papers. 👋 Who am I? Heya! I'm Anna, PhD and academic writing coach and founder of the Researchers' Writing Academy. Let's link up! 😎 #AcademicTwitter
English
185
82
827
103.1K
Frank J. Minja MD
Frank J. Minja MD@frankminja·
Feeling very Blessed and Thankful to join the leadership team @EmoryRadiology .. looking forward to the learning and service journey ahead!
Frank J. Minja MD tweet media
English
60
34
316
24.6K
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@EdomRaphael @FestoNgadaya how non lab testers for HIV are preventing lab technician employment. However I am still supporting the argument of increased opportunities for lab technicians for improved health. Kuna wamama wajawazito kibao huko peripheral mpaka wanajifungua wanakua hawajapima hata Hb
English
0
0
2
48
Raphael Edom
Raphael Edom@EdomRaphael·
@TegemeaPatrick @FestoNgadaya As the world is thinking and have started to adcate for HIV Aselftesting and also implimentqtion in some parties. i don't think if this matters to be as a compalin over the proffessional responsibilities 🤒
English
2
0
1
57
Bonge La Afya
Bonge La Afya@BongeLaAfya·
Naona kuna mafunzo ya Non Lab Testers ZOOM leo. Kwa nini uchukue mtu ambaye sio mtaalamu wa vipimo, umfundishe kwa ZOOM ili akafanye vipimo wakati mtu aliyekaa shule yupo? Kwa nini asiajiliwe mtaalamu aliyesomea?
Bonge La Afya tweet mediaBonge La Afya tweet media
Indonesia
49
32
170
65.4K
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@EdomRaphael @FestoNgadaya Definitely my point- we need more access to this .In some parts of the world self testing is very prevalent and there is no problem at all. I think more arguments should be tailored to advocating for the need of more lab technicians for improved healthcare I personally don't see
English
0
0
2
20
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@Ngoloma7Master @FestoNgadaya Ninachomaanisha unisaidie Naomi yako kuhusu namna ambavyo HIV testing na malengo yake yanaweza kuwa achieved vila non lab testers. Pili kwanini unataka non lab testers waondolewe kwenye HIV testing services?
Filipino
0
0
0
14
@ngoloma ndaki
@ngoloma ndaki@Ngoloma7Master·
@TegemeaPatrick @FestoNgadaya Non lab testers watolewe kabisa kuhusu kutambua kwa clinical hapo sijajua ulimanisha nini sababu clinically unasuggest HIV confirmation nafanya mimi lab au hapo imekaaje
Indonesia
1
0
0
12
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@Ngoloma7Master @FestoNgadaya Na kubaliana kabisa na hoja kwamba serikali iongeze ajira za lab- wanahitajika sana na umuhimu wao haupingiki ni obvious. Tujenge hoja hapo na tuseme jinsi upungufu huu unavoadhiri quality ya care pia na mambo mengi yanayoathiri utoaji wa huduma za maabara kwa ubora
Indonesia
0
0
1
6
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@Ngoloma7Master @FestoNgadaya Zinasoma HIV counselling and testing na hizi huduma pia zimeorodheshwa kwenye job description ya kada zaidi ya maabara: tukianza mjadala wa nani mmiliki wa hii huduma bila kulenga maslahi mapama ya quality ya care ni changamoto maan lengo la huduma za afya ni kutoa huduma
Indonesia
1
0
1
11
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@Ngoloma7Master @FestoNgadaya How? I am not trying kupingana na nyie kupambania taaluma yenu, you are totally right however nimecomment kwenye Hill kwasababu nahisi haliweki kipaumbele umuhimu wa huduma stahiki kwa jamij, limelenga zaidi kwamba hii huduma ni mali yetu. Mimi nina zijua kada kadhaa zinasoma HIV
Filipino
0
0
0
8
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@Ngoloma7Master @FestoNgadaya 90 percent ya walio positive waanzishiwe matibabu. Je tukitoa non HIV testers hili ni posible kwa kutumia maabara pekeake? Na kwa maoni yako unadhani kwenye kada za afya ni posible kitokua na majukumu yankada zote bila mwingiliano na tunatoa huduma stahiki na bora kwa jamii?
Filipino
0
0
0
21
@ngoloma ndaki
@ngoloma ndaki@Ngoloma7Master·
@TegemeaPatrick @FestoNgadaya Nashauri kupungue mwingiliano wa majukumu no lab testers wapishe nafasi zetu yapo mengi na kubwa kuliko ni ajira sawa kwa kada ya maabara kulingana na uhitaji maana mfano wa kuna vituo havina kipimo chochote ila cha ajabu watu tupo mtaani tu tunalalamika
Filipino
4
0
0
45
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@Ngoloma7Master @FestoNgadaya na chief complains zao na counseling inaanza kufanyika ili wawe tested : hapa tukisema non tedterd wa HIV walishe hili litakaaje? Pia malengo ya HIV ya hivi karinuni ni 90/90/90 Yaani tufikia malengo ya kuwacounsel 90 percent ya wote tunaowahudumia hospitali, 90 percent wapate
Indonesia
0
0
1
12
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@FestoNgadaya picha ya namna hili linavyoweza kuwa na ufanisi wa kuhakikisha huduma bora ya HIV testing haiei affected. Nilikua najaribu kuwaza jinsi hili linavoweza kuwa kwenye ground bila kuhusisha non lab testers which are currently ithe individuals carrying this role mostly
Filipino
0
0
2
358
Crystal Garvey PhD, RN
Crystal Garvey PhD, RN@drcgarvey·
The sleepless nights, the never ending cups of coffee and countless tears have paid off. PhDfinished 🎓
Crystal Garvey PhD, RN tweet mediaCrystal Garvey PhD, RN tweet media
English
17
5
162
4.7K
Tegemea Patrick,PhD RN
Tegemea Patrick,PhD RN@TegemeaPatrick·
@UMassWalker Thanks for highlighting these important questions Dr. Walker. I can't agree enough with these questions. I will book mark these because I have a context that is very relatable!
English
0
0
0
21