
Jenga future yako sasa, Anzisha kampuni yako sasa, Anzisha mradi wako sasa, Nunua Viwanja vyako sasa, Fungua Biashara yako sasa, Wajibika kwa ajili ya maisha yako sasa Usisubili wakati sahihi anza kidogo leo Baadaye usijekuwa mzigo kwa watoto wako Watoto wako sio pension funds













