
@Zion89811265 @Wakazi Sijui uo mtaa mnaouzungumzia ni mtaa gani, maana jamaa wanafanya poa sana (hata umu x ni mtaani), enzi za kina prof media zilikua na nguvu ila sasa social media ndo zenye nguvu kaka
Indonesia
Chitalula
958 posts




Mex ni Rapa Mkali sana Bongo Ila angepambana kutoa Ngoma kaliii pia za kumpeleka Huko mtaani Jina lake liimbwe zaidi hadi na watoto kuliko wafatilia Mziki peke yake.



Shida dau walisema aseme anataka shingapi akasema wakakubali badae wamekuja na dau lao paka hapo makubaliano wamekiuka . Sio Kila jambo liwe kwa mhemko weka Pesa tufanye. Mie Shabiki wa Mex kama ajatokea na mwelewa sana .
















@Geoffrey87Lea Chama hata akiwa babu wa miaka 50 bado ni bora kuliko huyo MVP feki asiye na stamina! Opponents waliokutana nao akina Chama ni sawa na hawa wanaocheza na akina Ahoua? Umeamua kuhamisha mjadala..,





