Morning, public announcement.... am going out today with my personal person! Ukiniona hunijuwi, na sio mdaa wakusalimiana na wala usisubutu kuhama meza, NITAKUHAIBISHA!
@yokinjabili Blaza wewe sio wakuniachia mimi bill mbele ya umati wa jinsia tofauti eti kisa "umeitwa call" wewe kaka kweli😂😂😂😂..... hapana kaka hayawezi kuisha!
Patient: Wow You’re such a good doctor, very kind and informative. You parents must be really proud. I wish I had a son like you
Me: all smiley faced, and cheerful then boom remembers my family thinks I’m a crazy ass fool 😂😂😂😂
@MinduzSon@yokinjabili Kuna zile sambusa za mboga mboga pale upanga,.... una kuta sambusa ina njegere, kunde, dengu, choroko na giligilani kibao hamna nyama, ila plate moja ya sambusa 4, shilingi 6000 😂😂
Enjoying the food some place somewhere...... Tip the waitresses for the service, anatokea mdada ana makucha marefuuu kama jini, "huu wali mbona una kiini" ......... nusu nimjibu umetafuna mikucha yako, sio wali 😒😒