Mussa Tuwelango
2.6K posts

Mussa Tuwelango
@mussa2we
Medical Doctor, Radiology Resident

Miaka 16 hadi 19 unaitumia kwenye kusoma.Una ajiriwa ukiwa na miaka 30 kazi ya mshahara wa laki 3 kwa mwezi halafu unategemea pensheni ya ustaafu milion 50 hadi 60 ambayo itahitaji usolve vipengele vya madeni kibao.💔😂 Ifike time tuelewe elimu ya Tz ni chanzo cha umasikini pia.


Till this day, I still don’t know what’s so wrong about dating your course mate.



In Medicine the pressure never ends until you retire, just enjoy Life.


Dear Chinua Achebe, we are no longer at ease.

Ile PCM class ya Kibaha 2021 ilikuwa GOATed. I'm glad nilikuwa part ya ile pool man. Ilikuwa stacked na brains balaa😂🔥🔥 Kulikuwa na integration problem moja, fundi mmoja anaitwa Mwaka aliingia akacheki ubaoni, ile substitution alipiga pale ilibidi apewe standing ovation


Mi watu wanaopigaga picha vyakula ni washamba sana 😂. Mbaba na mindevu yake unakuta anatoa Simu kupiga picha Chakula.
















