Tomkin

30.6K posts

Tomkin banner
Tomkin

Tomkin

@Tomkinx_

||@manutd fan⚽️||Basketballer🏀|| Jamal Musiala💯🚀

Katılım Ağustos 2023
3.3K Takip Edilen3.3K Takipçiler
Tomkin retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
#EnforcedDisappearance #Tanzania Still no sign of @Ninja_Damour who was abducted at his home by seven men with handcuffs in a white Landcruiser. All police stations denying having him! We know the modus operandi - Mafwele and gang ! It has all the hallmarks of @tanpol So RELEASE him immediately! Nyie polisi shida ni kuwa mnafanya uovu mkiamini mtalindwa daima sasa muda umefika mtawajibika very soon! Until then acheni utekaji na mwachieni Damour #FREENinja_Damour
Maria Sarungi Tsehai tweet media
English
7
113
229
3.4K
Tomkin retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Watekaji 7 walikuwa na land cruiser, silaha na pingu. Bila shaka hawa ni polisi au task force. Tunalitaka jeshi la polisi litoe taarifa rasmi kuhusu tukio hili, tujue Ninja anashikiliwa wapi na kwa sababu zipi. Na haki zake zilindwe. Free Ninja Now!!
Tito Magoti tweet media
Filipino
1
50
142
1.8K
Tomkin retweetledi
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Mlioenda kanisani msisahau kumuombea @Ninja_Damour apatikane salama. Tuendelee kupazasauti umoja wetu ni nguvu tusikate tamaa. #FreeNinja
MJUKUU (Fan) tweet media
Eesti
2
36
59
496
Tomkin retweetledi
Tomkin retweetledi
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
UCHAWI UPO: Yaani; Taifa LINALAZIMISHWA KUAMINI kwamba; UTEKAJI unafanyika kwa sababu; 1. MAPENZI 2. USHIRIKINA 3. BIASHARA🥲🥲 Acheni KEJELI. Kijana DAMOUR (Ninja) ana HAKI ya kuwa HURU chini ya ibara ya 15(1) ya KATIBA ya Tanzania.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
8
90
275
4.9K
Tomkin retweetledi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
WHERE IS NINJA, FREE HIM NOW!! Huyu jamaa sio rafiki yangu, infact ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wananikejeli na kunitusi (sababu ya ushabiki wa Wasanii wengine wa Hip Hop). Ila kama kweli mimi ni mpenda na mtetea haki, nitakuwa mnafiki nisipotumia nafasi na sauti yangu kupaza sauti juu ya kitendo cha yeye kutekwa!! SERIKALI HARAMU inawaza tu kuhusu wao kubaki madarakani, na sio majeraha inayowaachia Wazazi na Familia kiujumla kwa kuendelea kuteka na kukamata watu kiholela kinyume na sheria. Nakemea kitendo hicho na naungana na wenzangu kusema FREE DAMOUR NOW !! Kama @Ninja_Damour hajapatikana kwenye vituo vyote vya polisi, basi RPC ajiuzulu kazi leo leo maana ameshindwa kulinda Wananchi hadi uhalifu kufikia kiasi hicho. #WeWantJustice #FreeNinja #MwalimuMkuuMAMAyenu
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet mediaWebiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet media
Indonesia
2
120
308
5.9K
Tomkin retweetledi
🇹🇷GianT
🇹🇷GianT@mkemi4mkUu·
Kwenye Dua zenu msimsahau Ninja wanangu, he don’t deserve Haya maujinga. #FreeNinja .
🇹🇷GianT tweet media
Indonesia
0
57
84
785
Tomkin retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Moyo wangu unauma sana toka jana baada ya kupokea taarifa za kutekwa kwa ndugu yangu DAMOUR siku ya jana nyumbani kwao MBURAHATI!! Bado hatujui wamekupeleka wapi na unapitia situation gani wakati huu!! Haya matukio yanaumiza mno familia zetu, na kutuachia machungu yanayojenga hofu na chuki dhidi ya mamlaka zinazohusika na ulinzi wa raia na mali zake!! Haya mambo yanaweza yasikuguse sana kama muhusika hatoki kwenye familia yako, until limkute mtu wa circle yako! Na haipaswi kuwa hivyo! (Selfishness) Imagine unavamiwa na kutekwa na watu 7 wenye silaha unapigwa pingu mbele ya mama yako mzazi, na anakua hajui umepelekwa wapi kila kituo cha polisi wanasema hawana taarifa zako!! Mzazi anabaki na trauma ya milele…..Sad😌 Bado nitaendelea kupaza sauti yangu kukemea Utekaji/Ukamataji holela. #BRING_DAMOUR_BACK_ALIVE. #FREE_NINJA Nakuombea sana urejee nyumbani salama mdogo wangu, Damu ya Yesu kristo ikakufunike na kukulinda huko uliko!!❤️
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
Indonesia
25
269
705
12.4K
Tomkin retweetledi
Billy
Billy@BillyTronix1·
Free Him now #FreeNinja
Billy tweet media
English
0
112
187
1.7K
Tomkin retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Ilikuwa wakati mzuri sana kukutana na vijana wenzetu wa vyuo vikuu Mkoa wa Dar es Salaam tukijadili mustakabali wetu na kupata mwanga wa kiuongozi kutoka kwa viongozi wakuu wa chama chetu
Mwinshehe 🕊️ tweet mediaMwinshehe 🕊️ tweet mediaMwinshehe 🕊️ tweet mediaMwinshehe 🕊️ tweet media
Indonesia
100
221
716
25K
Tomkin retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Ain’t see it coming kabisa!! A good day turning bad…. Be safe damu yangu 🤲
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
English
13
242
1.5K
29.1K
Tomkin retweetledi
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
FREE NINJA WAZEE
हिन्दी
0
17
33
413
Tomkin retweetledi
Chriss papy 🦅
Chriss papy 🦅@chriss_papy·
Mwanangu Leo mmeshinda nilishazoea Leo kukutana na tambo zako za hapa na pale ila mpaka muda Huu hujulikani ulipo Mungu akusimamie mzee urudi home safe @Ninja_Damour #freeninja
1
33
63
1.1K