Elօղ Mմƙʂ.
598 posts


Let's gather there, massive Reposts 👇
Hilda Newton@HildaNewton21
Kampeni Tesha ashauri JWTZ kuchukua nchi haraka sana kutokana na jinsi mambo yanavoendelea nchini.
English

@PolepoleHumph Sisi tukifanya kazi tunafanya kitaalamu, lakini wewe umemharibia askari wetu.Tutaweka moyoni, na hatutasahau
Indonesia

Protesters celebrated, allowing KDF officers
To pass by removing the road barricade.
#SiriNiNumbers
English

#TajiriLaKihaya
Gwajima anatoka kwenye handaki Lake…anajichanganya na waumin alafu jion anarudi 😂😅. J A S U S I🙌🏽🙌🏽
Indonesia

@TanzaniaOneJezi MUNGU AKUPE AFYA NJEMA NA MAISHA MAREFU MTU WA MUNGU
Indonesia

"Ni bahati mbaya sana mjadala wa uchumi, biashara unageuzwa kuwa mjadala wa kisiasa, kidini na kiushabiki, hili jambo halina afya kwa nchi yetu. Unamuona kiongozi mkubwa kabisa anazungumzia ishu ya u-Zanzibar na u-Tanganyika katika mjadala wa kiuchumi na kibiashara" Rostam Aziz, Mwenyekiti Mtendaji wa Taifa Group
#MjadalawaKitaifaKulindanaKuenziUmojawaKitaifa

Indonesia

Wanafunzi 150 wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Tiba, Sayansi na Teknolojia (UMST) cha Khartoum nchini Sudan wamehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ili kukamilisha mwaka wao wa mwisho wa masomo.
Akiongea wakati wa kuwakaribisha wanafunzi hao, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amesema kuwa hali ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yanayoendelea nchini Sudani imesababisha kufungwa kwa Vyuo na baadhi ya shughuli kusimama hivyo Wataalamu hao kushindwa kuendelea na ratiba yao ya masomo ya kawaida.
“Wanafunzi hawa wapo mwaka wa tano wa shahada ya kwanza ya utabibu, ambapo katika mwaka huo, mafunzo hufanyika kwa vitendo zaidi, hivyo Madaktari hawa Wanafujzi watafanya mzunguko (Rotation) katika idara mbalimbali ikiwemo idara ya upasuaji chini ya usimamizi wa Madaktari bingwa ili kuhakikisha wanapata maarifa yanayotakiwa”
Amesema kuwa MNH itatoa fursa kwa Wataalamu hao kujifunza kama ambavyo inatoa kwa Wataalamu wengine wa ndani na nje ya Nchi na hata baada ya kumaliza masomo kama watapenda kufanya mafunzo tarajali (Intenship) MNH itawapa nafasi hiyo.
Kwa upande wake Ruba Anwar Salih ambaye ni Kiongozi wa kundi la Wanafunzi hao amesema kuwa wamefurahi kupata fursa ya kuendelea na masomo katika Hospitali kubwa na yenye wataalamu wa kutosha, ni imani yao kwamba watapata fursa nzuri ya kujifunza.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@Jambotv_ @SuluhuSamia Wewee umejisahau Sana vifurushi Bei juu bora ujiuzulu
Indonesia

"Kwa bahati mbaya sana anatokea mtu mzima ambaye anaaminika na tumempa heshima na kati ya watu ambao wamempa heshima ni Rais Dkt. @SuluhuSamia. Rais Samia kwa uungwana wake ndio aliamua twende kwenye maridhiano, leo kwa kulewa tu mtu mmoja anataka kuutumia vibaya uungwana wa Rais Samia" Waziri @Nnauye_Nape

Filipino






















