Trader NAS
4.5K posts

Trader NAS
@Trader_NAStz
🧠 📚 || NQ_×_US30 || Time → Price ||💼 | ❌💪|| ⚠️⚔️⚖️ #📈🤖🙏 🕊️👑❌ 15·03·025


Ikiwa biashara ya forex ni kamari, nenda ukaulize benki yako wanafanya nini na pesa zako.@Positivenga1 😂 uje na majibu utakayo pewa na meneja



TBT at TMT! Kipindi Forex Trading Inaingia 🇹🇿😀!




Kaka mm hoja ninazo nyingi nimefanya forex almost miaka miwili mwaka wa kwanza nilipause shule kabisa. Yan energy unayotumia huko ukiweka kwenye kitu chengine matokeo ni makubwa Mafanikio yana mengi kukutana na watu kujenga connections hyo ndo field ambayo utakaa


@gabyconscious @KuzaBusiness We jamaa nmekua nimekuzoom sanaa watu wa betting unawatetea kisa kuna wanao ila fx unawakandia wakati fx n uhalisia kuliko betting🚮🚮

FOREX IS LIKE A RELIGION. DON'T DISCUSS IT WITH NON BELIEVERS




















