MATUKIO DAIMA Tv

21.4K posts

MATUKIO DAIMA Tv

MATUKIO DAIMA Tv

@TvDaima

Habari wakati wote kwa weledi ,APP ya Matukio Daima ni Bure Pakua kupitia Google Play store kama unatangazo au habari ☎️0754 026 299

Iringa, Tanzania Katılım Nisan 2020
8.6K Takip Edilen8.6K Takipçiler
MATUKIO DAIMA Tv
MATUKIO DAIMA Tv@TvDaima·
Mbunge wa Kalenga Jackson Kiswaga akabidhi msaada wa Magari mawili ya wagonjwa kituo Cha Afya Nzihi na Kituo Cha Afya Kihwele huku akimshukuru Rais Dkt @SuluhuSamia Suluhu Hassan kupitia Waziri wa Afya @ummymwalimu Kwa kutoa Magari hayo .
MATUKIO DAIMA Tv tweet media
Indonesia
0
1
3
269
MATUKIO DAIMA Tv
MATUKIO DAIMA Tv@TvDaima·
Wapo wengi wanataka ubunge Kwa kutumia pesa na wanapesa nyingi kweli wakiwahonga pesa chukueni ndio fursa yenyewe hiyo ila Kwa ubunge nipeni Mimi ambae tayari nimekuwa nawaletea maendeleo Jimbo la Kalenga -Jackson Kiswaga mbunge wa Kalenga #HaflaYakukabidhigarilawahonjwaNzihi
MATUKIO DAIMA Tv tweet mediaMATUKIO DAIMA Tv tweet media
Filipino
0
0
1
196
MATUKIO DAIMA Tv
MATUKIO DAIMA Tv@TvDaima·
MAZIWA BORA KWA AFYA YAKO ASAS DAIRY MILK
MATUKIO DAIMA Tv tweet media
Filipino
0
0
2
202
MATUKIO DAIMA Tv
MATUKIO DAIMA Tv@TvDaima·
MNEC Salim Abri Asas asema ni wajibu wa Viongozi wa jumuiya ya wazazi kuendelea kusikiliza na kutatua Kero za makundi mbali mbali likiwemo kundi la Machinga,ametoa kauli hiyo leo wakati akimkaribisha katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi Taifa Alli Hapi kwenye uwanja wa Mwembetogwa
MATUKIO DAIMA Tv tweet media
Indonesia
1
0
0
198
MATUKIO DAIMA Tv
MATUKIO DAIMA Tv@TvDaima·
Meneja wa Kanda wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya nyanda za juu kusini Boniface Shoo amesema TCRA hawajatoa maelekezo yoyote ya usajili wa makundi ya Whatsapp .
MATUKIO DAIMA Tv tweet media
Indonesia
0
0
0
174
MATUKIO DAIMA Tv
MATUKIO DAIMA Tv@TvDaima·
Meneja wa Kanda wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya nyanda za juu kusini Boniface Shoo akizungumza na watoa huduma za mawasiliano wakiwemo wamiliki vya mtandao ya kijamii na vituo vya radio mkoa wa Iringa Leo katika ukumbi wa Maktaba ya mkoa ya Iringa
MATUKIO DAIMA Tv tweet media
Indonesia
0
0
0
152
MATUKIO DAIMA Tv
MATUKIO DAIMA Tv@TvDaima·
DKT BITEKO KUFUNGUA MKUTANO WA 13 WA TEF
MATUKIO DAIMA Tv tweet media
Indonesia
0
0
0
116