DCRG
254 posts


Hii ni Mwanza, Baadaye mje kuanza kusema waandamanaji walikuwa wanafanya fujo.
Kuna mtu huwa anasema wananchi hawana hoja, mara wametoka nje ya nchi. Hii ni Tanzania na hawa ni Gen Z. #D9
Indonesia

@amina_hafidh @ubwete_fighter Tananzia ya nyoko umelambishwa asali unatoka adharani kiboya
Indonesia

@ubwete_fighter Wapi amekata tamaa
Mimi ni mzalendo nitaipambania Tanzania yangu
Indonesia

Leo nitakuwa na space KABAMBE SANA TENA YA MOTO🔥🔥
Nikizungumzia kuhusu 9 Disemba na vurugu zinazoletwa na wahalifu wa maandamano
#TanzaniaSalama
#KataaVuruguNaUhalifu

Filipino

Kiongozi wa zamani wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, ameendelea kujikuta akipoteza heshima, imani na uungwaji mkono kutoka kwa Watanzania baada ya matamshi yake ya uchochezi na mwenendo wake wa kisiasa na kidini kudhihirika kuwa ni wa unafiki na tamaa ya mali.
Kwa mujibu wa uchambuzi wa wananchi na waumini waliowahi kumfuata, Gwajima sasa amegeuka kuwa mfano halisi wa viongozi wanaotumia dini kama daraja la kujitajirisha, huku wakijificha nyuma ya jina la Mungu. Matamshi yake ya tarehe 26 Oktoba 2025 yamezua taharuki kubwa, yakitafsiriwa kama jaribio la kuchochea maandamano na kuvuruga amani ya Taifa, hatua iliyopingwa vikali na Watanzania.
Wananchi wamempuuza hadharani, wakimtaja kama mzandiki na mamluki wa kisiasa, anayejificha chini ya kivuli cha uongo wa kiimani. Kwa sasa, ni wazi kuwa imani ya watu kwake imeporomoka kwa kasi, kutoka kuwa mchungaji hadi kuwa mwanaharakati wa mitandaoni anayetumia dini kama kioo cha kujinufaisha.
Katika kipindi cha ubunge wake wa Jimbo la Kawe, Gwajima aliahidi miradi kadhaa mikubwa ikiwemo maji, barabara na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi, lakini hakuna hata moja iliyotekelezwa. Ndiyo maana leo wananchi wake wanamuuliza wazi: “Uko wapi ulioahidi barabara? Uko wapi ulioahidi maji? Uko wapi ulioahidi ajira kwa vijana?”
Wachambuzi wa masuala ya kijamii wameeleza kuwa tabia za Gwajima zimejikita katika utapeli wa kidini na kisiasa, akitoa ahadi zisizotekelezeka kama kufufua wafu maarufu na “kuvuta baraka kwa kutoa sadaka kubwa,” huku maisha ya waumini wake yakibaki katika umaskini wa kupindukia.
Kwa mujibu wa uchambuzi wa maadili ya viongozi, Gwajima anaonekana kuwa kiongozi asiyejali uwajibikaji. Kauli yake ya hivi karibuni ya “anayenilaumu ni mjinga” imechukuliwa kama dhihaka kwa umma, ikionyesha kiburi na kutokuheshimu wananchi aliowaahidi kuwahudumia.
Aidha, uchunguzi unaonyesha amejilimbikizia mali kubwa, majumba ya kifahari, magari ya kifahari, na biashara kadhaa, huku akijitetea kwamba ni “baraka za Mungu.” Lakini maswali yanabaki: Je, baraka hizo hazipaswi pia kuwagusa wale aliowahubiri kila Jumapili?
Kwa muhtasari, Gwajima sasa amekuwa mfano wa onyo kwa viongozi wanaogeuza dini kuwa biashara. Ni simulizi ya unafiki, tamaa ya mali, na uongo unaolenga kujitajirisha kupitia imani za watu.
Tanzania inaendelea kusimama imara chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita, inayojenga Taifa lenye maadili, uwajibikaji, na utu. Watanzania wameonyesha kwa vitendo kwamba hawataendelea kuamini wahubiri wa uongo wanaotumia jina la Mungu kwa faida binafsi.

Indonesia
DCRG retweetledi


@julfox5 @Sativa255 Kutoka kwenye video, yule ni afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) anayetangaza uungaji mkono wake kwa CCM kwa kusema "Chama changu CCM" wakati wa hotuba. Siwezi kuthibitisha jina lake kwa uhakika, lakini anazungumzia kujivunia chama hicho na kutia moyo wengine.
Indonesia

@ayubu_madenge KIFO NI KIFO USIZUE TAHARUKI KATIKA MITANDAO @ayubu_madenge
Indonesia

Aliyekuwa miongoni mwa mwagwiji wakubwa wa mieleka na kutamba sana katika tasnia ya WWE Hulk Hogan, amefariki dunia akiwa na miaka 71.
Hogan ambaye jina lake halisi ni Terry Gene Bollea anaripotiwa kufariki alfajiri ya leo nyumbani kwake Clearwater, Florida, nchini Marekani baada ya kupata mshituko wa moyo.
Polisi wa Clearwater wamesema alikimbizwa hospitalini lakini alitangazwa kufariki muda mfupi baadaye, WWE shirika kubwa la mieleka limetoa taarifa ya masikitiko makubwa na kumwelezea Hogan kama sura ya zama za dhahabu katika mieleka aliyekuwa na mchango mkubwa na aliyeacha alama isiyofutika katika tasnia hiyo.
Katika maisha yake ya ulingo, Hogan alipata mataji mengi ya mieleka na pia alijikita katika filamu na vipindi vya televisheni, akiwahamasisha mashabiki wa michezo hii kote duniani.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@Hakingowi @_zack255 😁😁😁😁😁unapost lakin unaishiwa nguvu kabisa kwa yanayo endlea
Filipino

▪️U J E N Z I
kukamilika kwa mradi mkubwa wa ujenzi wa soko kuu la Mwanza lenye miundombinu bora na ya kisasa kwa gharama ya shilingi bilioni 26.6 ni ukombozi kwa wafanyabiashara wa jiji hilo na nchi jirani kiuchumi.
#MguuKwaMguu2025

Indonesia

@YerickoNyerereT "Kushiriki kutoa maoni si kukubaliana na matokeo. Uhalali wa kisiasa haujengwi kwa ushiriki wa majadiliano bali kwa kukubaliana na maudhui ya mwisho, na Chadema haikuidhinisha Dira hii.bro
Indonesia














