Equity Bank Tanzania

898 posts

Equity Bank Tanzania banner
Equity Bank Tanzania

Equity Bank Tanzania

@TzEquityBank

Official page for Equity Bank Tanzania – We’re here to provide customer support, share news & updates

Katılım Ocak 2013
5 Takip Edilen1.7K Takipçiler
Equity Bank Tanzania
Equity Bank Tanzania@TzEquityBank·
@Steve_MKC Hello, thank you for your feedback. We value your suggestion and regret the inconvenience caused. Your concern has been shared with the relevant department for further review as we work to improve our customer experience. Thank you.
English
0
0
0
68
Stevo Mbachu
Stevo Mbachu@Steve_MKC·
@TzEquityBank Zanzibar, kindly introduce the TICKET SYSTEM of serving clients. Once u arrive in the banking hall, u have to ask "who is the last one" to know your number. Move out and come in a min, u start over again. It's unfortunate when we hv to argue as to "who came first"
English
1
0
0
46
simbamkuu 🍎
simbamkuu 🍎@simbamkuu·
@TzEquityBank kwa nn mobile app yenu ukijaza particulars unasema incorrect data ilhali data ni sahihi?
Filipino
1
0
0
28
Equity Bank Tanzania
Equity Bank Tanzania@TzEquityBank·
@thereallizberth Habari, asante kwa kutuandikia na pole kwa changamoto uliyopata. Tafadhali tutumie akaunti namba na jina la akaunti yako  inbox ili tuweze kukushauri vyema. Tunasubiri mrejesho wako.
Filipino
0
0
0
23
Isabela
Isabela@thereallizberth·
@iamthatfemale @TzEquityBank waache tabia ya kuDisAble ATM karibia end of months...ili watu waende kwa mawakala wao(wao wenyewe) near ATMs zao. Pili warudishe hela za makato pale ambapo wamekata hela ya muamala kwa ATM afu hela hazikutoka..zikija kurudi huwa hawarudishi ile hela ya makato
Indonesia
1
0
0
85
Hika Lyimo
Hika Lyimo@iamthatfemale·
Hii wiki ya wateja, Ungependa benki gani ya TZ ijirekebishe kitu gani?
Indonesia
10
3
26
2.5K
Equity Bank Tanzania
Equity Bank Tanzania@TzEquityBank·
@JMfwaya Hello, thank you for engaging us. Our service provider has contacted you inbox and advised you well. You are most welcome.
English
0
0
0
6
Equity Bank Tanzania
Equity Bank Tanzania@TzEquityBank·
@thereallizberth We sincerely apologize for the inconvenience this has caused, especially during such an important situation. We have noted your concern about the ATM in Arusha and have escalated the issue to the relevant team for immediate attention. Kindly share your account details inbox .
English
0
0
0
20
Isabela
Isabela@thereallizberth·
@TzEquityBank Did it on Thursday.. I told your customer care personnel that I had a patient i wanted to clear their bills and i had to travel... you made me travel on alert of finances, luckily i didn't run into emergencies while on another man's country. And Fix you goddam ATM in Arusha...
English
1
0
0
25
Isabela
Isabela@thereallizberth·
@TzEquityBank you deducted money from my account when i used one your ATMs but i never got the physical cash...and when i called the hotline(scam) you told me you'll return the money on my account the next day..... today is a 4th day and nothing on my account..
English
2
0
0
26
Equity Bank Tanzania
Equity Bank Tanzania@TzEquityBank·
Tukiwa na furaha kubwa, leo tumeshuhudia uzinduzi rasmi wa huduma ya Mastercard Gold Debit na Mastercard World Debit kutoka Equity Bank Tanzania, kadi za malipo za kiwango cha kimataifa zinazokuja na faida za kipekee kwa wateja wetu wa thamani. Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Equity Bank Tanzania, Bi. Isabela Maganga, pamoja na Mgeni Rasmi, Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi, Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wakiwa wameshikilia mfano wa Mastercard mpya sambamba na viongozi wa Equity pamoja na wawakilishi wa Mastercard. Kadi hizi zinapatikana kwenye matawi yote ya Equity Tanzania na zinawezesha: 🌍 Ufikiaji wa kimataifa 🏆 Huduma za kifahari 🔒 Usalama wa hali ya juu Karibu ujipatie yako leo. #EquityTanzania #MastercardLaunch #FunguaUlimwengu #MalipoBilaMipaka #VisaNaMastercard #UzinduziWaKadi #DigitalBanking #FinancialFreedom
Equity Bank Tanzania tweet mediaEquity Bank Tanzania tweet mediaEquity Bank Tanzania tweet mediaEquity Bank Tanzania tweet media
Polski
0
1
3
683
Equity Bank Tanzania
Equity Bank Tanzania@TzEquityBank·
Katika uzinduzi rasmi wa Equity Trade and Investment Roadshow 2025, Prof. Eda Tandi Lwoga akimwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo, ameipongeza Equity kwa kuwaleta pamoja wawekezaji wa ndani na wa kimataifa, wajasiriamali na washirika wa maendeleo. Amesisitiza kuwa Tanzania iko tayari kwa uwekezaji wa kimkakati katika sekta za vipaumbele kama vile kilimo cha kuongeza thamani, nishati safi, utalii, madini, TEHAMA, uchumi wa buluu na miundombinu , sambamba na mageuzi ya kisera na uwekezaji wa miundombinu ya kidijitali. Hii ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa ARRP chini ya nguzo ya Biashara na Uwekezaji, kwa lengo la kukuza uchumi jumuishi na shindani kikanda. #EquityTradeMission2025 #ARRP #WekezaTanzania #UshirikianoWaMaendeleo #BiasharaKikanda #EquityBankTanzania #EmpoweringAfrica
Equity Bank Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
217
Equity Bank Tanzania
Equity Bank Tanzania@TzEquityBank·
Leo kwenye uzinduzi wa Equity Trade and Investment Roadshow 2025, Prosper Nambaya – Mkurugenzi wa Biashara wa Equity Bank Tanzania – ameeleza jinsi benki imejipanga kama mshirika wa kikanda kwa ajili ya kukuza biashara Afrika Mashariki. Kupitia mpango wa ARRP (Mpango wa Uimarikaji na Urejeaji Uchumi wa Afrika), Equity Bank inawezesha wateja wake kuvuka mipaka kwa huduma za kifedha zilizounganishwa, kwa ajili ya SMEs, wakulima, wajasiriamali na makampuni makubwa. Tukiwa chini ya Nguzo ya Biashara na Uwekezaji, Equity inachochea ushirikiano wa sekta binafsi, biashara za kikanda, na fursa mpya za uwekezaji zinazosaidia kukuza uchumi wa Tanzania na ukanda mzima. #EquityTradeMission2025 #ARRP #BiasharaKikanda #EmpoweringAfrica #EquityBankTanzania #OneEquity
Equity Bank Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
191
Equity Bank Tanzania
Equity Bank Tanzania@TzEquityBank·
Katika uzinduzi wa Equity Trade and Investment Roadshow 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Equity Bank Tanzania, Bi. Isabela Maganga, ameeleza wazi dhamira ya benki katika kuleta mabadiliko ya kweli kwenye uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki. Kupitia kauli hii, Equity Bank inaonyesha nafasi yake kama mshirika wa maendeleo ya biashara, siyo tu kwa mikopo bali kwa kuunganisha mitaji, fursa na maarifa kwa sekta zote. Tukio hili ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa ARRP, chini ya Nguzo ya Biashara na Uwekezaji, kwa lengo la kufungua milango ya ukuaji wa kikanda unaojumuisha sekta binafsi, diaspora, na wawekezaji wa kimataifa. #EquityTradeMission2025 #ARRP #OneEquity #BiasharaKikanda #EmpoweringAfrica #EquityBankTanzania
Equity Bank Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
168
SHEIKH. MARCO
SHEIKH. MARCO@marco_charz·
@TzEquityBank Hakika ni rahisi na salama mno lakini katika huduma zenu, kitengo cha kusikiliza wateja na kutatua changamoto kuna mtu na nusu @Zulhaifah cjui nimepatia jina. Congole kwake aisee
SHEIKH. MARCO tweet media
Filipino
1
0
0
14