TMK retweetledi
TMK
868 posts

TMK retweetledi

@HecheJohn @NyakanyengePM “mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.” Haya maneno yatawatesa sana wakoloni weusi
Indonesia

“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.”
— Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.

Filipino
TMK retweetledi
TMK retweetledi

“Nani aliagiza wazime mitandao?”
Tume haijajibu hilo
Asante @Mwabuk2Boniface
Piga kwenye mshono!
youtube.com/live/9S7yLgOkb…

YouTube

Filipino
TMK retweetledi

Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu amesema hayo Mei 9, 2026 katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu pamoja na Khalifa Said wa The Chanzo kuhusu Ripoti ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Oktoba 29, 2025.
Zaidi jamii.app/WariobaVifo
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability
Indonesia
TMK retweetledi

🚨 SULUHU’S UKONGA STUNT EXPOSED!
Fake prisoner claims:
“I’ve been in prison 28 years… Even today when I was coming to Ukonga prison, my fellow inmates asked me to pass a message to you, Mama!”
Who is this hired actor?!
Why won’t @SuluhuSamia explain why she really went to Ukonga?
We know @TunduALissu is locked up there!
Stop staging fake prisoners!
#SuluhuStuntExposed #FreeTunduLissu 🔥🇹🇿
English
TMK retweetledi
TMK retweetledi

.@tanpol ni taasisi ya kikoloni, haikuwahi kukusudiwa kamwe kukidhi matakwa ya watu wa tabaka la chini kama mimi na wewe. haipaswi kuwepo, haina faida yoyote labda kwa watawala haramu na vibaraka wao. (asante @INFLUENCERjr kwa kuileta hii video huku).
Filipino
TMK retweetledi
TMK retweetledi
TMK retweetledi
TMK retweetledi
TMK retweetledi

Leo, tarehe 26 Aprili, 2026 ikiwa ni Siku ya #Muungano, tujikumbushe mwaka 2014 ambapo Mhe. @TunduALissu aliwasilisha maoni kuhusu #Muungano katika Bunge Maalum la Katiba.
Indonesia
TMK retweetledi















