UGIMBI
5.3K posts

UGIMBI
@UGIMBI2
Creator : Digital Mind: Entrepreneur: Extra Funny&Joker : @simbasportsFc . War is my Comfort. Critism is my hobby

Kwamujibu wa CHANDE huyu mama wa ARUSHA aliuliwa na kitu chenye ncha kali / moto / alikosa HEWA.



Wakuu tuacheni utani ZUCHU ni mzuri buana, hapa naweza toa mahari ile V8 yangu..!!

Mlochukua nchi mko wapi?😆😆 Hongera sana Mama Samia Suluhu Hassan 💚💛






#HABARI Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam tarehe 24 Septemba, 2025 majira ya saa 07:00 mchana eneo la Kariakoo lilimkamata Innocent Paul CHUWA maarufu mtandaoni kama @ kiduku Mkazi wa Kijichi Temeke kwa tuhuma za makosa ya kimtandao. Taarifa ya Polisi inasema Uchunguzi unakamilshwa na mtuhumiwa huyo ambaye atafikishwa kwenye mamlaka nyingine za kisheria haraka iwezekanavyo. Pia Jeshi la Polisi limesisitiza kuwa halitasita kumuhoji na kumkamata mtu yoyote anayejihusisha na tuhuma za kihalifu. #EastAfricaTV









