THE👉SEACHER

19.4K posts

THE👉SEACHER banner
THE👉SEACHER

THE👉SEACHER

@UNinterestedNO1

My AFRICA

Some Where Katılım Kasım 2021
3.5K Takip Edilen2.9K Takipçiler
THE👉SEACHER retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kuna mambo as a Father and a Son hata nikiwa Broke kuna namna nitafanya tuu hata kwa standard ya chini ila yatafanyika lazima.
Indonesia
7
40
262
6.2K
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Kwenye haya maisha ukifanikiwa kujiepusha na wanawake, pombe sigara, bangi unakuwa umefanikiwa sana
Filipino
13
23
93
2.4K
THE👉SEACHER retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
MUNGU akupe Ulinzi juu yako dhidi ya macho yote ambayo kwa siri hayafurahii kukuona ukifanikiwa maishani.
Indonesia
16
57
155
2.3K
THE👉SEACHER retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Unaona mtu anaenda kwao mara kwa mara, unadhani anaenda kusalimia, kumbe kaenda Kurenew Bima ya afya na biashara 😆
Indonesia
30
76
863
20.8K
THE👉SEACHER retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Bongo ndio nchi nyepesi sana kuanza upya maisha. Ukitoka Dar, ukaenda Wilaya mojawapo ya Morogoro, unaenda kuanza maisha upya bila mtu kukujua na matendo yako umewahi kufanya 😆
Indonesia
58
92
1.1K
76.2K
THE👉SEACHER retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Wazee wetu walikua smooth sana kwenye maisha, Mtu ananzisha a new family at 50+ 😆 Wewe una stress ya maisha at 20s
Indonesia
29
58
558
18.5K
THE👉SEACHER retweetledi
Masoud Kipanya
Masoud Kipanya@masoudkipanya·
"..When the cow is not stressed, she gives the best milk".
English
26
171
1.2K
23.6K
THE👉SEACHER retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Maisha yakikupiga vibaya sana 1. Usipoteze muda kulalamika. Hakuna anayekuja kukuokoa. 2. Badilisha tabia na maamuzi yaliyokufikisha hapo ulipoanguka 3. Acha kujionea huruma. Dunia haina muda wa kuwabembeleza waliovunjika moyo. Jikaze fanya kazi kwenye mwili na akili yako mpaka udhaifu wote uondoke 3. Tafuta pesa na nguvu ya kusimama mwenyewe, ili usiwe tena mtu wa kunyanyasika. 4. Jirekebishe na Kubali kwamba baadhi ya maumivu yaliletwa na makosa yako mwenyewe. 5. Punguza mawasiliano na Kata kabisa mahusiano na watu wasio na faida waliokuona ukianguka lakini hawakufanya chochote 6. Ondoka kwenye Eneo lako linalopokupa Faraja (Comfort zone)
Indonesia
9
45
144
5.2K
THE👉SEACHER retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
"Urafiki Sio tu kunywa na kumoka urafiki ni kupeana dili, namna gani nizalishe 50 kuwa 200." ~ LANGA KILEO
Polski
10
57
427
6.8K
THE👉SEACHER retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Mwanaume ana njia 5 tu za kutoka kwenye msongo wa mawazo 1. MUNGU 2 • Pesa 3 • Mazoezi 4• Kusudi lake maishani 5 • Familia yenye upendo
Indonesia
20
111
626
11.2K
THE👉SEACHER retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mtu yupo Tandahimba anabonyeza kioo kilichopo mkononi mwake anaongea na mtu wa New York, anaona watu wanapandikiza viungo na wanaishi, watu wanatumia maji kuzalisha umeme unaowasha mitambo na kuendesha magari, halafu bado anabisha kusikia watu wanauzunguka Mwezi. Hii nchi daah 🙌
Indonesia
103
105
1.1K
32.2K
THE👉SEACHER retweetledi
Masoud Kipanya
Masoud Kipanya@masoudkipanya·
Maziwax
Masoud Kipanya tweet media
English
16
111
1.1K
27.2K
THE👉SEACHER retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwigizaji Mkongwe na Mwanamichezo wa Sanaa za Mapigano (Martial Arts) Chuck Norris amefariki dunia hii leo Machi 20, 2026 akiwa na umri wa miaka 86, wakati akipatiwa matibabau katika Hospitali ya Hawaii nchini Marekani. Taarifa za kifo chake zimethibitisha na Familia yake kupitia Mitandao yake ya Kijamii ambapo imeeleza “Kwa huzuni kubwa, Familia yetu inawataarifu kutokea kwa kifo cha ghafla cha mpendwa wetu Chuck Norris, na tungependa sababu za kifo chake zibaki kuwa za siri, tungependa mfahamu kuwa amefariki akiwa amezungukwa na Familia yake na alikuwa katika hali ya amani.” Aidha Chuck Norris alijipatia umaarufu katika filamu kwanzia miaka ya 1970 mpaka 80 akiigiza Filamu maarufu zilizofanya vizuri duniani kama vile Walker, Texas Ranger, The Delta Force, Missing in Action, Good Guys Wear Black (1978), The Octagon (1980), Lone Wolf McQuade (1983), Code of Silence (1985) na Firewalker (1986), The Expendables 2 (2012) na nyinginezo nyingi. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Filipino
32
45
728
19.6K
THE👉SEACHER retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Askari wa jeshi la anga la Marekani aliyejifunza kupigana akapata mkanda mweusi kwenye Karate, Taekwondo, jiu-jitsu na judo. Akaanzisha urafiki na Bruce Lee akaanza kuigiza movie. Gwiji wa Movie na mwandishi mzuri, Chuck Norris amefariki na miaka 86. Unamkumbuka kwa Movie ipi?
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
30
90
1.2K
22.4K
THE👉SEACHER retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Watu wa BUKOBA na ARUSHA tumalize utatael neno CHUGA lina maana gani
Headboy wa mtaa tweet media
Filipino
33
23
328
50.8K
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Kuna jambo moja linaweza kubadilisha maisha yako kabisa— na hilo ni hili: Sio kila mtu anaona dunia kama unavyoiona wewe. (Worldview) Mara nyingi tunakasirika, tunahukumu, tunagombana kwa sababu tunaamini sisi tuko sahihi, na wengine wamekosea. Lakini ukweli ni huu: watu hawaoni mambo jinsi yalivyo… wanaona mambo jinsi walivyo. Kila mtu ana “lenzi” yake: malezi yake, majeraha yake, uzoefu wake, na alichopitia maishani. Ndiyo maana watu wawili wanaweza kuangalia jambo moja lakini wakaona vitu viwili tofauti kabisa. Mmoja anaona kosa, mwingine anaona maumivu. Mmoja anaona dharau, mwingine anaona ulinzi wa nafsi. Na hapa ndipo hekima inapoanza: Acha haraka ya kuhukumu anza kuelewa. Kwa sababu huenda mtu unayemkosoa anaona kitu ambacho wewe huoni. Tunapaswa kuwa na moyo wa subira, moyo wa huruma, na moyo wa kuelewa wengine. Leo nataka uondoke na hili moyoni: Sio kila anayepingana na wewe amekosea huenda anaona upande ambao wewe hujaona bado. Na pale unapoanza kuelewa watu, ndipo unapopunguza migogoro, na kuanza kujenga mahusiano ya kweli. “Change what you see by changing how you see” Rev Msigwa
Filipino
14
16
47
4.4K