ALPHA Wa Kwanza

5K posts

ALPHA Wa Kwanza banner
ALPHA Wa Kwanza

ALPHA Wa Kwanza

@mchele_alpha

Astaghfirullah to yesterday, Alhamdulillah for today, Insha Allah for tomorrow.

Tanzania Katılım Ocak 2022
6.6K Takip Edilen3.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
ALPHA Wa Kwanza
ALPHA Wa Kwanza@mchele_alpha·
Mazee nafollowback kwa spidi kali fanya kunifollow
ALPHA Wa Kwanza tweet media
Filipino
0
0
2
358
faith 🙏🛐✞︎
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth·
“Dada nimepata mchumba ila ni muislamu. Niko ready kuslimu niache ukristo ila juzi alipokuja nyumbani kujitambulisha wazazi walimkataa hali iko ivyo nimechoka kabisa. Naomba ushauri maana home wameshikilia dini na wanasema nikipata mkatolic ndoa ni chapu” Familia ya X mnasemaje?
Indonesia
40
18
95
10.3K
Fabirance
Fabirance@fabirance·
@criannicas_ Hapa ni Peaceful sana. Ukitaka kukoroga Anza Kuishi na Mwanamke Jobless
Filipino
1
0
1
22
Themkulima
Themkulima@themkulima·
Huu mwezi hakuna watu wanaongoza kuongea peke yao kama wakulima wa Nyanya
Themkulima tweet media
Indonesia
11
20
194
6.4K
ALPHA Wa Kwanza retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kabla siku haijaisha, nikukumbushe tu 👇🏽 Chimbo lako la codes za kijanja ni Muba Store 🔥 📍 Kariakoo, mtaa wa Nyamwezi/Tandamti Wanauza jumla na rejareja — uhakika wa ubora na bei rafiki! 📞 Piga simu: +255 755 328 132 📲 Au wapitie Instagram: instagram.com/smubah_storetz
Lubasha Jr tweet mediaLubasha Jr tweet mediaLubasha Jr tweet mediaLubasha Jr tweet media
Filipino
0
30
33
1.4K
ALPHA Wa Kwanza retweetledi
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Miaka mitatu nyuma tulipanda hili zao. Now mikeka imetiki kila mti umebeba matunda. Hapa nitakula mimi, watoto na vitukuu vyangu.
Thomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet media
Malawi 🇲🇼 Indonesia
51
40
372
28.8K
ALPHA Wa Kwanza retweetledi
Ika Multistore
Ika Multistore@Ika_maeda·
Size 40-44 95,000 0752399320 whatsapp au dm Karibu kwa oda yako
Ika Multistore tweet mediaIka Multistore tweet mediaIka Multistore tweet mediaIka Multistore tweet media
Indonesia
0
1
1
64
†hømz
†hømz@ThomzJoseph·
Ni kweli hii kitu..!🤔
†hømz tweet media
Indonesia
60
59
781
50.9K
ALPHA Wa Kwanza
ALPHA Wa Kwanza@mchele_alpha·
Kikubwa ni kwamba sijawahi kukata tamaa. Naamini kila kitu kinawezekana na fursa zipo kwa ajili yangu. MUNGU nipe nguvu na ujasiri zaidi.Amin🙏
ALPHA Wa Kwanza tweet media
Indonesia
4
9
27
409
𝑱𝑺
𝑱𝑺@JsMtuPoa·
Alafu unakuta kibwengo mmoja anataka brutal.. Wakati safari moja uanzisha nyingine.!
𝑱𝑺 tweet media
Indonesia
14
23
308
10.5K
ALPHA Wa Kwanza retweetledi
𝑱𝑺
𝑱𝑺@JsMtuPoa·
Kiburi hakijawahi kumsaidia mtu. Amka mshukuru Mungu, Kisha kajipambanie tumbo lako.
Indonesia
7
9
42
503
ALPHA Wa Kwanza retweetledi
shangazi wa wapwa💫🌺
shangazi wa wapwa💫🌺@humbleQueen02·
Hii ni project yangu mpya kabisa Inaitwa NISHIKE MKONO ambayo nimewashika yatima na waishio kwenye mazingira magumu. Lengo kuu kabisa ni kuweza kunyanyua vipaji vyao na kutimiza ndoto zao natumaini tutakuwa pamoja katika kutimiza ndoto zao retweet ili tupigane kwa pamoja🙏💕
shangazi wa wapwa💫🌺 tweet media
Filipino
302
497
1.1K
0