UZIKWASA

715 posts

UZIKWASA banner
UZIKWASA

UZIKWASA

@UZIKWASA

Empowering communities for self-development, gender justice, and transformative leadership.

Pangani, Tanga, Tanzania Katılım Eylül 2011
111 Takip Edilen161 Takipçiler
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
At UZIKWASA, our work in Pangani facilitating village environmental committees has helped position women at the center of protecting Mother Earth, while easing women’s burden caused by climate change and creating alternatives that turn waste into useful products.
English
1
0
0
7
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
International Mother Earth Day UZIKWASA Mother Earth is calling for urgent action. From plastic-filled oceans to extreme heat and deforestation, nature is under threat, and so are we.
UZIKWASA tweet media
English
1
1
3
99
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
Unachochea ustahimilivu wetu, unarejesha imani yetu na ari chanya inayotutambulisha kama shirika. Kwa pamoja, tutasimama tukiwa imara zaidi. Asanteni sana.
Indonesia
0
0
0
8
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
Umoja na ushirikiano wenu si tu nguzo muhimu katika mchakato wetu wa kupona na kujijenga upya, bali pia ni ukumbusho wenye nguvu kwamba hatukabili wakati huu peke yetu. Moyo wa ushirikiano kutoka kwa jamii yetu unaipa nguvu mpya na azma thabiti kwa timu nzima ya UZIKWASA.
Indonesia
0
0
0
32
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
Shughuli kuu za shirika zinaendelea huku hatua za ndani za usalama zikiendelea kuimarishwa zaidi. Familia nzima ya UZIKWASA inathamini kwa dhati mshikamano na msaada ulioonyeshwa katika kipindi hiki kigumu.
Indonesia
0
0
0
8
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
waliokuwepo eneo la tukio. Vilevile, tunavishukuru vyombo vyote vya ulinzi na usalama vilivyoshiriki kudumisha amani na usalama katika eneo husika. Tathmini ya kina ya uharibifu unaotokana na tukio hili inaendelea kufanyika, na hatua za urejeshaji zinawekwa.
Indonesia
0
0
0
11
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
muafaka uliosaidia kudhibiti tukio hili. Tunatoa pongezi za pekee kwa Serikali ya Wilaya ya Pangani kwa uongozi na msaada wao. Aidha, tunalipongeza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Tanga kwa mwitikio wao wa kitaalamu katika kuuzima moto huo na kuhakikisha usalama wa watu
Indonesia
0
0
0
12
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
Moto huo tayari umezimwa, na hali kwa sasa ipo chini ya udhibiti kamili. Tunashukuru sana kwamba hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa. Mkurugenzi wa UZIKWASA anatoa shukrani za dhati kwa wakazi wa Kijiji cha Boza na Wilaya ya Pangani kwa ujumla kwa msaada wao wa kujitolea kwa wakati
Indonesia
0
0
0
23
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
PUBLIC ANNOUNCEMENT TAARIFA KWA UMMA
UZIKWASA tweet mediaUZIKWASA tweet media
Čeština
0
2
3
21
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
UZIKWASA inawatakia Wakristo wote kipindi chenye amani, tafakari na baraka nyingi katika Kwaresima hii.
UZIKWASA tweet media
Indonesia
1
0
1
9
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
They didn’t look away. They followed cases to court. They changed what silence used to protect. Between May–December 2025, community leaders in Pangani District took collective responsibility to prevent and respond to gender-based violence with real results.
English
1
1
1
12
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
Wawakilishi wa vikundi 10 vya shughuli mbalimbali za maendeleo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Handeni walishiriki katika shindano la uandishi na uwasilishaji wa insha lililoendeshwa na UZIKWASA kwa kushirikiana na @handeni_dc.
Filipino
0
1
1
13
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
Mradi huu unalenga kuviwezesha vikundi vinavyoongozwa na wanawake na vijana kuongoza suluhu za ndani za kupambana na ukatili wa kijinsia, kukuza usawa wa kijinsia, na kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. @irelandintanzania
Indonesia
0
1
1
7
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
Baada ya mchakato wa ushindani vikundi vitano vilivyoibuka mshindi vimechaguliwa kushiriki katika mradi maalum wa “Kuimarisha Vikundi vya Jamii kwa Usawa wa Kijinsia na Hatua dhidi ya Mabadiliko ya tabianchi” utakaotekelezwa na UZIKWASA kwa miaka mitatu wilayani Hapo
Indonesia
0
0
1
16
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
UZIKWASA will document and share the groups’ stories of change and impact through Pangani FM, amplifying grassroots voices across Tanga Region and showcasing community-led transformation.
English
0
0
1
4
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
From the submissions, five groups will be selected to receive capacity building, mentorship, and support to develop gender-responsive action plans.
English
1
0
1
4
UZIKWASA
UZIKWASA@UZIKWASA·
Handeni, Tanga — Ten community groups from five wards in Handeni District are participating in a competitive essay presentation as part of the selection process for a three-year UZIKWASA initiative on 'Strengthening Community Groups for Gender Equality and Climate Justice'
UZIKWASA tweet media
English
1
0
0
6