🌐 Ulimwengu Kiganjani 📲💻

18.2K posts

🌐 Ulimwengu Kiganjani 📲💻 banner
🌐 Ulimwengu Kiganjani 📲💻

🌐 Ulimwengu Kiganjani 📲💻

@ulimwengu_

We will be informing you about everything that is happening in the world, especially in the { Middle East } in the political, war and economic fields.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2023
90 Takip Edilen256 Takipçiler
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Katika Interview moja, Kim Kardashian, aliwahi ulizwa, Je ni vitu gani vya Bei ghali kabisa, ambavyo aliwahi nunua? Haya ni majibu yake.. Msikilize... Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
6
3
152
14.3K
🌐 Ulimwengu Kiganjani 📲💻
▫️ "Katika operesheni Wa’ada Sadiq 1 na 2, Iran yenyewe ilijibu uvamizi wa 'Taifa Ghasibu la Mazayuni,' sio Muqawama. Hakuna wakati ambapo Iran imeamuru na Muqawama kutekeleza; dhana hii potofu imeenezwa na utawala wa Kizayuni duniani."
Indonesia
0
0
1
46
🌐 Ulimwengu Kiganjani 📲💻
si kwa niaba ya wengine." ▫️ "Wale wanaodai kuwa Jamhuri ya Kiislamu imepoteza nguvu wanafikiria kwamba Muqawama ni mikono ya Jamhuri ya Kiislamu, wakiona Muqawama kama wakala wa Iran. Hata hivyo, historia imethibitisha kuwa Muqawama haujawahi kufanya kazi kama wakala wa Iran."
Indonesia
1
0
1
60
🌐 Ulimwengu Kiganjani 📲💻
🔸 Majibu ya Zarif Kuhusu Madai ya Kudhoofika kwa Jamhuri ya Kiislamu Mohammad Javad Zarif, Naibu wa Rais wa Iran kwa Masuala ya Kimkakati, amesema: ▫️"Mradi uvamizi wa ardhi unaendelea, Muqawama utaendelea kuwepo na hauwezi kufutwa. Muqawama unapigania ardhi na malengo yake,👇
🌐 Ulimwengu Kiganjani 📲💻 tweet media
Indonesia
1
0
1
89
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
‘ Kifo ni kifo tu, hata nchi zilizoendelea wanakufa’ , alisikika Rais wa nchi flani ambae kwa sasa anafosi chama chake kitoe fomu moja tu ya kugombea Urais 2025. Yani hataki mwana CCM yoyote mwingine agombee Urais 2025. Kwa sasa anarekodi maongezi ya simu ya wote anaohisi wanataka kugombea Urais 2025, yani anawa spy na kutafuta kesi za kuwabambikia, yani anataka hata kuwaua ili mradi 2025 mgombea wa CCM awe yeye peke yake. Kaeni tayari kwa drama la uchaguzi wa 2025…. Stay tuned!!!!!!
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
239
226
2.9K
394.2K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Hivi update za Kariakoo waliacha kuzitoa?🤭
The mandevu tweet media
33
27
895
44.2K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa ripoti kamili ya kile kinachoendelea Kariakoo kwenye jengo lililoporomoka mpaka kufikia muda huu✍️
Indonesia
16
24
457
38.7K
SHULE KUU
SHULE KUU@shuleKuu·
Serikali imeonyesha juhudi kubwa katika kuokoa maisha ya wananchi waliofukiwa na kifusi, kwa kutumia vifaa vya kisasa na timu za uokoaji kwa haraka. Na bado uokozi unaendelea Epuka matapeli ambao wako huko kenya kazi kupiga umbea na kuchukulia hili tatizo kupenyeza ajenda zao.
Indonesia
21
13
20
3.9K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
NI AIBU KUBWA SANA KUONA PICHA KAMA HII YA MCHUNGAJI. KANISA LINANUKA ZINAA NA MAMBO YA ULIMWENGU HUU, na hawa ndio wanawaongoza washirika maelfu maelfu, unadhani mwisho wa washirika hao utakuwaje?? Mimi tu mimi kukuletea habari, nasimama na kukemea tabia hizi za kiulimwengu zinazofanywa na watu wa madhabahuni, hata kama watanichukulia hatua zozote zile, ila wokovu sio huo. Kuna siku tutakuja tuona picha za utupu za hawa wahuni na wanaojiita mchungaji humu mijini. Nafahamu kwamba huyu ni mke wako halali wa ndoa. It doesn't matter (HAIJALISHI) kwamba huyo ni mke wako. Hata kama ni mke wako ndio utume uchafu kama huu mitandaoni?? ⛔ Hivi hapa Kristo anatukuzwa vipi?? ⛔ Watu wanaoiona picha hii mitandaoni wanajifunza nini?? ⛔ Washirika wenu na watu wanaowaita ninyi ni baba na mama wa kiroho wanajifunza nini kama sio umalaya tu?? Najua UKRISTO umerahisishwa sana katika kizazi hiki, lakini tupo watu tutakaobaki kutazama neno la Mungu na vile lilivyotaka tusiuzoelee ulimwengu wala tusienende kama ulimwengu. Kiufupi hii picha sijui ya lini, ila nina uhakika kwamba inawezekana picha hii ilipigwa akiwa mchungaji hivi hivi au ameokoka. Swali langu ni, ilipigwa kwa malengo gani??, ilipigwa ili akaonyeshwe nani?? Huyo atakayeonyeshwa atajifunza nini?? Atapata nini au kuhamasika nini katika Kristo?? Najua hii picha sio editings kwa kuwa editing huwa zinaonekana tu. Mimi ni graphic designer ila najua hakuna editings za hivi. Wanadamu mnazidi kuchochora, rudini kwenye njia iliyotakiwa. Yuaja na malipo, yuaja. Copy & paste from facebook: By 👉🏾Helbeth Mlelwa
SATIVA tweet media
Indonesia
794
143
2.2K
440.5K
إيران بالعربية
إيران بالعربية@iraninarabic_ir·
🟥 جيش الاحتلال يعترف بالعدوان على دمشق ويزعم "استهداف أصول تابعة للجهاد الإسلامي".
إيران بالعربية tweet mediaإيران بالعربية tweet media
العربية
14
19
134
15.3K
Mario Nawfal
Mario Nawfal@MarioNawfal·
🇬🇷 GREECE'S SECRET FILES ON TURKEY'S 1974 INVASION REVEALED Greece has declassified documents on Turkey's 1974 invasion of Cyprus. The files show Greece's intelligence missed the coup against Cypriot President Makarios, and ignored warnings about Turkish preparations. More declassifications on Greece's "dark" history are planned. Source: @TheInsiderPaper
Mario Nawfal tweet media
English
23
29
118
96.9K
الإمام الخامنئي
يرتكب الكيان الصّهيوني اليوم أفظع الجرائم في غربي آسيا. وبدلًا من الوقوف إلى جانب الشعب الفلسطيني والشعب اللبناني، تُقدّم بعض الدول الدعم المالي والعسكري لهذا الخبيث الظالم المتعطّش للدماء.
العربية
355
852
4.9K
186.4K
عزيز بن خالد
عزيز بن خالد@3zoozvic·
جربتوا لعبة @usebarq الجديدة "نطة نطتين" ؟ 😍 لعبة سهلة تلعبونها في تطبيقهم وتكسبون من خلالها فلوس تصل الى مليون ريال تنزل فورًا في المحفظة 💸 تلقونها بمركز الألعاب واذا خلصت محاولاتكم للعب تدعون 2 من اصحابكم يستخدمون كودكم ❤️‍🔥 للتحميل: bit.ly/downloadbarq AD
عزيز بن خالد tweet media
العربية
34
3
83
68.6K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
“Sikuondoka SIMBA sababu ya Mo, wala sikuondoka SIMBA sababu ya Barbara kama watu wengi wanavyo dhani. Aliyenifanya niondoke SIMBA ni Salim Try again. Alinitengenezea mazingira magumu ya kufanya kazi” Haji Manara.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
93
59
2.1K
98.2K