maxherry-Mangi
9.4K posts

maxherry-Mangi
@Maxherry_
Medical personnel💊💊💉💉 #Real Madrid and Simba..... #Calm humble guy:--Jinja s.s.s OB🇺🇬🇺🇬
Tanzania Katılım Ocak 2014
3.3K Takip Edilen932 Takipçiler
maxherry-Mangi retweetledi

@godbless_lema mpuuzi huyu nae anajiita mchungaji, dini inachezewa na wahuni
Indonesia

Wapumbavu wakipeana sifa, upumbavu hugeuka huduma. Wasio na utambuzi hupiga makofi wakidhani ni baraka. Kelele zinapozidi bila maana, ujue si hekima inayoongea, ni ujinga uliopata jukwaa. Tatizo si mavazi wala vipaza sauti, bali ujumbe usio na maarifa unaopotosha jamii. Kikao hiki kimekutanisha upumbavu na ushamba. Kundi la wapumbavu likiongozwa na upumbavu, mwisho wake ni aibu. Angalia na sikiliza huu UPUMBAVU wa huyu content creator.
maxherry-Mangi retweetledi

Nilikuwa nasubiri nirudi instagram ili nianze kuwapostia upya ujangili wa kina Angela Kizigha na kina Mombo maana kwa sasa hakuna impact kubwa itakuwepo sababu sipo insta ila kutokana na hiyo appointment ya Kizigha leo imebidi niwape hii
Hii kampuni Magmop ni kampuni ya Angela Kizigha na iko registered kwa number yake ya simu, yani her own personal number. Mnaweza kucheki wenyewe ownership ya hii magmop.
Naomba muangalie magari yaliyoingiziwa Tanzania na hii kampuni ya Kizigha hiyo Magmop.
Alafu naomba angalieni magari yaliyoingizwa Tz kwa jina la mkuu wa Usalama wa taifa. Suleiman Mombo kaingiza Tanzania kwa jina lake mwenyewe migari kama yote, acha yale marolls Royce yaliyojaa ndani kwake.
Watanzania wanaibiwa kwa kiasi hiki na bado kuna Watanganyika wanafanya uchawa kwa kupewa laki 1.
Ninazo info nyingi zaidi nasubiri nirudi Instagram maana kuachia hizi info kwa sasa hakuna much impact.
Naombeni kila Mtanzania aangalie hayo magari yaliyoingizwa Tanzania kwa pesa za walipa kodi alafu ajiangalie kwenye kioo ajiulize kama yupo upande sahihi wa kudai haki.
Nchi hata maji safi ni shida ila ona Mabugatti yanaingizwa nchini na Angela Kizigha na bado anapewa appointment ya serikalini.
Mnaweza kuingia wenyewe kwenye hii website na kuingiza hizi info na kujihakikishia wenyewe.
Filipino
maxherry-Mangi retweetledi

Yaani unakata nyama tatu unaweka jikoni?
Daah 🤣
Doctor Mishy🇷🇺@SharonMontana20
Ndizi zangu tatu za buku vinyama vitatu na kanyanya kamoja na kakitunguu shwaa mto Kagera
Indonesia
maxherry-Mangi retweetledi

GEN Z, Post hii naomba muikumbuke milele hata kama kesho sitakuwepo muishi nayo.
TUSHATOKA kwenye siasa za kulambana miguu—siasa za kusubili vyama vya upinzani vitoe matamko hizo siasa tushaziacha 2025.
Kama tuliweza kuandamana #MO29 bila mchango wa chama chochote cha siasa inamaanisha hakuna KITU TUTATAKA kwenye hii nchi tutakikosa TUKIAMUA.
Siasa hizi zetu GEN Z tumia LUGHA Yeyote ile kuondoa sumu mwilini mwako, unapoona unastahili KUTUKANA kwa usenge wanaofanya basi fanya hivyo bila kuogopa usenge.
Zile siasa za kufuata PROTOCAL za kisenge ndio zimefikisha taifa hapa. Msikubali kuendeshwa na WANASIASA wasenge, tembeeni na wanasiasa wanaoongea LUGHA MOJA NA NYIE.
TUKUTANE AFCON 2027.
Indonesia
maxherry-Mangi retweetledi

Hawa jamaa walifanya kazi kubwa sana kuonyesha Charts za mienendo ya kazi za wasanii na namba za online media nyingi huko youtube.
Mtakumbuka Media kama ya UTOPOLO kila mwezi walikuwa wanapost jinsi wanavyokuwa kwa kasi youtube huku source ya taarifa ilikuwa ni hawa jamaa.
Jamaa baada ya mauaji ya #MO29 na ukimya wa hizo media na wasanii kusimama na jamii wameacha kabisa kuonyesha takwimu za namba za wasanii na media mbali mbali jinsi zinavyoenda.
Ndiomaana saizi hamuoni yale mascreenshot wakitambiana nani anapiga namba nyingi youtube, hawa ndio walikuwa wanawapa KIBURI na sasa wameamua kukaa mbali kwasababu wao pia walikaa mbali na jamii yao.
SAFI WANETU MMEAMUA KUSIMAMA UPANDE WA HAKI.




Filipino

Bettin affiliation zipo lakini kwenye kampuni gani?
Hii yako unaonekana kulenga watu fulani
Mfano mimi kampuni yeyote yenye promo code mimi situmii.
Ila nachojua sportybet bongo hawalipi influencers.
Mtu ku stake na ajakushikia pistol uweke pia
Lawama mpe baba ako.
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro)@mafolebaraka
Wewe unaona influencer wa betting ameweka stake ya 500k. Wewe kichwa kichwa unachukua salary yako ya Tamisemi yote unatumbukiza kwenye mkeka. Kiuhalisia 500k aliyoweka yeye hajatoa mfukoni kwake but wewe 500k umetoa mfukoni kwako then unakuja mtandaoni unasema akiliwa mmeliwa wote.
Indonesia

Wakati wao wanatoza watu pesa kwa nadharia zisizo na tija, maguru Gwiji @Thereal_taivina na @Sativa255 wakaamua kuingia mtaani kusaidia maisha ya Watanzania kupitia kamali. Wote ni mashahidi jinsi vijana walivyoboom mikeka na kupata mitaji ya kuanza maisha.
Indonesia
maxherry-Mangi retweetledi

@IsabellaAmara1 That circle reminded me of a 1978 Chinese movie, I think it was called Born Invincible… there’s a concept like this in that movie. 😅
English

@Elsukay0 @fikirism @Geoffrey87Lea Uyo jamaa anajua mpaka ligi daraja la nne la cameruni ukoo na wachezaji wake
Indonesia

@fikirism @Geoffrey87Lea Jamaa ni full package anajua mpira wa ulaya mpaka bongo yani Africa nzima hadi vitimu vya senegal huko anavijua na wachezaji
Indonesia

Themba Zwane ~ 'Mshishi' mkataba wake na Mamelodi Sundowns unaisha Juni 26, mwaka huu, Mamelodi hawana mpango naye tena.
Zwane ,36, anapokea Rand 416,000 mpaka 500,000 kwa mwezi, pesa ambayo ni sawa na milioni 62 mpaka 75/=
Rahisi kusema kwasasa Zwane ni 'Free Agent' imebaki miezi mitatu ya mkataba wake, ana ruhusa ya kuzungumza na klabu yoyote.

Indonesia

🚨Kwa mujibu wa Taarifa ni kweli Jonathan Sowah alikuwa na vitendo kinyume na maadili ya Taasisi tena kwa kujirudia na alipewa onyo mara kadhaa na meneja wa timu ya kubwa ila alipuuzia
Makosa ambayo alirudia kuyafanya mara kwa mara
•Kuchelewa mazoezini
•Kutoroka kambini nyakati za usiku
•Kutofanya kikamilifu program za mazoezi alizopewa
•Kutokuwa na Lugha nzuri dhidi ya benchi la ufundi
Taarifa zaidi nimeambiwa Uongozi wa Simba SC umepanga kuachana nae ikifikia dirisha kubwa la usajili na tayari mchakato wa kutafuta mshambuliaji mwingine wa kimataifa umeanza

Indonesia
maxherry-Mangi retweetledi

Men, listen carefully…
If you’re blessed with a daughter, give her real love — not just money, not just gifts, but your time, your presence, your protection.
Look at Kanye West and his daughter North West.
Whether people agree with his lifestyle or not, one thing stands out — he shows up for his daughter. And that matters more than anything.
A father is the first man a girl will ever love.
And the way you treat her will shape how she sees men for the rest of her life.
If she grows up seeing a man who:
keeps his word
protects his family
provides and solves problems
is present and involved
She will naturally look for those same qualities in the men she chooses later in life.
But if a father is absent, careless, or harsh… that can also shape what she believes she deserves.
Even Kim Kardashian shared something powerful — North often compares her to her dad. She talks about how he spends time with her, takes care of her himself, and lives simply.
And that says a lot.
Because at the end of the day, children don’t remember luxury the way we think they do…
They remember presence.
They remember attention.
They remember love.
So men, understand this:
Your daughter is watching you.
Learning from you.
Becoming shaped by you.
Be the example she’ll be proud to follow. ❤️

English










