Sabitlenmiş Tweet
UnjU🕳️
67K posts

UnjU🕳️
@Unjuneering
#MWENYEZIMUNGU_NAKUPENDA_ASANTE 🙏🏾 Mkrslim___#ChelSimba
Katılım Şubat 2022
8.5K Takip Edilen15K Takipçiler

Mh @freemanmbowetz, Sisi vijana wako watiifu uliyetulea na kutufundisha siasa na hesabu za nera, HATUTAKUSALITI KAMWE!,
Tutabaki watiifu kwako tukiamini wewe ni kiongozi bora na mbeba maono wetu, tutalinda heshima na urithi wako popote!
Endelea na mapumziko ya likizo yako ya kisiasa kwa amani na utulivu, usilazimishwe kunyamaza, wala usilazimishwe kusema, sema ukijisikia kusema, likiwepo la kusema!
Na Yericko Nyerere


Filipino
UnjU🕳️ retweetledi

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi, unatarajiwa kuagwa katika Mikoa Mitatu kabla ya kuzikwa Nyumbani kwake Idodi, katika Jimbo la Ismani Mkoani Iringa.
Kwa mujibu wa Ratiba ya Mazishi iliyotolewa, itaanza leo Machi 26, Jijini Dodoma ambapo Viongozi mbalimbali na Wananchi wataendelea kusaini Kitabu cha Maombolezo, huku mwili wa Kiongozi huyo ukitarajiwa kuwasili Nyumbani kwake majira ya jioni, na kisha tarehe 27, Machi kuagwa katika Viwanja vya Bunge ambapo Wabunge watapata nafasi ya kutoa Heshima ya mwisho kwa Kiongozi huyo.
Baadaye, Mwili huo utasafirishwa hadi Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa na Wananchi pamoja na Wadau mbalimbali katika Viwanja vya Karimjee, tarehe 28, Machi.
Ratiba hiyo itaendelea Mkoani Iringa kuanzia tarehe 29, Machi, ambako mwili wa marehemu utafikishwa kwa ajili ya kuagwa na Wananchi wa eneo hilo kabla ya kusafirishwa hadi Kijijini kwao Idodi kwa mazishi rasmi yatakayofanyika Machi 31, 2026.
Aidha, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuwaongoza Waombolezaji katika msiba huo.
Lukuvi, ambaye alikuwa Mbunge wa Isimani kwa muda mrefu, amefariki dunia Machi 25, 2026 Jijini Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Kifo chake kimeacha pengo kubwa katika Uongozi na Siasa za Tanzania, huku akikumbukwa kwa mchango wake wa muda mrefu katika Utumishi wa umma.
#MillardAyoUPADATES.

Indonesia
UnjU🕳️ retweetledi

Hallow @bunge_tz spika wa bunge akimaliza huu mwaka hajaenda AKHERA itakuwa mganga wangu ni TAPELI.

Indonesia

@DanfordTun96400 @Adv_innocent @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering @unjuneering
QAM

UnjU🕳️ retweetledi

The 2025/26 EFL Cup title belongs to @mancity - and they could still win a domestic treble... 👀
Who will lift the Premier League and FA Cup trophies this season? 🏆

English

@Unjuneering Nauli zinaonekana ndogo kwa sababu hakuna foleni daladala zinatembea
Filipino





















