Sabitlenmiş Tweet
Mr.
110 posts

Mr.
@V__JEDI
Medical Laboratory Scientist || Public & Health research Enthusiasts || G.O.E
Katılım Ocak 2023
76 Takip Edilen39 Takipçiler
Mr. retweetledi

I am glad for the opportunity to showcase my PhD. research project to the general public at the #AfricaFestival 2024 and present (oral) some of my findings to the DGHM & VAAM 2024 in #Würzburg, #Germany 🇩🇪
@BugandoC
@cuhas_bugando


English

Kuna boda boda kanikuta naangalia hii clip. Kaniambia kaka Konde boy huyo.?
Nikamwambia , ndio.
Akaniambia huyo anaitwa RAJABU huyo , hajasoma ila anaunga unga anaimba kama kina Chriss Brown.
Ila iko so kizungu jamaa hajasoma , sema namkubali kinoma.
Ili tumalize ugomvi nikamwambia hata mimi sijui kizungu ila namkubali.. Najikuta ngoma zake nazikubali tuu.😂😂
Filipino

@AbroadTanzania mbn kama ameongea kwa hisia na sio kwa akili maan rais alikua makamu kwenye awam io
Indonesia

"Championing the fight against #AntimicrobialResistance: Our collective responsibility to safeguard our future. 💪🦠 #AMR #HealthForAll"
Classify Rx 📱@simplify_drugs
😓
English

@Jambotv_ Walimu wapo nyumbani hawana ajira alafu serikalini kuna upungufu wa walimu how come??…Toeni ajira kwa vijana
Indonesia

Congratulation prof
Jeremiah Seni@jeremiah_seni
I am grateful for the award from HPSS-SwissTPH for the work that we have done together for 6y in health system strengthening in Tz. As we close this 12y project, we will capitalize on the success towards the prospective UHC @AfyaHpss @SwissTPH @wizara_afyatz @cuhas_bugando
English

I am grateful for the award from HPSS-SwissTPH for the work that we have done together for 6y in health system strengthening in Tz. As we close this 12y project, we will capitalize on the success towards the prospective UHC
@AfyaHpss
@SwissTPH
@wizara_afyatz
@cuhas_bugando

English

God you have protected us from danger through the week....Happy prepared day...#HappySabbath in adcance
English
Mr. retweetledi

@Mkunga_Og Na pia serikali ifananye na iongeze upatikanaji wa chanjo bure ili watu wapate
Indonesia

Homa ya Ini Ni Ugonjwa Hatari, Zipo Aina Kuu 5 Za Virusi Vya Ugonjwa Wa Homa Ya Ini, "Hepatitis A, B, C, D, na E"
👇
Leo nitazungumzia aina moja, ambayo ni hatari sana "Hepatitis B" Ni maambukizi ya virusi vijulikanavyo kama hepatitis B virusi (HBV),
Virusi vya hepatitis B huchukua muda mfupi sana, marabaada ya maambukizi nakupelekea madhara ya ghafla kwenye Ini,
Ugonjwa huu ukikaa kwa muda mrefu bilaya tiba unapelekea madhara kwenye Ini kama, Kufeli kwa Ini, Saratani ya Ini au (Liver cirrhosis)
Njia za maambukiza ni pamoja na Jasho Damu, Mate, Shahawa au maji maji ya ukeni, Endapo utagusana tu namtu wenye maambukizi ya virusi vya Hepatitis B.
Dalili za ugonjwa huu zinaanza kuonekana baada ya mwezi mmoja hadi miezi minne, baada tu yakupatwa na maambukizi.
Dalili hizo zinaweza kuwa, Maumivu ya tumbo, Mkojo mweusi, Uchovu, Homa kali, Maumivu ya joints, Macho na ngozi kubadili rangi kuwa njanoo.
◇ Tiba Ya Homa ya Ini (Hepatitis B).
Kama vipimo vikionyesha kuwa una hepatitis B ya muda mfupi (acute hepatitis), hauhitaji tiba kwa sababu itaondoka yenyewe baada ya muda mfupi.
Badala yake unahitaji kupumzika, kupata lishe bora na vinywaji vya kutosha wakati kinga zako za mwili zikipambana kuundoa ugonjwa huo.
Endapo hepatitis B ni ya muda mrefu (chronic hepatitis) yaani zaidi ya miezi sita, utahitaj tiba ili kuondoa madhara ya ugonjwa huo na kuzuia usiwaambukize watu wengine.
NB: Dawa anazo tumia mgonjwa wa Homa ya Ini ni zile zile za kufubaza virusi vya ukimwi "ARV" Chukua hatua sasa fanya vipimo pata chanjo mapema,
》Chanjo Hutolewa Kwa Njia Ya Sindano, Ambapo Huwa Ni Sindano 3; Sindano Ya Kwanza Hutolewa Baada Ya Kupimwa Kujua Kama Hauna Maambukizi Tayari, Sindano Ya Pili Hutolewa Baada Ya Mwezi Mmoja Na Sindano Ya 3 Baada Ya Miezi 6. ASANTE SANA 🙏

Indonesia

@Mkunga_Og Elimu ya homa ya ini ni ndogo sana mtaani
Watu wanapaswa kupewa elimu ni kwa jinsi gan inaweza kuambukiza au kuambukizwa kwa urahisi
Indonesia


















