Vanessa Temba

3.2K posts

Vanessa Temba banner
Vanessa Temba

Vanessa Temba

@VannyTemba

PR practitioner| Marketer| Owner @thegifthaus| Mom AM| Mpishi | a Woman of proverbs 31:10🙏🏽

Tanzania Katılım Mayıs 2021
214 Takip Edilen1.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Vanessa Temba
Vanessa Temba@VannyTemba·
Unapofikiria kudumisha tabasamu kwa wapendwa wako @thegifthaus ndio suluhisho lako. 🤩 This Valentine season kwa bajeti ya kuanzia 10,000 tuu nk, utapata package udumishe tabasamu kwa umpendae 📍Mikocheni 📱0713149537 📌Weka order yako mapema kupata perfect gift 🎁
Filipino
0
25
31
2.7K
Vanessa Temba
Vanessa Temba@VannyTemba·
Utu uzima ni scam 🥹🥹🥹🙌🏽 Sitaki mimiiii 🥹🥹🥹😩😩
Indonesia
0
0
0
32
Vanessa Temba retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Unajua kile hisia ya kutuma mkwanja home halafu hapo hapo na wewe unaingia kwenye kinyang'anyiro cha ushindi Ndio mpango mzima wa SimBanking msimu huu! 😎 Sio tu kwamba unarahisisha maisha yako, lakini CRDB Bank wanataka kukupeleka hadi Ulaya au ukajionee Simba wa Serengeti live! 🐘✈️ Pia kuna mshiko wa kila mwezi na wiki unakuhusu. Piga *150*03# au tumia SimBanking App leo! #SimbankingKimpangoWako
Daktari Wa Manesi 💉💊 tweet media
Indonesia
2
20
18
592
Vanessa Temba
Vanessa Temba@VannyTemba·
Congrats and all the best dear 🥂
minah🌹@queeen_minah

forms.co.tz/form/islamic-w… Hello, Asalam Aleykum Twitter family…naombeni mbonyeze link hii mninominate for MAKEUP ARTIST MBOBEVU Nominee name: MINAHS BEAUTY STUDIO Bi-idhnillah niwe part of nominees wa hii award for 2026 ❤️🥰Ahsanteni sana

English
1
0
1
140
Vanessa Temba retweetledi
minah🌹
minah🌹@queeen_minah·
forms.co.tz/form/islamic-w… Hello, Asalam Aleykum Twitter family…naombeni mbonyeze link hii mninominate for MAKEUP ARTIST MBOBEVU Nominee name: MINAHS BEAUTY STUDIO Bi-idhnillah niwe part of nominees wa hii award for 2026 ❤️🥰Ahsanteni sana
minah🌹 tweet mediaminah🌹 tweet media
English
55
92
174
12.4K
Ishengoma Irene
Ishengoma Irene@IshengomaIrene·
This week’s ✨MOOD✨ Jasiri haachi Asili 💃🏽❤️‍🔥
English
15
10
74
8.1K
Vanessa Temba
Vanessa Temba@VannyTemba·
Congrats Mr & Mrs, ndoa yenu ikawe ya furaha na baraka. 🤩🥂 For beautiful wedding cars decoo, 💐 🔍 like these & more, kindly contact us and let’s create beautiful unforgettable memories together. Karibuni @thegifthaus tuwapambie magari ya shughuli yeyote ile. 📞0713149537
Vanessa Temba tweet mediaVanessa Temba tweet media
English
0
4
14
1.7K
minah🌹
minah🌹@queeen_minah·
Happy Birthday my love🥰❤️thank you for always being the brutally honest friend you are, maisha yako ni zawadi kwetu, i wish you all the good things life has to offer, you deserve it! @manta_michael ❤️
minah🌹 tweet mediaminah🌹 tweet media
English
6
19
154
5.9K
Vanessa Temba
Vanessa Temba@VannyTemba·
Our dear bosses, We have new arrivals 🥰🥳 Transparent boxes & more. Wateja wetu wa jumla hizi mali ni zenu..! Karibuni sanaaa @thegifthaus 🥰🥳🤝 📞0713149537 📍Mikocheni, Rose Garden road, Opposite to Dar Village Mall.
English
0
0
0
56
Vanessa Temba retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Asubuhi mpya ni ushahidi kwamba Mungu bado hajamaliza na wewe. Shukuru kwa uhai, ombea nguvu, na tembea kwa imani. Neema ya Mungu ikutangulie leo 🙏🏼
Indonesia
15
80
360
4.9K
Vanessa Temba
Vanessa Temba@VannyTemba·
TUACHE TABIA ZA KUDHARAU na KUKADIRIA BIASHARA ZA WENGINE Hujapenda quality ya bidhaa basi iache, aga na uende ukanunue mahali penye utapata cha quality unayoitaka, hiyo inawateja wa hadhi yake wataipenda na watainunua.📌 Karibuni dukani @thegifthaus tunamali mpya 📞0713149537
Vanessa Temba tweet media
Indonesia
4
3
21
4K
Vanessa Temba retweetledi
Tech & Media Convergency (TMC)
Tech & Media Convergency (TMC)@MediaConvergecy·
𝗔𝗗𝗩𝗢𝗖𝗔𝗖𝗬 𝗕𝗥𝗜𝗘𝗙 | 𝗧𝗮𝘅𝗶𝗻𝗴 𝘁𝗵𝗲 𝗖𝗹𝗶𝗰𝗸𝘀: 𝗗𝗶𝗴𝗶𝘁𝗮𝗹 𝗥𝗲𝘃𝗲𝗻𝘂𝗲 𝗣𝗼𝗹𝗶𝗰𝘆 𝗮𝗻𝗱 𝘁𝗵𝗲 𝗙𝘂𝘁𝘂𝗿𝗲 𝗼𝗳 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮’𝘀 𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗼𝗿 𝗘𝗰𝗼𝗻𝗼𝗺𝘆 TMC, in collaboration with the Internet Governance Tanzania Working Group (IGTWG), presents Issue 07 of the Tanzania State of Internet Governance Series an advocacy brief exploring the intersection of digital taxation, regulation, and the sustainability of Tanzania’s emerging creator economy. As Tanzania’s digital landscape expands, platforms like TikTok, Instagram, and YouTube are becoming key sources of income. However, the introduction of taxation policies such as the 5% withholding tax on digital content creators, alongside restrictive regulatory practices, reveals a growing disconnect between revenue collection and ecosystem growth. Key areas highlighted in the brief include: ✴️ The rise of the creator economy as a driver of income and innovation ✴️ The impact of the Finance Act 2024 on digital content creators and digital assets ✴️ Internet shutdowns and platform instability as sources of economic disruption ✴️ Limited access to global monetization systems and financial exclusion of creators ✴️ The classification challenges and “identity crisis” of digital workers ✴️ The need for a minimum taxable threshold to support micro-creators ✴️ High data costs and infrastructural barriers affecting content production ✴️ The role of digital infrastructure and payment systems in enabling growth ✴️ Strategic policy recommendations for a stable, inclusive, and enabling digital ecosystem This advocacy brief calls for a balanced approach where taxation is aligned with supportive regulation, ensuring that Tanzania’s digital economy remains open, predictable, and capable of driving innovation, employment, and inclusive growth. 🔗 Read the full brief here: bit.ly/AdvocacyBrief2… #TMC #IGTWG #SIG2026 #TDC2026 #DigitalRights
Tech & Media Convergency (TMC) tweet media
English
0
30
27
2.1K
Vanessa Temba
Vanessa Temba@VannyTemba·
@MarekaMalili Aaah..! Navumilia ila ukweli inabidi tuuseme tuu. Maana watu wengine dharau zimezidi jamani. Mtu anategemea kitu OG auziwe 30k uliona wapi? 😆😆😆😆 anatoka kukichamba hapo hapo anakimbilia cha bei cheap 😏
Indonesia
0
0
0
35
Vanessa Temba
Vanessa Temba@VannyTemba·
@gg_ihy @thegifthaus Kwa kweli. Mtu anaona duka lako anasema haka kaduka si ka milioni 10 tuuu?? Weeeee kama unayo na wewe fungua kako ka10m kafanane kama hako unakokadharau. Watu wanadharau jamani 🥹🙌🏽
Filipino
1
0
1
32
Vanessa Temba
Vanessa Temba@VannyTemba·
@Dagwaaa @thegifthaus Kupewa feedback ni kitu kizuri na hatukatai. Ila kunawanaokuja na kukosoaa tu. Hii ni cheap, hii ni too fake, jamani inawateja wake. Kama unaona ni too fake au cheap unaruhusiwa kutizama kwingine. Ila sio kukosoa biashara ya mtu mwanzo mwishoo. Mtu anavyoweka hiyo anawateja wake.
Indonesia
0
0
1
85
Sam
Sam@Dagwaaa·
@VannyTemba @thegifthaus Biashara haiko hovyo Lazima upewe customer satisfaction either nzuri au mbaya Pia sio Kila Negative feedback ni mbaya ni za kukutaka uongezee kitu
Indonesia
1
0
0
110
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Tulioamka saa 9 tukilala now tunakua wavivu?
Indonesia
16
16
160
4.3K