World Press Freedom Day (2026) retweetledi

“Uandishi wa habari hauwezi kufa kwa sababu ya mabadiliko ya teknolojia,” - @nuzulack, Mtendaji Mkuu wa @NuktaAfrica akizungumzia hali ya vyombo vya habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Mei 3, 2026.
Zaidi, tazama hapa >>> youtu.be/G2Zg2DWDvbQ

YouTube
Indonesia




































