#WalkÒn

88.6K posts

#WalkÒn banner
#WalkÒn

#WalkÒn

@Venance_CL

Africa Katılım Şubat 2016
11.6K Takip Edilen44.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
#WalkÒn
#WalkÒn@Venance_CL·
MNADA WA VIWANJA - CHALINZE KWA MWARABU 🚨 USIPOKUWA MAKINI, UTAKOSA HII NAFASI! 🚨 Leo si siku ya kusubiri… ni siku ya KUAMUA! ✅️TUKUTANE 25/APRIL/2026✅️ Viwanja vinaingia kwenye MNADA na vinachukuliwa FAST kuliko unavyofikiria! 🔥 💥 Watu tayari wameshajiandaa 👇👇👇
#WalkÒn tweet media
Indonesia
1
0
2
243
#WalkÒn retweetledi
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Tabia ya kweli ya mtu huonekana katika namna anavyowatendea wale ambao hawawezi kumsaidia kwa chochote.
Filipino
60
462
2.3K
67.9K
#WalkÒn retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Nadhani addiction ya Kahawa haijadiliwi vizuri, these niggas wapo kijiweni saa 12 asubuhi 😆
Indonesia
69
54
835
43.2K
#WalkÒn retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Salim Kikeke anaharibika ukubwani kama Bamia 🙌🙌
Filipino
79
113
1.4K
45K
#WalkÒn retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
hii dar ni kama tulikuja kulipa kodi tu.
Eesti
14
16
213
16.5K
#WalkÒn retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Ikawe kheri leo tena. May God bless us all 🙏🏼
English
17
27
118
1.1K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Sasa mimi nilisema Chelsea hafungwi mbona mnanimaindi sana😀😀😀 Kwani second half imekuwaje maana niliishia cha kwanza tu na ambayo kweli hakufungwa😀 Mimi si-jinx mnanisingizia sana
Indonesia
46
30
591
14.4K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
@SamsonDanielDS Kwani mbona nilipost kabla ya mechi ? Tofautisha saa pale kwenye tweet . Muda wa tweet na muda wa mechi
Indonesia
3
0
5
1.3K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Chelsea hafungwi na Man City .!
Polski
216
51
853
55.3K
#WalkÒn retweetledi
‏ٰ
‏ٰ@topsytpff·
If music is therapy, who is your therapist?
English
204
42
492
64.4K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kama wenzetu wananunua basi nasisi tuanze kununua tu hakuna namna.
WHYMYCATISSAD tweet media
Indonesia
5
12
277
4.7K
#WalkÒn
#WalkÒn@Venance_CL·
Hawa TOT Spurs wangekuwa na Arne Slot wangemnyonga 🤣🤣
Filipino
0
0
1
203
#WalkÒn
#WalkÒn@Venance_CL·
👉 Piga simu SASA / WhatsApp ujihakikishie nafasi yako kabla haujachelewa! 📲 +255 684 545 613 ⚠️ Kumbuka: Viwanja haviwezi kusubiri mtu — vinachukuliwa na wenye malengo ya haraka!👍
Indonesia
0
0
0
57
#WalkÒn
#WalkÒn@Venance_CL·
💥 Bei zinaanza chini lakini zinapanda haraka 💥 Nafasi ni chache — ukichelewa, umechelewa kabisa! 📍 Eneo lenye thamani inayokua kila siku 📜 Hati safi na uhakika wa umiliki 🚀 Fursa ya kujenga au kuwekeza kabla bei haijapaa NJOO NA 96,000/= TU Umiliki kiwanja chako
Indonesia
1
0
0
76
#WalkÒn
#WalkÒn@Venance_CL·
MNADA WA VIWANJA - CHALINZE KWA MWARABU 🚨 USIPOKUWA MAKINI, UTAKOSA HII NAFASI! 🚨 Leo si siku ya kusubiri… ni siku ya KUAMUA! ✅️TUKUTANE 25/APRIL/2026✅️ Viwanja vinaingia kwenye MNADA na vinachukuliwa FAST kuliko unavyofikiria! 🔥 💥 Watu tayari wameshajiandaa 👇👇👇
#WalkÒn tweet media
Indonesia
1
0
2
243
#WalkÒn retweetledi
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Bongo watu wengi wamefariki kwasababu ya ukosefu wa vipimo sahihi hospitalini.
Indonesia
52
95
798
21.9K
#WalkÒn retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Hakuna mahusiano yasiyokuwa na Sheria kama unataka uhuru endelea kuwa single.
Filipino
18
57
405
7.3K
#WalkÒn retweetledi
Nikkwapili
Nikkwapili@nikkwapili·
Chuki ni upendo uliokosa matunzo
Filipino
59
113
710
39.4K
#WalkÒn retweetledi
Sally Brown🌷
Sally Brown🌷@officielsalome·
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine
Indonesia
2
5
25
1.2K
#WalkÒn retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Mungu alitubariki sana generation yetu kwa kutupa Rose Muhando, Jennifer Mgendi na Bahati Bukuku kwa wakati mmoja.
Indonesia
15
35
322
10.5K