WanawakeLiveTv

12.3K posts

WanawakeLiveTv banner
WanawakeLiveTv

WanawakeLiveTv

@Wanawakelivetz

WE ADVOCATE FOR WOMEN’S RIGHTS & EMPOWERMENT • Advocacy • Awareness • Production • Contacts +255 783 137 777

Dar es salam Tanzania Katılım Ekim 2011
81 Takip Edilen6.1K Takipçiler
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Wadada kama Solana ndo walengwa wakubwa wa mradi wetu wa @wadadacenter wa kuwawezesha wanawake kiuchumi katika kutimiza malengo yao… Kwenu wadada ambao mnajitambua mmesoma mpaka form four, mnaweza kufanya kazi za nyumbani kwa weledi mnajua kiingereza cha kuwasaidia watoto
Indonesia
0
0
1
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Na Mungu baada ya kumuumba Adam akaona hajakamilika ndo akamuumba Hawa ili amkamilishe na kumsaidia KUTAWALA samaki wa baharini, ndege wa angani, na vyote vilivyomo chini ya jua 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Indonesia
0
0
2
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Hii video Nimezungumzia vitu vya kufanya kama kweli tukitaka kumaliza ukatili katika jamii …. Hiki ni kipindi cha WanawakeLive tulichorusha wiki hii kupitia Tbc1…. Full video ipo kwenye Youtube ya WanawakeLiveTv
Filipino
1
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
“Tusipokuwa na viongozi wengi wanawake wenye nafasi za maamuzi ambao wana mguso na janga la ukatili wa Kijinsia haya matatizo ya ukatili hayatakwisha” - @annakulaya_ Mkurugenzi @wildaftz Full show ipo kwenye Youtube ya WanawakeLiveTv
Filipino
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Kipindi cha WanawakeLive kupitia TBC1 week hii tulikuwa na Mkurugenzi wa @wildaftz Ms. @annakulaya_ Focus yetu kubwa tumeelekeza kwenye harakati za kupinga Ukatili wa Kijinsia zimefanikiwa kiasi gani?
Filipino
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Karibu ufahamu kwa undani kuhusu Madaraja ya wadada wa 100,000 na 200,000 na 300,000 👍🏽 @wadadacenter
Indonesia
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Karibu ufahamu kwa undani kuhusu Madaraja ya wadada wa 100,000 na 200,000 na 300,000 👍🏽 @wadadacenter
Indonesia
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Karibu ufahamu kwa undani kuhusu Madaraja ya wadada wa 100,000 na 200,000 na 300,000 👍🏽 @wadadacenter
Indonesia
0
0
2
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Ungana nasi muda huu Tuko TBC1 kama uko karibu na Tv yako tunatoa elimu kwa jamii hususan wanawake kuhusu fursa za uwezeshaji na kupinga ukatili wa kijinsia 👍🏽
Indonesia
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Video nzima ipo kwenye mitandao yetu kuanzia Youtube instagram Facebook jina la WanawakeLiveTv
Filipino
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Video nzima ipo kwenye mitandao yetu kuanzia Youtube instagram Facebook jina la WanawakeLiveTv
Filipino
0
0
1
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Sikiliza Lengo la mradi wetu wa @pigakazi_ Kwa mawasiliano zaidi 0713137777
Indonesia
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Taasisi yetu ya @hakizawanawake inasaidia Wanawake Kupata Haki, Kutoka kwenye Ukatili na Unyanyasaji na kuwapa Mbinu za Kujikwamua Kiuchumi. Karibuni sana.
Indonesia
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Hii ndo mifumo iliyowekwa na serikali katika kupambana na ukatili wa Kijinsia. Baadhi ya Wananchi waliotazama kipindi kupitia Tbc1 wamedai huko vijijini kuna baadhi ya maeneo hawana huduma za madawati na ukatili upo mwingi.
Filipino
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Baada ya kurusha kipindi chetu cha WanawakeLive kupitia Tbc1 na kuwafikia wananchi wengi, sasa Kazi yetu ni kuwaunganisha na huduma zilizopo ili waende kupata msaada zaidi. Mada ya wiki hii ilikuwa kuhusu mifumo iliyowekwa na serikali ya kupambana na Ukatili, karibu Tushirikiane
Indonesia
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Baada ya kurusha kipindi chetu cha WanawakeLive kupitia Tbc1 na kuwafikia wananchi wengi, sasa Kazi yetu ni kuwaunganisha na huduma zilizopo ili waende kupata msaada zaidi. Mada ya wiki hii ilikuwa kuhusu mifumo iliyowekwa na serikali ya kupambana na Ukatili, karibu Tushirikiane
Indonesia
0
0
0
0
WanawakeLiveTv
WanawakeLiveTv@Wanawakelivetz·
Hakuna sababu ya kukimbilia kufanya Ukatili, mwanaume wa kweli anatulia na anachukua hatua stahiki ambazo hazina madhara kwa familia na jamii. #Wanawakelive #Tbc1 👍🏽 Kipindi kipo kwenye Youtube ya WanawakeLiveTv
Filipino
0
0
1
0