Wit James

2.6K posts

Wit James banner
Wit James

Wit James

@WitJames1

Jesus is coming soon

East Africa Katılım Şubat 2020
260 Takip Edilen117 Takipçiler
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
“Angalia tattoo ya mfanyakazi wa NASA. Unaona nini? Haya mambo sio kila mtu anafanya kunajitihada zaidi zinaitajika #BilaGanzi
Jack upepo tweet mediaJack upepo tweet media
Indonesia
39
16
269
38.1K
Wit James
Wit James@WitJames1·
@SomezJr @MKihore @kikomasta Kila mwanadamu anaamini. Mimi nimechagua kitabu Cha kuamini na mafundisho yake ambacho ni Biblia, Na wewe chagua kitabu chako ukiamini.
Indonesia
1
0
1
33
Wit James
Wit James@WitJames1·
@MAVERIC68078049 Acts 19:27 So that not only this our craft is in danger to be set at nought; but also that the temple of the great goddess Diana (ARTEMI) should be despised, and her magnificence should be destroyed, whom all Asia and the world worshippeth.
English
0
0
0
148
MAVERICK X
MAVERICK X@MAVERIC68078049·
Look at that Tattoo of NASA Employee. What do you notice?
MAVERICK X tweet mediaMAVERICK X tweet media
English
329
1.3K
10.5K
1.2M
Wit James
Wit James@WitJames1·
@Salamaenrich @kikomasta Acts 19:27-.Si kwamba kazi hii yetu ina hatari ya kudharauliwa tu; bali na hekalu la mungu mke aliye mkuu, Artemi, kuhesabiwa si kitu, na kuondolewa utukufu wake, ambaye Asia yote pia na walimwengu wote humwabudu.
Indonesia
1
0
0
24
Wit James
Wit James@WitJames1·
@MKihore @kikomasta Sio habari ya mikosi. Anataka kujihakikishia kuwa atakayemchagua ni wa upande wake (ufalme wa Giza) na si vinginevyo.
Filipino
3
0
11
1.2K
Maupwirupwiru 🔞📵🚭
@kikomasta Jana tulikua tunakula bata na mwanangu mmoja katoka machimboni anaela nyingi, akawa anataka malaya anunue akawa anachagua mwenye tattoo, nikamuuliza kwanini akanambia madem wenye tattoo hawana mikosi ndo nikaanza kuelewa kwanini malaya wengi wana matattoo. Tattoo ina zina siri
Filipino
6
1
26
4.6K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
Kwa muonekane wa huyu DJ unahisi ngoma gani haiwez kukosekana kwenye playlist yake?😀
Ze Planmaster tweet media
Indonesia
50
23
125
5.7K
Benjamin Fernandes 🇹🇿
Benjamin Fernandes 🇹🇿@Benji_Fernandes·
Wow @elonmusk, I’m getting 210 Mbps on Starlink… on a flight. Airplane WiFi just became better than most ground networks globally 🤯 I barely get 30 Mbps in my home country of Tanzania with local networks.
Benjamin Fernandes 🇹🇿 tweet mediaBenjamin Fernandes 🇹🇿 tweet media
English
42
38
474
36.7K
BARÇAGUY
BARÇAGUY@blackculer·
Kubadilisha mtungi wa O-Gas a ni 24,000/= toka lini ??
BARÇAGUY tweet media
Indonesia
22
18
156
7.1K
Wit James
Wit James@WitJames1·
@MangiwaKwanza1 Kule mbele Kuna kisiwa kinaitwa Mandakerenge, huko hakuna shule, shule zipo upande wa nchi kavu (Kirando) kwa hio wanafunzi lazima waje kusoma kila siku kupitia ziwani.
Wit James tweet media
Filipino
0
0
0
25
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Miaka 65 ya uhuru, kuwatafutia kivuko kizuri imeshindikana 💔
Suomi
46
121
374
12.1K
Wit James
Wit James@WitJames1·
@bbcswahili Hata ukitaka kula haiwezekani, madaktari wamekataa. Umri wake ni wa mbogamboga, Matunda, wanga kidogo basii
Indonesia
0
0
0
15
BBC News Swahili
BBC News Swahili@bbcswahili·
Rais wa Uganda aelezea chakula kilichomsaidia kupunguza uzito wa mwili wa kilo 30 bbc.in/4lQmoKN
BBC News Swahili tweet media
Indonesia
2
1
44
2.4K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi haka kadude ka "MAN OF THE MATCH" hua kana nini ndani..?
kasesco☆ tweet mediakasesco☆ tweet media
Filipino
77
30
541
37.5K
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga@ezekiel_kamwaga·
Bunge limekuwa yatima Katika tamaduni za kibunge za Jumuiya ya Madola, mbunge me aliyedumu kwa muda mrefu kuliko wengine hujulikana kama Baba wa Bunge. Mwanamke huitwa Mama wa Bunge. Kwa Bunge hili la sasa, Baba alikuwa William Lukuvi na Mama alikuwa Jenista Mhagama. Wameondoka
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga tweet media
Indonesia
56
3
136
13.1K
кєνín
кєνín@notcee_fan·
what would be your reaction in this situation?😭😂
кєνín tweet media
English
3.9K
448
6.9K
2.5M
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
Hoteli ya Marehemu Lukuvi Dodoma. Imefungiliwa mwezi huu. Leo ameiacha inawezekana hakulala humo. Tunahangaika na dhulma na ufisadi; kuumiza wengine ili kubaki madarakani kwa njia haramu za kumwaga damu na kutesa. Lakini ukweli utabaki kwamba; tulikuja utupu na utupu tutarudi.
Mamwavi_Nkabasia tweet media
Indonesia
68
130
1.1K
64.6K
Wit James
Wit James@WitJames1·
@zoetjesheeftX Kirahisi kabisa eti, "unaweza kupata zingine" iv anajisikia anachosema ? Si angelipa kwanza au angemuahid kumlipa ili jamaa apoe kidogo wasifikie huko
Indonesia
0
0
0
205
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Mary Claire binti Aliye mwagiwa Tindikali na aliye kuwa mchumba wake aliye Msomesha amefunguka kuwa, "Sikuwahi kumuomba huyo mwanaume anilipie ada ya shule. Ni yeye mwenyewe aliniomba nimpe maelezo ya akaunti ya shule, nikampa bila kujua kuwa angeanza kulipa ada. Nilijaribu hata kumzuia, lakini aliniambia ananipenda sana na yuko tayari kunifanyia chochote. Katika kipindi chote tulichokuwa kwenye mahusiano, hakuwahi kuniambia kuwa tayari ameoa, na pia sikuwahi kumuona na mke wake. Baada ya kugundua kuwa ameoa, nilimweleza wazi kuwa siwezi kuendelea na mahusiano hayo, ndipo nikaamua kuyavunja. Baada ya hapo, Elvis alianza kunitishia kwa hasira, na sasa hali imefikia hatua ya kutaka kuniangamiza, Ningependa kutoa wito kwa wanaume, mwanamke akikataa kuwa na wewe, muache na uendelee na maisha yako hata kama amekula pesa zako unaweza kupata zingine" 🗣️ Amesema merry Toa maoni yako hapa ✍️
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Filipino
37
4
80
20K
Big 0047
Big 0047@BigOO47·
Bastola juu ya kichwa Pweza Kwa Kingereza Anaitwaje...!!??
Big 0047 tweet media
Indonesia
57
36
215
22.1K
Wit James
Wit James@WitJames1·
@kishoka_ Ngono inakuweka kwenye hatari ya kuibiwa hatima yako. Utaibiwa mali, utajiri, fursa na hata mahusiano mazuri na ndugu, boss, rafiki zako, Mungu wako. Mithali 7:13- Basi akamshika, akambusu, Akamwambia kwa uso usio na haya, [14]Kwangu ziko sadaka za amani...
Indonesia
0
0
0
22
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Ngono Ina uhusiano wa Moja Kwa Moja na masuala ya kiroho, Kufanya ngono na watu tofauti tofauti wasio sahihi kunaweza kuvuruga mwelekeo wa maisha yako. Upende au usipende.
Indonesia
70
68
313
13.9K