KARIM MOTORS

376 posts

KARIM MOTORS banner
KARIM MOTORS

KARIM MOTORS

@Wolfguang

TUNAUZA TUNANUNUA TUNAKOPESHA TUNAAGIZA PIA TUNABADILISHA MAGARI TUPO DAR ES SALAAM MABIBO MWISHO CALL AND WHATSAPP 0679896129

Tanzania Katılım Ocak 2023
137 Takip Edilen39 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
KARIM MOTORS
KARIM MOTORS@Wolfguang·
KARIBUNI TUNAUZA TUNANUNUA TUNAKOPESHA MAGARI KWA BEI NAFUU SANA
KARIM MOTORS tweet media
Indonesia
1
0
3
77
KARIM MOTORS
KARIM MOTORS@Wolfguang·
@EsirEid Tajiri ishi na vipotable hayo ma double cabin achia wahuni😂😂
Română
0
0
0
1
MADOPE🌾
MADOPE🌾@Ugeniaconso·
Hapa tatzo litakua nini???
MADOPE🌾 tweet media
Euskara
30
16
103
11.5K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
𝐍𝐈𝐌𝐄𝐏𝐄𝐍𝐘𝐄𝐙𝐄𝐖𝐀 : James Temba alikua WINGA Kariakoo na pale IFM marafiki zake walimuonya aache kutapeli watu, kuna mtu (Apoli) alikua na ugomvi naye alimtapeli hela ya IPhone 17, walitafutana tangu Februari huenda jamaa kalipiza kisasi. @tanpol Namba ya Apolo ninayo
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
89
16
334
85.3K
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
Hakuna Nigger elewa neno hakuna 🙌
Babu Bomba tweet media
Eesti
7
31
323
19.4K
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
it doesn't look good my brother.💔💔💔
kibaha_finest tweet media
English
2
6
16
632
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Mheshimiwa MWIGULU NCHEMBA ni MWANAHARAKATI na MPIGANIA HAKI ZA WATU ambaye HACHOKI kuwa MZALENDO kwa KUVAA BENDERA YA TAIFA muda wote. Mawaziri wenzako wanacho kitu cha KUIGA kutoka kwako. Pokea 🌹🥀💐🌷 yako Mheshimiwa. Sasa mpambanie NINJA aachiwe HURU.
Peter Madeleka tweet media
Filipino
27
34
208
6.8K
KARIM MOTORS
KARIM MOTORS@Wolfguang·
@ikulumawasliano Tunauza magari✅ Tunanunua magari✅ Tunakopesha magari✅ Piga simu 0679896129☎️ KARIBUNI SANA🙏🙏
Eesti
0
0
0
4
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
20
102
297
5.9K
KARIM MOTORS
KARIM MOTORS@Wolfguang·
@YerickoNyerereT We mzee jikaze si uongelee chama chenu kutwa unadiss chadema walikutomba au unazingua unatumika vibaya ndugu muandishi wa vitabu
Indonesia
0
0
1
79
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Masikini chama changu cha zamani, chama kilichokuwa chemchem ya fikra, chama kilichokuwa cha wajenzi huru wa hoja, Chama kilichokuwa na maadili mema, Chama ambacho wanachama na viongozi walichagua maneno ya kuzungumza hadharani, Leo limekuwa genge la vibaka waropokaji na waumini wa ushoga na usagaji? Fikiria, Huyu anayezunguza utumbo huu ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema, yaani Hawa ndio aina ya viongozi waliokishika chadema kwa sasa, Msione matusi mitandaoni mkasema ni vijana wao tu waliokata marinda na kujizima data…. Ninaposema chama kimekufa siku zote ninamaanisha kiko katika hali hii ya uongozi wa kizandiki kama huu, Huyu ni Msomi wa Sheria kutoka chuo kikuu bora Duniani cha Harvard, lakini angalia uharo anaoutoa mdomoni mwake. Siasa ni kazi, siasa ni taaluma, siasa ni kipaji… Watu wamekurupuka kutoka kwenye fani zingine wakavamia siasa ndio hawa nawaita kila siku kuwa ni wanaharakati uchwara walioteka chama na kisha wakakiondoa Chama kwenye siasa na kukigeuza kikundi cha porojo na matusi, Na kwa hakika Chama kinachounga mkono ushoga na usagaji basi viongozi wake huwa wanalugha kama hizi….. Hivi bado kuna mtu mwenye akili timamu kabisa bado yuko Chadema akiongozwa na mapopoma kama hawa? Mtu huyo ajichunguze vizuri bila shaka anamatatizo makubwa ya afya ya akili. Karibuni Chaumma watu wote wema wenye maadili mema wanaoitazama kesho iliyo njema kwa siasa safi zilizovunja ungo na kubalehe. Na Yericko Nyerere
Indonesia
40
7
27
8.2K
millardayo
millardayo@millardayo·
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu leo April 09, 2026 Bungeni Jijini Dodoma amemuapisha Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Itakumbukwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, April 02, 2026 alimteua Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge hilo. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
34
7
213
26.4K
KARIM MOTORS
KARIM MOTORS@Wolfguang·
@millardayo RAMADHANI OFFER🔥 TUNAUZA NA KUNUNUA MAGARI KWA BEI NAFUU SANA🤗 0679896129 KARIBUNI SANA🙏
Indonesia
0
0
0
9
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Siku ya Wanawake Duniani ni siku muhimu ya kutambua mchango mkubwa wa Wanawake katika mandeleo ya familia, jamii na Taifa kwa ujumla akisema kwa hapa nchini, maadhimisho ya mwaka huu yanaongozwa na kaulimbiu "Haki na Usawa kwa Wanawake na Wasichana: Msingi Jumuishi wa Kufikia Dira ya Taifa ya Mandeleo 2050," huku kimataifa yakiadhimishwa chini ya kaulimbiu "Give to Gain" - Kutoa ndiko Kupata. Rais Samia kupitia ujumbe wake wa Siku ya Wanawake leo March 08,2026, amesema “Kauli mbiu hizo zinatukumbusha kwamba maendeleo ya kwell ya jami na Taifa letu yanajengwa katika msingı wa haki na sawa na ushirikishwaji, pamoia na moyo wa kujitoa, kushirikiana na kuwainua wengine, kwa asili, Mwanamke ni Mama, ni Mlezi, ni Kiongozi na ni Mfariji wa familia, jamii na Taifa. “Katika maisha ya kila siku, Wanawake wanaishi kwa vitendo falsafa ya "Kutoa ndiyo Kupata", wanajitoa kwa Familia zao, wanalea kizazi, wanahudumia jamii na wanachangia kwa namna mbalimbali maendeleo ya Taifa letu, hata katika nyakati za changamoto, Mwanamke hakimbii majukumu, badala yake, hubeba changamoto hizo kwa ujasiri na hekima, na kuzigeuza kuwa nguvu ya kuimarisha familia, jamii na Taifa. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
24
5
136
11.6K
KARIM MOTORS
KARIM MOTORS@Wolfguang·
@SimbaSCTanzania RAMADHANI OFFER🔥 TUNAUZA NA KUNUNUA MAGARI KWA BEI NAFUU SANA🤗 0679896129 KARIBUNI SANA🙏
Indonesia
0
0
1
13
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
𝐀𝐋𝐈𝐀𝐇𝐈𝐃𝐈, 𝐀𝐌𝐄𝐓𝐄𝐊𝐄𝐋𝐄𝐙𝐀. Mzabuni wa jezi, kampuni ya JayRutty imekabidhi magari matano mapya kwa wachezaji wetu watano kama utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Mkurugenzi wake, Joseph Rwegasira. #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet media
Indonesia
25
31
714
27.8K
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Imekuaje huyu Mwamba hajapewa Gari na JayRutty au wametumia vigezo gani kutoa magari????
MTANZANIA 🇹🇿 tweet media
Indonesia
29
23
502
21K
KARIM MOTORS
KARIM MOTORS@Wolfguang·
@NikoJMT Overrated Talented Underrated Unrecognized treasure One of the complex rappers in new generations versatile,storyteller, rhyme, flow,words play etc,,,
English
0
0
4
399
YHWH
YHWH@NikoJMT·
What's the public consensus about these 5 rappers? Young Lunya Conboi Dizasta Mex Rapcha
English
9
3
24
5.9K
millardayo
millardayo@millardayo·
Kampuni ya Teknolojia ya Ookla yenye Makao Makuu yake Seattle, Washington Marekani ambayo inajulikana Duniani kwa kupima kasi ya Intaneti, imeutangaza Mtandao wa Yas Tanzania ( @YasTanzania_ ) kuwa Mshindi wa Tuzo ya Mtandao wenye kasi zaidi ya Intaneti Nchini Tanzania ikiwa ni mara ya tatu mfululizo kwa Yas kuishinda Tuzo hiyo. Katika taarifa yake baada ya kushinda Tuzo hii iliyotolewa Barcelona Nchini Hispania kwenye Mkutano wa Mobile World Congress 2026, Yas imesema ushindi wa Tuzo hii ni uthibitisho wa dhamira yake ya kuhakikisha inawekeza kikamilifu ili kila Mtanzania aweze kunufaika na fursa za kidigitali popote alipo "endelea kufurahia na kukamilisha ndoto zako na Mtandao unaotambulika na uliothibitishwa na Ookla" Ushindi huu wa tatu mfululizo wa Yas unakuja ambapo Mtandao huu ukisherehekea mwaka mmoja tangu kuanza kuitwa Yas lakini pia miezi kadhaa tangu Yas ilipotangaza kufanya uwekezaji wa zaidi ya Tsh. Trilioni moja katika kuimarisha na kupanua teknolojia ya mtandao wake kote Nchini Tanzania kwa kiwango cha 4G na 5G. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
89
17
434
27.7K
KARIM MOTORS
KARIM MOTORS@Wolfguang·
@millardayo TUNAUZA,TUNANUNUA TUNAKOPESHA NA KUAGIZA MAGARI KWA BEI NAFUU SANA 0679896129 KARIBUNI SANA🙏
Filipino
0
0
0
10
millardayo
millardayo@millardayo·
Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba SC imesema imesikitishwa na vitendo vya baadhi ya Mashabiki kumvamia Mwenyekiti wa Klabu na Makamu Mwenyekiti bodi ya Wakurugenzi Murtaza Mangungu hii leo mara baada ya mchezo wao dhidi ya Es Tunis uliofanyika hii leo katika Uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es salaaam. Kupitia Taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo hii leo Februari 01, 2026 imesema "Bodi ya Wakurugenzi ya Simba imesikitishwa na vitendo vya baadhi ya watu kumvamia na kumfanyia fujo Mwenyekiti wa Klabu na Makamu Mwenyekiti wa Bodi, Murtaza Mangungu baada ya mchezo wetu dhidi ya ES Tunis kumalizika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa." "Vitendo hivyo sivyo vya kiungwana, havikubaliki na havitafumbiwa macho, Uongozi wa Klabu unatoa pole kwa Mwenyekiti Mangungu kwa kadhia hiyo, Uongozi wa Klabu umeliandikia Jeshi la Polisi kuchukua hatua za kisheria kwa wote waliohusika katika vurugu hizo au kula njama ili kuwafikisha katika Vyombo vya Sheria, Bodi inasisitiza kuwa haitabariki wala kuvumilia mtu yoyote atakayeharibu taswira ya Klabu kwa namna yoyote." #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
9
3
170
9K
KARIM MOTORS
KARIM MOTORS@Wolfguang·
@Sisimizi3 Next jifunze kudanganya ukitaka kudanganya watu tafuta uongo unaokaribia kwenye ukweli acha usenge mzee ata kama unapush reli tumia akili
Filipino
1
0
3
155
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
𝐍𝐈𝐌𝐄𝐏𝐄𝐍𝐘𝐄𝐙𝐄𝐖𝐀 : Huyu mtoto hapo pembeni anaitwa Daniel Charles Kitima ni mtoto wa Askofu Charles Kitima, ana miaka 10 amezaa na mdada anaitwa Suzana Obedi maarufu kama (Honoritha), mkazi wa Kijichi DSM. 👉 Swali je Canon Law zinaruhusu Askofu kuwa na mtoto.?
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
351
40
123
44K
Tanzania Footballers Abroad 🇹🇿
Nisikilze Uganda watarudi East Africa Kulinda Ziwa Victoria Pamoja na ndugu zao kenya wakati sisi tupo huku moroco tunasaka Ubingwa
Tanzania Footballers Abroad 🇹🇿 tweet media
Filipino
6
31
864
12.6K