Yeromin

6.3K posts

Yeromin banner
Yeromin

Yeromin

@YPKitutuJr

Vector Biologist specializing in Mosquito-Borne Disease ||@SimbaSCTanzania

unknown Katılım Aralık 2010
2K Takip Edilen1.1K Takipçiler
Yeromin
Yeromin@YPKitutuJr·
@TogolaniMavura Hongera Kikore kwa Kazi nzuri pia upande huo..hatukudai
Filipino
0
0
1
21
Ambassador Togolani Mavura
Ambassador Togolani Mavura@TogolaniMavura·
Last day and last hour as Ambassador of the United Republic of Tanzania to the Republic of Korea.
Ambassador Togolani Mavura tweet media
English
81
118
1.3K
55.7K
Yeromin
Yeromin@YPKitutuJr·
@ruhmer_j @YcuL___ Je unafahamu kwamba asilimia kubwa ya wananchi wa TZ bado wanatumia chini ya $2.15 (zaidi ya TSh 5,600) kwa siku? So buku kwao bado ni thamani...
Indonesia
1
0
2
146
R_j🎱
R_j🎱@ruhmer_j·
@YcuL___ Wabongo na vitu vya mteremko 😂😂😂mtu unapoteza masaa matatu kisa buku buku 🤦🏽‍♀️
Indonesia
2
0
7
2.4K
FUNDI JUMA 🇿🇦
FUNDI JUMA 🇿🇦@YcuL___·
Juzi nilikuwa napita mwenge nikaona hili duka watu wanasubiri nje coz ya foleni hawaenei ndani😂 sikuweza ata kuingia coz I was in a rush.
FUNDI JUMA 🇿🇦 tweet media
Indonesia
17
24
419
47.9K
Yeromin
Yeromin@YPKitutuJr·
@JamiiForums Kama wote mna haraka na kutanua kuweka line nne zinazoenda upande mmoja mnataka wengine wapite wapi...?
Indonesia
0
0
0
7
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DAR: Mdau anaeleza licha ya uwepo wa Askari wanaoongoza magari eneo la Masana, Mbezi Beach wakati wa Asubuhi, bado kero ya foleni imeendelea kuwepo kwa kiwango kikubwa, akidai Wanausalama hao wamekuwa wakiruhusu upande mmoja wa Barabara ya Tegeta - Mwenge hata kama hauna magari mengi, huku upande mwingine wakizisubirisha gari kwa dakika 30 au zaidi hali ambayo imekuwa ikiwakera Watu wengi. Fuatilia mjadala jamii.app/FoleniMasana #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #Accountability
Filipino
4
5
43
6.8K
Yeromin
Yeromin@YPKitutuJr·
@swahilitimes 👆Sir, I have a question... au basi nimeelewa!
English
0
0
0
43
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo maalum ya Ubinadamu ya Upasuaji wa Ubongo kutoka Shirikisho la Jumuiya ya Madaktari wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu Tanzania. Rais Samia amekabidhiwa tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika kuimarisha sekta ya afya nchini.
Swahili Times tweet media
Indonesia
83
9
79
20.4K
Yeromin
Yeromin@YPKitutuJr·
Bado tunajenga barabara mijini bila consideration ya waendesha baiskel... why?
Indonesia
0
0
0
16
Yeromin
Yeromin@YPKitutuJr·
@Weoutside0 @FKihamu Udongo wa Arusha ni mfinyanzi hivyo ilibidi kuagiza udongo toka Same..sasa zile trip ndio zimeongeza hiyo asilimia 82%
Indonesia
0
0
4
106
Weoutside
Weoutside@Weoutside0·
@FKihamu Imekuwaje morocco wamejenga viwanja kwa dhamani ya billion 150 na afcon vimetumika whats so special Tanazania kuwa na kiwanja cha billion 300 +
Indonesia
1
1
7
957
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
KM wa Wizara anasema CAF wanataka level 4 kwa ajili ya michuano yao lakini anadai pia Mnunuzi alikuwa mmoja kwasababu ya kukimbizana na muda. Yapi maoni yako?
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
139
15
532
38.3K
Yeromin
Yeromin@YPKitutuJr·
CCBRT ni sehemu ambayo appointment ya muda na walking in havina tofauti... haijalishi hata kama ni private... @CCBRTTanzania
Indonesia
0
0
0
22
Yeromin
Yeromin@YPKitutuJr·
@SkySports Neville is one of the confused pundits.
English
0
0
0
2
Sky Sports
Sky Sports@SkySports·
"Unai Emery is at the level of Manchester United" 👀 Gary Neville looks at whether he would like to see Unai Emery at Old Trafford after Jamie Carragher stated that Manchester United should be going for the Aston Villa boss 🔴
English
215
107
1.6K
717.8K
PhD_Genie
PhD_Genie@PhD_Genie·
Making final adjustments to your paper before submission
English
1
4
38
4.1K
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
07.03.2026. Shule ya Wasichana Barbro, DSM. Mgeni Rasmi Profesa Issa Shivji na mkewe katika mahafali ya 20 ya kidato cha 6. Wahitimu 135 nusu wakisoma kwa ufadhili. Kumshukuru Shivji kwa mchango wake kutetea haki za wanawake nchini na kuendesha kesi ya BAWATA peke yake kwa miaka 11 hadi kupata ushindi, Profesa Tibaijuka, mwanzilishi wa shule ya Barbro alitoa zawadi ya Shs milioni 100 ambazo zitatumika kuunda Shivji Fund huko UTT na mapato yatokanayo yatatumika kuwasomesha wanafunzi wahitaji milele shuleni hapo. Watajulikana kama Shivji Scholars at Barbro Girls. Maombi yanakaribishwa, piga 0686189605.
Anna Tibaijuka tweet media
Indonesia
73
167
944
54.8K
Yeromin retweetledi
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
S I M B A
Jebra Kambole tweet media
Filipino
5
95
765
7.2K
Yeromin retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Tundu Lissu is a hell of a case study. Happy & resolute amidst turbulent times. M/Mungu amjalie umri aone matokeo ya kazi yake. Na mateso aliyopitia akiitafuta Tanzania bora. Free Tundu Lissu Now.
Tito Magoti tweet mediaTito Magoti tweet media
Eesti
7
100
511
44K
Yeromin
Yeromin@YPKitutuJr·
@godbless_lema Kama tulitengeneza wakatoliki feki...hili halishangazi
Indonesia
0
0
1
374
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kinachoogopesha zaidi sio mashahidi wa kubumba ktk kesi ya Mchongo ya Mkti Lissu iliyoko Mahakamani, bali ni uwezo wa Serikali kuwa na aina hii ya mipango ya aibu bila kuona fedheha. Hii inatia hofu zaidi. Inawezekana huko mbele kukafanywa utafiti utakaoonyesha kwamba kulikuwa na wakati sisi wote tulikuwa vichaa, ilipaswa tufungwe pingu na kupewa dawa za usingizi masaa yote, tena Nchi yote , mpaka baba yako. Lakini tuliamka. Tukala. Tukapanga mipango ya Nchi, na kufanya maisha kawaida. Huu utafiti utakuja, hakika. Trust me. AMA hata sisi hatupo hapa Duniani ni just illusion tu ? Na ukute hata hakuna kitu kinaitwa Tanzania ? Inatisha sana.
Indonesia
54
235
1.4K
65.3K
Sky Sports Premier League
Sky Sports Premier League@SkySportsPL·
"It's harsh in my opinion..." 🗣️ Les Ferdinand and Izzy Christensen take a look at Brentford's penalty incident at half-time 🔎
English
181
19
896
6.7M
Yeromin
Yeromin@YPKitutuJr·
@HildaNewton21 Huyu ni ngombe ambaye wazazi waliuza ngombe kupeleka shule! Period
Indonesia
0
0
1
190
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
HATUWEZI KURIDHIANA NA WAUAJI. Mmeuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi, mmeteka na kupoteza mamia ya ndugu zetu, mmewabambika kesi za Uhaini na Ugaidi Wanachama na Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mhe. Lissu Mmeenda Gereza la Ukonga kumwambia Mhe. Lissu kwamba mko tayari kufuta kesi kwa sharti la kwamba akubali kuingia kwenye maridhiano, akawashushua mkaondoka sura zikiwa zimewashuka kwa aibu.😂 Halafu venye hamna akili mkamfuata Mhe. @HecheJohn na ombi hilo hilo la kutaka akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano, mmeona amegoma sasa mmeamua kumtuma Habiba Mchange aje na hii propaganda ya bei rahisi. Yani Nduli Idd Amin Mama amkamate Mhe. Lissu na kumbambika kesi ya Uhaini, akatengeneze mpaka mashaidi wa uwongo halafu lawama mnataka kumpa Mhe. Heche hizi akili au matope? Mmeona kila kona ya Dunia mnayoenda kuomba misaada kwa wahisani mnaangukia pua sasa mnatafuta kila njia ili CHADEMA ikubali kuingia kwenye maridhiano maana mnataka kuitumia CHADEMA kujisafishwa kwenye uso wa Dunia kwasababu ndo Chama pekee chenye Legitimacy. Hii mbinu mliitumia wakati wa Mhe. Mbowe kipindi kile mmempa kesi ya Ugaidi sasa kama mnadhani mnaweza kuitumia wakati huu basi akili zenu wote zitakuwa zimejaa funza.😤 Viongozi wa CHADEMA tulionao sasa ni BENDERA CHUMA, MLINGOTI CHUMA. Nendeni mkaridhiane na Watanganyika zaidi ya elfu kumi ambao mliwauwa Oktoba 29 kisha mkaiba maelfu ya miili yao na kwenda kuizika kama mizoga kwenye makabuli ya halaiki. Jambo la mwisho ambalo mnapaswa kuliweka kwenye akili zenu ni kwamba Damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi mliowaua hazitawaacha salama, hazitanyamaza, zitawalilia nyinyi na vizazi vyenu mpaka siku mnaingia kaburini.
Indonesia
96
100
469
43.2K
Grok
Grok@grok·
@Singanoproperty @munyamambogo The marked area shows a dark, shadowy spot in the tree branches, possibly a bird or small animal perched there. The image resolution is low, so details are unclear. What do you see?
English
1
0
0
279