Your Eagles 🦅

24K posts

Your Eagles 🦅 banner
Your Eagles 🦅

Your Eagles 🦅

@YourEagles

WE WILL NEVER FORGET #MO29, WE WILL NEVER FORGIVE, WE ARE LEGIONS, EXPECT US!

🌍 Katılım Haziran 2021
312 Takip Edilen908 Takipçiler
Your Eagles 🦅 retweetledi
Wealth Hatch🧠📈
Wealth Hatch🧠📈@WealthHatch_·
ONCE YOU GET RICH, UPGRADE THESE 9 THINGS IMMEDIATELY 1. Your Face.
Wealth Hatch🧠📈 tweet media
English
26
173
1.6K
1.1M
Your Eagles 🦅
Your Eagles 🦅@YourEagles·
@BrendaRupia ■ Kuna picha moja iliwahi kuwa kioo cha jamii. Picha hiyo ilimuonyesha jaguar alivyo chafuka na matope huku mdomoni kabeba samaki. So madame Brenda no one give fuck what you unless you offer something on the table.
Filipino
0
0
0
9
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Enzi za serikali halali ya Mwl JKN, kuteuliwa uwaziri zilihitajika sifa haswaa ulizozionyesha katika utendaji kazi na uongozi wako wa awali!. Sasa tupo kwenye enzi za serikali haramu, kigezo kikubwa cha uteuzi ni UCHAWA. Nimeona uteuzi wa mtu aliyesema uchaguzi wa 2025 polisi walikuwa rafiki zetu wakati ndio uchaguzi pekee tulipoteza ndugu zetu wengi haijawahi kutokea tangu taifa letu liundwe. Ina maana hakuitambua hata hotuba ya tume ya jaji Chande iliyoundwa na raisi wake kuwahadaa waTanganyika. Something is wrong somewhere,ebu fikiria kwenye nchi yenye watu 68,000,000 ambao zaidi ya nusu ni Vijana,tena Vijana walioenda shule with degrees and masters mpaka wengine wanaokota makopo na masters zao.Tunaletewa Naibu Waziri mwenye form 4 tu! Sio fair yaani si haki kwa WaTanzania,mimi nilisema zile teuzi zilikuwa na nia ovu na wananchi waliowengi walikubaliana na mimi.@ccm_tanzania tuwakumbushe tu kwamba hii nchi ni yetu sote.Hakuna aliealikwa kwenye hii nchi,we are here by birth right. Tuendelee kukichangia chama chetu ili mapambano ya kutafuta haki yaendelee ndugu zangu namba ni :0744 446969 Jina ni CHADEMA HQ
Brenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet media
Indonesia
17
56
235
20.5K
Your Eagles 🦅 retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Hawa watu wameamua kuingiza nchi hii shimoni, wamekopa matrilioni ya fedha, wao hawatalipa wanasema wewe ulipe, mdogo wako alipe, mwanao alipe." Mhe. Rugemeleza Nshala
Indonesia
2
40
141
2.6K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️HABARI MBAYA‼️ Huyu kijana anaitwa James Temba ni ndugu wa Mwanamziki wa kundi la TMK Wanaume Family wakuitwa Mhe. Temba James Temba alitekwa na watu wasiojulikana Jijini Dar es salaam siku kadhaa zilizopita jana mwili wake umeonekana ukielea mto msimbazi Tabata huku ukiwa hauna kichwa. Huyu Msanii wenu pamoja na wenzake ni Makada wa CCM, tukiwaambia tuungane pamoja kupinga maswala ya Watu kutekwa, kuuwawa na kupotezwa huwa wanajivuta nyuma kwasababu wanadhan kwamba wao na familia zao wapo salama kwasababu wapo upande wa watekaji, leo na yeye limemkuta mtu wa familia yake. Wapendwa hakuna ambae yupo salama ili wote tuwe salama inabidi kila mmoja bila kujali itikadi wala dini, tuungane kupinga vitendo vya Utakaji na yote yanayofanana na haya. Hii nchi ni yetu sote, haiwezekani kikundi cha watu wachache ndo wawe wanaamua nan aishi na nani afe, HAPANA.
Indonesia
60
202
716
45.7K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Unajua hawa wasenge ndo wanafanya upelelezi uwe mgumu sababu ya siasa zao za kisenge kwanza gari lililomteka SIO DFP alafu watekaji mmoja amegundulika na sababu imejulikana si msubiri j3 Polisi wanakuja na tamko mara mask mara nn kumamako Hilda.
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet media
Indonesia
72
12
102
21.8K
Your Eagles 🦅 retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Chadema haiendeshwi na wanachama pekee, Chadema ni Chama cha umma wa watanzania." @jjmnyika
Eesti
6
33
106
1.5K
Your Eagles 🦅 retweetledi
Iran in Russia
Iran in Russia@IranembinRussia·
The situation of the pirate leader and his assistant😁
English
133
1.4K
6.6K
126.9K
Your Eagles 🦅
Your Eagles 🦅@YourEagles·
@Dr_DGwajima unajisikiaje mwananchi wako anatekwa na watu wasio julikana huku mamlaka yako kimya? Mnataka apotezwe nani ili mjitokezeee?
Indonesia
0
0
0
5
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
Tazama bajeti ya haya mataifa Hasimu dhidi ya Bajeti ya Iran. 👉Mareka ina Bajeti ya $ 900.6 Bilioni 👉Israel ina Bajeti ya $ 41.7 Bilioni 👉Saudi Arabia ina Bajeti ya $ 78 Bilion 👉UAE ina bajeti ya ya $ 23.9 Bilioni 👉Qatar Ina bajeti ya ya $9.4 Bilioni 👉Iran ina Bajeti ya $ 7.9 Bilioni 👉Kuweit ina bajeti ya $ 9.4 Bilioni Nchi zote hizi zimepokea kipigo kutoka kwenye taifa lenye bajeti ndogo.
Indonesia
9
3
62
8K
Gwamaka 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗛𝗜
Mkataba wa leo kati Helium one Global Limited na Tanzania juu ya uchimbaji wa Helium gas iliyoko Southern Rukwa (Momba,Ivuna na Itumbula) ni Mkataba TATA na usio na faida kwa Taifa. Sehemu kubwa ya mradi huu uko Mkoani Songwe Wilayani Momba, kipande kingine kipo Kwela.
Filipino
7
23
136
5.7K
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Sisi tuliopata chanjo ya COVID 19, tunaumia sana kuona nyie ambao hamkuchanja mpo hai mpaka leo 😭
Indonesia
31
17
270
13.5K
Your Eagles 🦅 retweetledi
Hopewell Chin’ono
Hopewell Chin’ono@daddyhope·
Madam Dictator. What a useless president. She presided over the killing of thousands of people within a week to cling to power during a rigged election. A truly nasty human being whose actions reflect contempt for life and democracy.
The Economist@TheEconomist

Opposition politicians are behind bars. The media remain muzzled. Outsiders are unlikely to help. A pall of fear hangs over Tanzania. Samia Suluhu Hassan is taking her country down a ruinous road econ.st/42GOzD3 Photo: Xinhua News Agency/Eyevine

English
16
101
287
21.4K
Your Eagles 🦅
Your Eagles 🦅@YourEagles·
@Maestrowafact ■ Ila hizi ubongo yanatufanya kuonekana kuwa vicheko huko duniani. Just imagine mtu amekutukana halafu unamteka then unamuua(una mnyang'anya uhai kisa amekutukana). Fuck you guys.
Filipino
1
0
0
42
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Hata kama unatumia account feki huko TikTok kutukana wenye mamlaka yao, nakukumbusha hivi Vyombo vinaweza kupata kibali cha kisheria na kampuni mf ya TikTok ikatoa IP Address iliyotumika kupandisha video za kushambulia wazito. Na baada ya hapo utasakwa na utadakwa kila la heri
Indonesia
29
23
198
17.8K
Your Eagles 🦅 retweetledi
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Huyu pimbi kinachomfanya awe mropokaji ni kwasababu ya hasira za wanae kunyimwa uraia pacha... Alikua anajifanya ni mzalendo wa tz sijui nini na nini kumbe alikua akitaka kupitia hivyo wanae wapate uraia wa Tanzania huku akiendelea kua raia wa Uingereza kinyume cha sheria za Tanzania ambazo kama una apply uraia wa nchi hii lazma uukane uraia wa nchi yako. Jambo ambalo hakulikubali akadhani sababu ya ushawishi angefanikiwa lakini aligonga mwamba so hivi sasa amepata angle ya mandela pori (CHIBA) ndio anapoza machungu yake.
Indonesia
51
30
60
6.1K
Your Eagles 🦅 retweetledi
AGRONOMME 🇷🇼
AGRONOMME 🇷🇼@Agronomme_·
How Papaya Trees Become Fabric _ Sustainable Clothing From Agricultural Waste (Full Process)
English
15
202
610
40.9K
Your Eagles 🦅 retweetledi
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Jenerali Assimi Goïta ambaye ni Kiongozi wa Mali amejiingiza mwenyewe mstari wa mbele kusimamia operesheni maalum zinazoendelea kwa sasa nchini mali. Wakoloni wanadhani jamaa ni mabwanyenye,Jamaa ni masoja wanazama front wenyewe. #BilaGanzi
Jack upepo tweet media
Indonesia
9
11
287
14.6K
Your Eagles 🦅
Your Eagles 🦅@YourEagles·
■ Wow! Kwa hili unahitaji hongera nyingi sana. Ukweli ukweli mtupu.
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLakihaya Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa! Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho… Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo, ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana. Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi. Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha. Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike? Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara. Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔 Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk. Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu. Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole. Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari. Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza. KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja. Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha. Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati. Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi. Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari! waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea. Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari. Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting. Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯 Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯 Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯

Filipino
1
1
1
31
Your Eagles 🦅 retweetledi
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Indonesia
112
577
2.2K
39.6K
Your Eagles 🦅 retweetledi
mwananchidr
mwananchidr@mwananchidr·
CCM NYIE NI WATU WABAYA SANA MNAKUJA HAPA KUDANGANYA WATANZANIA
Indonesia
1
40
153
7.2K