Tajiri wa Kitaa

6.2K posts

Tajiri wa Kitaa banner
Tajiri wa Kitaa

Tajiri wa Kitaa

@_Tajiri__

Katılım Eylül 2017
779 Takip Edilen194 Takipçiler
toshine🇨🇦
toshine🇨🇦@toshine4u·
Kindly tell him one word before he lands 😂.
toshine🇨🇦 tweet media
English
1.1K
189
1.2K
102.2K
Tajiri wa Kitaa
Tajiri wa Kitaa@_Tajiri__·
@francismtey Je ni kweli NASA wamefunga comments section kwenye page yao? Unaonekana msenge janja
Filipino
1
0
0
47
Tajiri wa Kitaa
Tajiri wa Kitaa@_Tajiri__·
@Vitabu247 Umeshakula makande umeshiba sasa unatunishiana misuli na NASA Ili Hali hata mlima Kilimanjaro uliwahi kuuona enzi hizo kwenye Atlas. Bure kabisa
Filipino
1
0
3
478
Learners Bookshop
Learners Bookshop@Vitabu247·
"Kila baada ya dakika 45 jua lilikuwa linachomoza tukiwa kule angani" -Wana anga wa Nasa. Hii inamanisha nini wataalamu wa anga wa Tanzania ?
Learners Bookshop tweet mediaLearners Bookshop tweet media
Indonesia
13
4
73
7K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Hii dhambi Big hata Shetani hawezi kumtetea.😂
The mandevu tweet media
Indonesia
69
132
1.2K
36.3K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Oyaaaaaaaa sijui kuna nini leo? leo moja haikai mbili haikai, naona shangwe tu 😂😂😂😂😂😂
Jebra Kambole tweet media
Suomi
38
146
903
11.4K
Mwananchi Newspapers
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews·
Ukiacha nguvu, fursa, heshima na wingi wa marafiki unaokuwa nao ukiwa na cheo, waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla, amesema mambo huwa kinyume chake mamlaka yanapokutoka, akisimulia hata uliowaona wa karibu wamepotea. Katika simulizi yake aliyoihusianisha na maisha yake ya sasa akiwa si waziri wala mbunge, amesema hata huduma ambazo awali alizipata kwa rahisi na haraka, kwa sasa zinahusisha milolongo na nyingine wahusika hawapokei simu wala kujibu baruapepe. #mwananchiupdates #tunawezeshataifa
Indonesia
77
44
254
36.8K
hassan kibiki 🇹🇿
hassan kibiki 🇹🇿@kibiki001·
Wale Wanaharakati uchwara waliokuwa wanasema hawaitambui serikali iliyopo madarakani hatimae sasa wanaishukuru mahakama kwa kuwaruhusu kufanya shughuli zao Tuliwaambia Muda mrefu mtakuja Mezani wenyewe.
hassan kibiki 🇹🇿 tweet mediahassan kibiki 🇹🇿 tweet mediahassan kibiki 🇹🇿 tweet media
Indonesia
8
4
7
320
Democracy
Democracy@democracy_watu·
@godbless_lema Kuga kenge kama @LembrusMchome na genge lao la wezi wa mali za chama walimlaumu saba Jebra kujitoa wakaanza kusema anatumiwa na wanaharakati kuharibu chama. Leo ndo wanajua kuwa wao ndo hawakuwa na akili
Indonesia
2
1
26
3.8K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Asante Wakili Jebra. Uamuzi wako wa siku ile wa kujiondoa kuendelea kusikiliza kesi, baada ya Jaji Mwanga kupuuza sababu zako za kuomba hairisho la muda mfupi ili kuhudhuria mazishi, haukuwa wa kawaida. Ilikuwa ni mpango wa Mungu. Kwani usingechukua hatua hiyo, ungehalalisha zuio batili na leo lingeonekana halali. God bless you Bro!!
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
43
285
1.8K
42.8K
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
Sasa CHADEMA muache “mawenge” muwe na Shukrani kwa Rais wetu Dkt @SuluhuSamia kwa wema wake lukuki kwenu na muwe watiifu kwa dola inayoongoza nchi, otherwise mkiendekeza “kilomolomo” mtarudi kifungoni si punde hadi 2030.
Suphian Juma Nkuwi tweet media
Indonesia
167
9
61
7.9K
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Bavicha wakiendelea na usafi katika Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar es salaam.
Indonesia
8
87
483
8.1K