



Brian Robert Mushi
99 posts

@__brianroberts
Diplomat | Youth in Investment Advocate | Communications Expert





















Siku ya 1 Moshi! 🏔️ Mwakilishi wetu wa EU Youth Sounding Board, @__brianroberts, yupo Moshi mkoani Kilimanjaro pamoja na mabalozi 12 wa Umoja wa Ulaya kwa ziara ya siku 3, akitembelea wakulima, wajasiriamali wa kilimo, na wabunifu wa hapa nchini. #Shirikisha #Wezesha #Unganisha

Timu Ulaya iko Moshi! 🌍 Mabalozi 12 wa Umoja wa Ulaya watakuwa Kilimanjaro tarehe 17 – 19 Septemba, wakikutana na wakulima, wavumbuzi na biashara za kilimo, kusikiliza, kujifunza na kuona mchango wa kilimo kwa mustakabali wa Tanzania. 🇹🇿🇪🇺 #TimuUlayaMjiniMoshi































And I had the honor of taking the sweetest portrait with H.E. Christine Grau, EU Ambassador to Tanzania @EUinTZ . A brilliant and inspiring leader, truly committed to youth engagement, cooperation, & democratic values across the region. #EUinTanzania #Leadership #Inspiration





