Wakale🗿
284 posts

Wakale🗿
@_am_mary
📜 Dark history 🪬| True crime⚔️
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2022
34 Takip Edilen99 Takipçiler
Wakale🗿 retweetledi
Wakale🗿 retweetledi

@Otenga4Otenga @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ we are taking this to the the trash can!!
English

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ She should get insurance for annual dental cleaning rather than exposing teeth like roasted corn. Most airplane flying locally in Tz don't have internal restroom or toilets because they fly short distances, they should improve.
English

@mkatamuda @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ I'm working from home..so yes...we are having fun learning!!
English

@_am_mary @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Then you will be her teacher for life na labda kama huna shughuli nyingine za kufanya pia... Kuna vitu wenzake wanaweza kuwa wanavijua kuliko hata wewe mzazi wake, wanafunzi hawafanyi discussion za classical issues tu, Wana debates nyingi za wao Kwa wao
Indonesia

This is what I'm planning to do for my kids...Latto this is one best news from your page !!
Japo kuna watu wanaona huu ni upuuzi ...wafanye tafiti za homeschooling kabla ya ku-judge!!
Latto 𝕏@Rydx_017
Jesse kasema yeye mwanae akifikisha umri wa Kusoma hatampeleka shule, Anasema mifumo ya Elimu ni mibaya.. Msikilize... Video kwa Comments 👇
English

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Leo umepost kitu cha maana Sana
Mwamba kaongea point mi mwenyewe wanangu lazima wawe home schooled shule ni system ya kuzalisha modern day slaves ndomana wazungu wako busy kujifanya wawekezaji Kenya,Tz,ug meanwhile wasomi wetu wanaambulia ajira ambazo zinawafanya kua watumwa..
Indonesia

@hadzabeguy @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ me nmeshaanza ....but shhhh!!
English

@emma_mvrs @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ wazazi wa hao wasukuma wapumbavu wamesomaa??? he knows what he's doing bhn.
English

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Mitoto ya kisukuma haiendi shule imekuwa ya kipumbavu sana shule ni muhimu bhana angalia wasukuma utanielewa
Filipino

@mkatamuda @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ kuna njia nyingi za kum-expose mtoto na peers wake....still not a reason to stop homeschooling
English

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Lengo la shule kupandikiza mental facilities pia, sio ajira tu, ila pia unampa nafasi mtoto ya kuinteract na watoto wenzake, kutega teta umbea na mambo mengine, ni stage ya muhimu Kwa makuziii
Indonesia
Wakale🗿 retweetledi
Wakale🗿 retweetledi
Wakale🗿 retweetledi
Wakale🗿 retweetledi

WAFAHAMU WATUMWA WAASI WALIOWAUA WAZUNGU ZAIDI YA 20.
NINI KILIWAKUTA BAADA YA UASI? ....
𝚃𝙷𝙴 𝚂𝚃𝙾𝙽𝙾 𝚁𝙴𝙱𝙴𝙻𝙻𝙸𝙾𝙽
UZI👇🏼
Ilikuwa Septemba 9, 1739, huko South Carolina, Marekani, wakati wa ukoloni wa Kiingereza. Watu weusi wengi walikuwa watumwa, wakiishi maisha ya mateso chini ya wamiliki wa shamba wa kizungu. Walifanya kazi katika mashamba ya mpunga na pamba bila malipo, wakiadhibiwa kwa viboko na minyororo. Lakini katika eneo la Stono, karibu na mto Stono, kundi la watumwa weusi wengi waliotoka Angola na Kongo lilianza kupanga uasi wa ajabu.
Kabla ya kushuka nayo nomba repost na like

Indonesia
Wakale🗿 retweetledi


@Lively_ish @Rydx_017 isijekuwa kama autumn in my heart...nililia series nzima, for what???..najiuliza mpaka leo.
Indonesia

Hii isije kugeuka kama ile ishu ya India na Nepal mwanzoni mwa miaka ya 1900 , champwat tiger aliua watu 436 kwa bahati nzuri aliuliwa a hunter Jim Corbet,
la sivyo ingekua noma sana!
Latto 𝕏@Rydx_017
Video hii imeonyesha, Simba akiingia ndani na kumfukuza Mbwa, katika Nyumba iliyopo Tuala, Rongai- Kenya 🇰🇪 jana Usiku wa saa 8 Angalia ilivyokuwa.. Video kwa Comments 👇
Indonesia











