abefesto
161 posts


@INFLUENCERjr Nilikuwa na mentality ya kuwa maisha ni dar tu. Nilivyo ajiriwa mshahara ukawa unaishia barabarani sikuweza kuwa na akiba..nilipo hamishiwa mikoani nilijihisi nimeharibikiwa na maisha kwa kuwa nje ya dar..ila kwa sasa ni historia nimewekaza mikoani na sasa nawekeza dar
Filipino

@NdaluJames01 @Iamfelixtz Hahahaa..usicho kijua kuna mechi hapo pia na jktiii ya kombe ya FA...lazima papandwe miiba na mbigiri za kutosha...ili jpl na simba uto afe hapo na pia FA na jktiii itafanyika hapo pia ...collabo ya kupanda mbigiri hiyo ...
Filipino

@Iamfelixtz Uwanja upo chini ya udhibiti wa Simba, JKT aende zake huko, tunaset mitambo gongowazi afe
Filipino

@tagatojtagato Yaelekea ww ni mgeni...kombe la FA...huwa inapigwa viwanja vya mikoani...mfano derby ya simba na yanga FA 2021 ilipigwa lake tanganyika kigoma.....ww utakuwa ni mgeni labda....
Filipino

@DeSmonD1030 @YoungAfricansSC Kumbe na ww umemshtukia ee..maana hii post imekaa ki binafsi na sio kitaasisi
Eesti

🚨 Meanwhile in South Africa…
Mama Joy, the country’s number one fan, has reportedly been told there is no funding for her trip to the World Cup. 😳
Shocking scenes as DR Congo reward their own superfan, while South Africa’s iconic supporter is left stranded.
Football really shows you the contrasts. 💔
#WorldCup2026
#AfricanFootball

English

@mwananchi_ts @Fumbo_khan @Omarymsomal Hiyo ni amptude test...inapima general knowledge ya nn kimebaki kichwani baada ya masomo yako...inaangalia intensity ya memori yako
Indonesia

@Fumbo_khan @Omarymsomal Ndio kuweka maswali zaidi ya 10 ya hesabu na compyuta kwnyw mtihani wa kiswahili wenye maswali 50?
Indonesia

@MNgaleha @Elparton112 Wakati wanachanga sadaka zao kujenga hospitali ww ukikuwa unakula piza
Filipino

@Elparton112 Huo ukabila ulianza toka pale palipowekwa jiwe la msingi na mbaya zaidi pana udini uliokomaa kama magamba ngozi ya Mamba, ukitaka kujua Hilo andika majina ya wakuu wa vitengo vyote Mie nimekaa paleee
Indonesia

@JaphetChaw94451 @Iamfelixtz Kwahiyo walimalizia mpira kama show time au??ilistahili refa amalize mpira walivyotoka uwanjani...kama ni sheria nilitegemea refa afungiwe kwa kuwa ruhusu kurudi uwanjani na kuendelea na mpira..ni uayawani kuruhusu waendelee na wakashinda na wakakabidhiwa kombe halafy unasema??
Filipino

@Iamfelixtz Muhmu kufatwa sheria, kwa nn Sénégal walitoa team uwanja, alafu wanakaludi tna uwanjani,ifke time tusiishi kw mazoea kufate sheria na kanuni
Suomi

@shibobo___ @shaffihdauda1 Kwani ukikubali kiwango kimeshuka utapungikiwa nini??unasajili wachezaji 30, halafu kikosi kinachocheza msimu mzima ni wale wale,kama wamechoka si wacheze hao wengine?manara aliwaambia mnasajili hovyo hovyo hadi wengine wanaishia kukaa jukwaani kama watazamaji...
Indonesia

@shaffihdauda1 Chances created 5 ndani ya box
~Mwanengo 2 moja goal ikawa offside
~Okello ikala mwamba
~Muda kapaisha
~Mwenda kapiga nje
Hii ina impact kwamba team inafika although wachezaji wamechoka sana
Indonesia

@Therealngassa Soma BA kiswahili huko hakuna mambo ya vyeti vya leseni....we choose with respect to satisfaction or preference...and choices are guided by transaction costs ..if the transaction costs are high for pharmacy ,choose non pharmacy program
English

@pastajoshuatz Hii ni hoja ya,mtu alie soma socialogy au BA kiswahili..ila kwa economist and related coures they have the reasons bebind this buying habits
English

@kalegamyeh @MarekaMalili In Africa there is no hurry 😂,ball down Cha msingi mtu kama huja jipata,hutakiwi kuwa na relationships au kuzaliana,ku prevent further propagation of poverty
Indonesia

@fumbokhanJr Wambie wasisahau na life skills zingine maisha ni zaidi ya GPA kwa dunia ya sasa
Indonesia

@vistovic17 Si mlimsajili kuwawahi simba..maana simba walikuwa wanasubiria mkata wake uishe wamchukue free mwezi wa 6...ila kwakuwa injinia huwa anavizia simba wanamtaka nani ,kisha yeye ruke nae ndio madhara yake..usajili mkubwa aliingia,mtego huo...na januari hii kaingia pia
Filipino

@anordezekia7 Mjini kuna baba mwenye nyumba ila,hutosikia baba mwenye gari..heshima ya mwanaume ipo kwenye nyumba
Filipino

@Willie_Madisha Hoja ni hii kwwnini Elias u TO wake umegusa wengi? Inamaanisha u TO wake umehusika moja kwa moja kwa jamii...haukuwa u TO wa kwenye vyeti vikaishia kabatini...wapo wanaupata u TO lakini hauna reflectio kwa jamii haswa positive impact kama wa Elias
Indonesia



























