SIMA

8.1K posts

SIMA banner
SIMA

SIMA

@abelsima45

Lawyer in making. LEGUM BACCALAUREUS 4. music is my therapy. I weep for the souls we lost in #MO29

(UK)Ukinga ndo Kwetu Katılım Mayıs 2024
1.6K Takip Edilen1.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
SIMA
SIMA@abelsima45·
Ukifikiria kukata tamaa, jiulize kwanza kwanini ulianza.
Indonesia
3
18
58
3.6K
SIMA retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Samia alimuuwa huyu mtoto akijilazimisha kuwa rais. A heartless criminal we’ve ever seen. RIP, son!
Tito Magoti tweet media
Filipino
10
76
287
3K
SIMA
SIMA@abelsima45·
@TichaMandevu Karibu na ndaga kiongozi kiazi huwa kinakubali sana
Indonesia
0
0
0
3
SIMA retweetledi
PaYRoLL🗽
PaYRoLL🗽@CoolestDudeOnX·
Appreciation tweet kwa majasiri wote wanaoendelea kuipiga spana Serikali. Padre Kitima na Advocate Mwabukusi wanaongoza jopo hili. TANZANIA NI YETU SOTE💚💛🖤💛💙
Indonesia
2
3
6
41
SIMA
SIMA@abelsima45·
Tuamke tukapambane tena ili watoto wetu wasije kututoa kafara.
Indonesia
1
4
5
65
SIMA retweetledi
Abdul Ally
Abdul Ally@AbdulAlly253493·
❤❤❤💞💞💯💯💯
QME
7
13
47
6.8K
SIMA
SIMA@abelsima45·
@AbdulAlly253493 Not necessarily a diploma or a degree but atleast form four somehow ita saound good lakini when it comes kwa waziri basi awe mtaalamu kweli hiyo wizara husika sio waziri wa afya hajui ata diagnosis ya mafua
Indonesia
0
0
0
2
Abdul Ally
Abdul Ally@AbdulAlly253493·
@abelsima45 Zamani: ilikuwa necessary sana Sasa: bado ina maana, lakini inaweza kuwa too basic So badala ya kuitupa 🚮, swali la maana ni: ipelekewe level gani ili iendane na dunia ya leo? Wewe unaona iwe mpaka degree au hata diploma tu inatosha kwa mbunge? 🤔
Indonesia
0
0
0
13
SIMA
SIMA@abelsima45·
Hii ibara ya mbunge awe anajua kusoma na kuandika is old as it's. Kwanza iliwekwa kipindi ambacho kweli kumpata millenial anayejua kusoma na kuandika ni kamzozo lakini sahizi wasomi ni wengi, hii ibara iondolewe tu.🚮
Indonesia
2
5
10
253
SIMA retweetledi
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Biashara haisomewi inafanywa
Indonesia
7
14
45
411
SIMA retweetledi
Arsenal bingwa🦅
Arsenal bingwa🦅@Luka10Singanho·
Watu wa umu waungwana mno , aka kautaratibu ka kuamshana na kujuliana Hali daily huwezi kakuta social media zingine. X ni watu na watu ni x mbarikiwe sana🙌🙏
Indonesia
1
3
7
37
SIMA retweetledi
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
Saa moja na nusu hii jobless usingiz unakata, sasa niende wap ?
Filipino
17
25
75
1.1K
SIMA retweetledi
Teacher On Duty (T.O.D)
Teacher On Duty (T.O.D)@Official_T_O_D·
Jenga mahusiano mazuri na ardhi wekeza kwenye Kilimo au Ufugaji Umaskini huo siyo kipaji, Good morning Stuff 👋
Filipino
11
12
29
239
East Music 🎶
East Music 🎶@Mr_Mawazo·
@abelsima45 Hiyo ni kweli mkuu game linachezwa na wachache wanaofaidika kipaji tyu hakitoshi kama hutokua upande wao.
Filipino
1
0
2
6
SIMA retweetledi
East Music 🎶
East Music 🎶@Mr_Mawazo·
Au waganga wao waliokoka 🧵 Sanaa ya muziki wa bongo fleva imepita vijana wenye vipaji vya hali ya juu na wengi wao walitabiriwa watakuja kuufikisha muziki wetu mbali, lakini ndoto zao ziliishia njiani kwa sababu zisizoeleweka Je ni kina nani hao ma wako wapi sasahivi👇 (1/6)
Indonesia
1
8
24
660
SIMA retweetledi
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Sometimes mlipie tu AI premium basi huyo mshkaji wako kila siku unamsumbua na maswali technical Mwambie bro Laki hii hapa lipia gpt premium sijui google AI, Claude takataka gani. Mwaka mzima.
Indonesia
3
10
62
1.3K
SIMA
SIMA@abelsima45·
@Mr_Mawazo Ni kama wasanii wabongo wanaenda mbele then wanarudi nyuma, yaani leo anatoboa kesho unaona kama amekuwa underground tena anayejitafta kurudi tena sokoni.
Indonesia
1
0
1
29
East Music 🎶
East Music 🎶@Mr_Mawazo·
Hao ni baadhi ila wapo wengi waliotabiriwa makubwa na mashabiki wa muziki wa bongo fleva lakini mwisho wa siku wakapotea.. Je ni sababu zipi zilizowafanya wapotee hii imebaki kuwa siri. Je ni nani mwingine unazani alitabiriwa makubwa sana na hatimae kapotea kwenye game Mwisho.
Filipino
2
1
4
77
SIMA retweetledi
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Usiishi na watu kama vile hutowahitaji tena,maisha ni fumbo. GOOD MORNING ❣🥰
Eesti
23
29
51
523
SIMA retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Watu wanaojidai kushangazwa/kukasirishwa na LISSU kuzungumza Au kuweka maridhiano na Serikali Regardless to whether akiwa Gerezani Au Huru ni WANAFIKI na WABINAFSI MNO! Dunia KWA Sasa imebadilika saana ni KATILI MNo … International Laws zipo kwenye karatasi tu ila Hazifatwi… Kanuni ni ile ile ONLY THE STRONG WILL SURVIVE! Iran,MOJTABA khamenei -Marekani /Israel-Wameua BABAKE MZAZI,MKE wake na Familia yake…wamelipua Raia wakiwemo wanafunzi 168… wamelipua miundo mbinu nk… Ila BADO wanaenda PAKISTAN kuzungumza, Kuona jinsi gani watayamaliza maisha yaendelee… Alafu wewe unajidai Hutaki Lissu azungumze- Ningewaelewa Kama na nyie mliopo URAIANI,mngegoma kuzungumza na serikali Au kuifanyia kazi… Ila wewe ni mfanyabiashara- BADO unaendelea na shughuli zako na unalipa Kodi serikali bila shida… mlioajiriwa serikalini mnaenda kazini… kila kitu kipo Normal Alafu unaendelea kufurahia mwingine yupo Gerezani! Yaani mtu mmoja akupiganie wewe… Kama kweli mngekuwa na hio NIA… Watu wote mngegoma hamfanyi chochote hadi LISSU Aachiwe Huru… Walimu msiende shuleni, Madaktari msiende Hospitalini… mlioajiriwa msiende kazini… Wafanyabiashara Msiagize mizigo… mathalan, waagiza mafuta wagome kuagiza hadi lissu aachiwe huru nk. UCHUMI usimame… Wiki moja tu- LISSU angekuwa URAIANI… Ila nyie mnaendelea na your normal duties- mmeshaHALALISHA serikali mnayoiita ni HARAM… Alafu LISSU awapiganie😅 mnashangaza! Kama kweli unampenda LISSU hauwezi furahia akiendelea kukaaa KOROKORONI… sio Sawa kwanza Kwa waliomweka in the first place Ila DUNIA HAIJALI… Hakuna HAKI kwenye DUNIA KATILI… Kimsingi tayari- RAIA tumesha MSALITI TUNDU… maamuzi yoyote ambayo LISSU atayachukua… ni HALALI na HATUMDAI Kwa chochote Kile…
Indonesia
81
75
320
10.6K
SIMA retweetledi
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Ahsante Mungu kwa siku nyingine tena, leo Tukumbushe kuwa "kwenye harakati za kutafuta maisha Tusikusahau maana, Hakika kufa tutakufa"na hatujui saa wala dakika.. Good morning🖐
Indonesia
68
84
128
1.6K