afanderichadi

7.9K posts

afanderichadi banner
afanderichadi

afanderichadi

@afanderichadi

afanderichadi

lilongwe Katılım Eylül 2023
1.3K Takip Edilen568 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
afanderichadi
afanderichadi@afanderichadi·
@Sativa255 Maandamano ya kudai ndugu zetu waliopotea
Indonesia
1
2
76
6.3K
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Wakati ambao sisi tunaomboleza vifo vya ndugu zetu ninyi mlikuwa katika sherehe huku mkijisifu kwa mauaji mliyofanya kwa kauli zenye kuchoma mioyo ya Watanzania " nguvu iliyotumika ni sahihi" mkatoa kejeli kuwa waliouawa ni vijana kutoka nchi jirani. Hii chuki imeanzishwa nanyi.
Felius Festo tweet media
Indonesia
12
17
92
3.3K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete amesema marehemu William Lukuvi alipenda kufanya kazi na kujitolea kwa ajili ya nchi.
Indonesia
29
6
80
9.5K
BΞBΞRU
BΞBΞRU@incrediboss·
Hivi Kwani Madenge aliwakosea Nini? 🤣🤣🤣
Filipino
30
14
239
26K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kwamba Mwigulu anaumizwa sana Watanzania kufurahia vifo vya Viongozi haram ila hakuumizwa kabisa na mauaji ya Oktoba 29 ambapo Watanganyika zaidi ya elfu kumi waliuwawa kwa risasi..? Halafu nakumbuka baada ya Idd Amin Mama kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi kwa risasi, Mwigulu kwenye mkutano wake na Waandishi Wahariri aliulizwa swali nan ambae alitoa order ya shoot kill na sababu ilikuwa nini? Mwigulu akajibu kwamba, baada ya watu kuandamana mlitaka vyombo vya ulinzi na usalama wafanye nini..? Kwa lugha nyepsi alisema Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi walistahili kuuwawa. Ni hivi hii sio kwa Lukuvi tu hata akifa yeye tutasherekea, tutaruka na kuimba nyimbo za kumshukuru Mungu maana yeye na wenzake ni wauaji, wameua Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi, wakaiba maelfu ya miili ya ndugu zetu na kwenda kuizika kama mizoga kwenye makaburi ya Halaiki. Kuna maelfu ya ndugu zetu wamepata ulemavu wa kudumu, kuna maelfu ya ndugu zetu mpaka leo bado wanatibiwa na kuuguza majeraha ya risasi. Kiukweli hatutasahu ukatili waliotutende Oktoba 29.🥹 NB. Natambua kwamba binadamu wote njia yetu ni moja ndo maana binafsi siwezi kumwaga damu ya mtu, hata nikiwa na madaraka siwezi kuteka wala kupoteza binadamu yeyote maana natambua kwamba mwenye jukumu la kutoa/kuchukua uhai ni Mungu pekee.
Indonesia
28
61
263
11.7K
Dr Lwaitama
Dr Lwaitama@lwaitama1·
Jamaa wameshasahau walivyouvaa umungu na kuuwa watanzania, leo watu wanafurahi mungu watu kufa wanaanza kulalamika.
Indonesia
14
38
199
10.6K
Eddo Lalika
Eddo Lalika@EddoLalika·
MAMLAKA: Kiongozi wenu anaumwa mahututi WANANCHI: Baba tutashukuru kwa hicho kidogo 😅😅😅
Eddo Lalika tweet media
Filipino
20
59
685
15.6K
afanderichadi retweetledi
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
No future for Tanzania with Samia Suluhu hassani Repost 340
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
English
38
188
602
6.3K
Ms konpa💃
Ms konpa💃@Nurjan_seyd·
Kuanzia usiku kaeni karibu na millard ayo
Indonesia
22
21
265
21.1K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Spika wa Bunge Mstaafu, Dkt. Tulia Ackson amesema marehemu William Lukuvi hakuwa mchoyo wa maarifa, wabunge walipata maarifa mbalimbali kutoka kwake ikiwemo namna ya kufanya siasa safi na namna ya kutokuwa mwizi.
Indonesia
15
2
52
4.5K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Makamu wa Rais mstaafu, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewaeleza familia ya marehemu na wafiwa kwamba wasife moyo licha ya taarifa nyingi zinazozunguka mitandaoni. Ametoa kauli hiyo katika viwanja vya bunge jijini Dodoma wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, uratibu na wenye ulemavu), na Mbunge wa Isimani William Lukuvi. “Najua yanasemwa mengi, na bahati mbaya siku hizi mitandao hatuitumii vizuri, kwahiyo naomba msife moyo, Yesu Kristo hatawaacha kamwe.”
Indonesia
30
5
71
7.7K
afanderichadi
afanderichadi@afanderichadi·
@AmaniIssa179340 @EduTalkTz Aliulizwa na tomaso yupo wapi baba ako akajibu ukiniona mimi umemuona baba mm na baba tu umoja baba yu ndani yangu na mm ndani yake kiufup baba ni mimi
Filipino
0
0
0
7
afanderichadi
afanderichadi@afanderichadi·
@EduTalkTz Mungu akasema hakuna wa kuilima aridhi ndipo akamuchukua Adam kutoka kwa roho akamuweka kwa mwili uu wenye tunao na sisi
Indonesia
0
0
0
16
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kama mimi ni sura na mfano wa Mungu, maana yake ni kwamba upumbavu wangu ni sehemu ya upumbavu wa Mungu, vivyo hivyo kwa vingine vyote. Ukinitukana umemtukana Mungu; ukinikasirikia umemkasirikia Mungu; ukinichukia umemchukia Mungu; na ukiniua moyoni umemuua Mungu. 😎💪
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
27
7
29
1.8K
afanderichadi
afanderichadi@afanderichadi·
@EduTalkTz Mungu hayupo kama sisi ni hivi mtu wa kwanza ndiye aLikuwa kama Mungu,maana mtu uyo alikuwa Roho na Mungu ni roho,ndipo Mungu akaumba mtu wa mavumbi ya aridhi simaanish aliumba wawili tofauti bali yule Roho ndiy aliweka kwenye mavumbi yaan Adam wa kale alikuwa roho
Indonesia
0
0
0
26
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: : CCM HAIBEBWI, INAFANIKIWA KWA UKUBWA WAKE NA IMANI YA WANANCHI - WASIRA Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) Bara, Stephen Wasira amesema Chama kinapata maendeleo kutokana na ukubwa wake, kusimamia, ahadi na imani kubwa ya wananchi kwa Chama hicho. Wasira ameyasema hayo leo Machi 26, 2026 alipozungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la ofisi za chama hicho mkoani wa Geita ambalo ujenzi wake unatarajiwa kutumia sh bilioni 1.5 “Tulipokuwa tunakuja mtu mmoja akanipa simu yake nimsikilize mkubwa mmoja wala sitaki kumtaja jina, anadai CCM ni Chama kinabebwa na serikali, sasa ningemwalika hapa aone tumejenga hapa atwambie kasma namba ngapi imeleta pesa Geta. “Unajua ukikosa la kusema na mdomo unao unaweza kusema chochote kwani usiposema chochote mdomo utakosa kazi utakuwa unakula tu bila kusema na mdomo una kazi ya kula na kusema" - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira.
MwanzoTvPlus tweet media
Filipino
24
2
17
6.1K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba azungumzia kifo cha Lukuvi, 'tumekutwa na jambo zito, gumu kulipokea'
Suomi
6
2
10
2.4K
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Furaha ya wananchi wamuibua bahamedi wa sinza.
Indonesia
70
27
334
32K