Agnes Prudence retweetledi
Agnes Prudence
15.4K posts

Agnes Prudence
@agnes_prudence
Dreamer
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2019
863 Takip Edilen6K Takipçiler
Agnes Prudence retweetledi

Jipatie Kitoweo safi
Kuku wa Kienyeji pure kabisa kutoka Singida
Wapo wa 27,000/= na 35,000/=
Tunakuchinjia na kunyonyoa bure kabisa.
Tunapatikana Kiluvya
Delivery ipo ndani ya DSM kwa gharama nafuu
Call/Whatsapp: 0623 374 863
#kukuwakienyeji




Filipino
Agnes Prudence retweetledi
Agnes Prudence retweetledi

0712867220
Salama Orphanage Center.
Ipo Bunju Sokoni.
Naifahamu,huwa nahihudumia na ina uhitaji.
Namba ya msimamizi hiyo, naweza kukupeleka pia ukitaka kwa ushahidi.
MASERATI🐍❤️@mchumimrembo
Naombeni recommendations za orphanage for a visit hapa dar
Indonesia
Agnes Prudence retweetledi

Unadhani ni maeneo gani yana nafasi kubwa zaidi kwa wanawake kuchochea maendeleo ya jamii kwa sasa?
#MwanamkeNiKiongozi
@TAMWA_Zanzibar
Filipino
Agnes Prudence retweetledi

Sisi #BajabirLogistics tunasafirisha mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa yote Tanzania.
Ofisi zetu zipo 📍Kinondoni Road.
☎️ 0672 808 100 ndio namba ya mawasiliano.




Filipino
Agnes Prudence retweetledi
Agnes Prudence retweetledi

Mteja ambaye umenunua mizigo Kariakoo.
#BajabirLogistics inasafirisha mizigo kama hii kukufikishia mkoa/destination yako.
☎️0672 808 100




Indonesia
Agnes Prudence retweetledi
Agnes Prudence retweetledi

Hii Space ya leo iko na madini back to back 🤗🤌🏽
#ElimikaWikiendi
Filipino
Agnes Prudence retweetledi

Kwa miaka 5 Elimika Wikiendi tutajikita kutoa taarifa na elimu kwenye masuala ya
1. Afya ya uzazi
2. Ukatili wa Kijinsia
Tunaamini vijana wakipata taarifa sahihi watafanya maamuzi mazuri kwa mustakabali wa maisha yao.
#ElimikaWikiendi


Indonesia
Agnes Prudence retweetledi

Tunajua mna machimbo yenu ya kuanua mbili tatu za kupendeza, Ila tuongeze na chimbo la mwanetu @Bin____Saleh kwenye machimbo makali ya Men's wear.
Quality, Good choices, Unyama mwingi ni uhakika.
Pita Instagram kuona zaidi:
instagram.com/p/DVbArdxCAwj/…
Duka lipo Kkoo.




Filipino
Agnes Prudence retweetledi

Hutakiwi kujibadilisha ili watu wakupende bali unapaswa kuwa bora kwenye uhalisia wako watu sahihi watakupenda
#ElimikaWikiendi
Indonesia
Agnes Prudence retweetledi

Mapinduzi makubwa yamefanyika #ElimikaWikiendi kutoka kuweka machapisho tu mtandaoni hadi kufanya semina na mafunzo mbalimbali ya kuwajengea watu uwezo wa kupata fursa za kiuchumi na maendeleo. Pia mijadala ya kujenga nchi imenogeshwa kwa kuruhusu jukwaa la sauti (space).

Indonesia
Agnes Prudence retweetledi

Mwaka 2016, jukwaa la #ElimikaWikiendi lilipoanza, nilikuwa miongoni mwa wachangiaji wa mada za afya kwa ukawaida. Kupitia jukwaa hilo, nimefanikiwa kufikisha elimu ya afya kwa idadi kubwa ya watu, na pia limefungua milango ya fursa mbalimbali za kitaaluma na kijamii.

Indonesia
Agnes Prudence retweetledi
Agnes Prudence retweetledi

Mitandao ya Kijamii inatoa elimu kwa njia rahisi unaweza kupata ujuzi ambao ungetumia njia ngumu.
Tukiitumia mitandao vizuri kwenye kuelimishana itatusaidia sana vijana.
@DadaConso, akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi X-spaces

Indonesia
Agnes Prudence retweetledi

Watumiaji wa mitandao ya kijamii kwa sasa wameongezeka sana ambapo taasisi za kijamii, makampuni wameweka nguvu sana na vijana wakiwa sehemu ya uchechemuzi.
@bajabiri, akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi Spaces
Fuatilia => x.com/i/spaces/1nGeL…
Indonesia









