
@MbazoRidhiwani @TweetChelseaUK @premierleague Mmoja hapo amehatarisha usalama wa mwenzie wakat mwengine hajahatarisha usalama wa mwenzie broo. Kama uliangalia full game zote mbili au uliweza pata video zote mbili utaweza ona hiki kitu nakuambia
Indonesia











